UKRISTO wote unahusu KRISTO!

Habari kuletwa na Mary Felde

Baadhi ya maneno haya ya Yesu yaliyo nakiliwa ni “Tubu na kuamini katika Injili.” Maneno tubu na amini hapa yame weka pamoja. Ni kwa nini hivyo, ni kwa sababu kutubu inahusu kufikiri, na kuamini kwetu. Kamusi ya Strong’s inaeleza neno hili tuba ni kama “kufikiria upya” au “kufikiria tena”.

Epu fikiri haya: Wayahudi iliwapasa kupitia mabadiliko makubwa katika imani yao; kwa kutoa imani katika Sheria na habari ya Agano la Kale na kuanza kuamini Injili ya Yesu Kristo na Njia na...


Endelea Kusoma

Miji tatu: picha ya tatu Kristo

Somo na Peter Youngren
Kutoka: December 2009
Patikana ndani ya: Injili ya Neema
Ile “nchi ya ahadi” ambayo Mungu aliwapa wana wa Israel ni picha ya maisha yetu katika Kristo. Tunapata miji ya Hebroni, Kiriathi na Timna, epu kwa pamoja tutambuwe zina maanisha nini.

Katika nyimbo nyingi za Kikristo na ujumbe nchi ya ahadi imechukuliwa kama mbingu.Hii hai wesi kuwa hivyo, kwa sababu mbinguni hakuna adui, wala dhambi na kurudi nyuma.”Nchi ya ahadi” ina maana gani kwetu sisi?

Nchi ya Ahadi ina maanisha ukweli wa kiroho hapa na sasa.

Wakati Israeli ilipo ngia...


Endelea Kusoma

Kupumzika ndani ya Yesu (sehemu Tatu)

Somo na Mike Walker
Kutoka: December 2009
Patikana ndani ya: Injili ya Neema
Maisha na Bwana yafaa yawe ya kutulia .Ni vipi tunaweza kumtumikia aje Bwana nab ado tuwe watulivu?

Sisi, ambao tuko katika hili Agano Jipya ambalo Mungu ametupa kupitia Yesu Kristo, tunalo tunuko la kuhishi maisha tulivu, pasipo mzongo pamoja na Mungu. Kwa watu wengi hii kweli ina onekana iko mbali sana kwa sababu machafuko ndani na yaliyo zunguka maisha yao. Yesu angali analeta amani katika dhoruba la maisha yao. Kuna pumziko, linalo onekana la kweli kwa watu wa Mungu! Kuto amani...


Endelea Kusoma
		
			
			

Mafundisho Zaidi kutoka Neema Unganishi Ulimwenguni

		
		
		
			

Ni nini GGN?

GGN (Global Grace News - Habari za Neema Ulimwenguni) ni msaada wa mafundisho kwa wahuduma na makanisa duniani kote. Sisi tuna tangaza injili ya neema ya Yesu Kristo; neema pekee, imani pekee, Yesu pekee. Kazi ya ukombozi iliyo malizika ya Kristo ndiye toleo la pekee kwa wokovu, baraka, na huduma. Makusudi ni mawili, ni kusaidia kanisa kutambua tena Yesu na kupeleka huu ujumbe duniani kote.

Ncha la Kujisomea (Msaada)

Sifa za Mwezi huu:

Living the Better Covenant

Transformation happens when you discover Christ’s finished work. Trusting Him who lives in you removes condemnation and brings you peace, security, confidence, and great joy. Ministry becomes restful and more fruitful.

Living the Better Covenant is an intensive treatise that covers truths that Mary Felde has taught for many years to diverse people worldwide – with ongoing testimonies about how lives have changed for the better and ministries have been significantly transformed.