Mafundisho Zaidi kutoka Neema Unganishi Ulimwenguni

		
		
		
			

Ni nini GGN?

GGN (Global Grace News - Habari za Neema Ulimwenguni) ni msaada wa mafundisho kwa wahuduma na makanisa duniani kote. Sisi tuna tangaza injili ya neema ya Yesu Kristo; neema pekee, imani pekee, Yesu pekee. Kazi ya ukombozi iliyo malizika ya Kristo ndiye toleo la pekee kwa wokovu, baraka, na huduma. Makusudi ni mawili, ni kusaidia kanisa kutambua tena Yesu na kupeleka huu ujumbe duniani kote.