Njia kuu Badili ya njia Iliyo pinda na Nyembemba

Na: Åge M. Åleskjær
Kutoka: September 2009
Patikana ndani ya: Injili ya Neema
Kwa miaka tume hubiri juu ya “lango ndogo” na “njia nyembamba” ambazo zina ongoza moja kuenda mbinguni. Walakini huu sio ujumbe wa Injili!

Njia nyembamba ina badilishwa na kuwa njia mpya na iliyo hai!Kwa miaka nyingi tume hubiri juu ya “njia nyembamba” na “ lango ndogo”na kwamba “ wachache wata ingia” lile funzo la Yesu katika Mathayo 7:12-14 na Luka 13:23-40.

Iwapo tunaweza kusoma kwa ukaribu, tuta ona hii inaeleza njia ya sheria kuelekea wokovu.Hii namna haikuwa tu ngumu bali ilikuwa haiwezekani kabisa.Lakini ujumbe ungali ni: “Yule mtu afanyae mambo haya ata ishi kwayo”

Njia ya sheria ilikuwa kweli nyembamba na wokovu wa matendo ilikuwa ni lango ndogo sana ya kwamba wachache wangeweza kuingia.Tulikuwa na wachache kwa uhakika ni kwamba HAKUNA!

Luke 13:24 inasema: “Jitahidini kuingia kwa kupitia mlango mwembamba, kwa maana, nawaambia, wengi watajaribu kuingia lakini hawataweza.” Kwa nini? Maana walikutana na jiwe la ukwaso, Yesu Kristo. Yeye ni mlango ulio wazi na mpya aliyo njia ya uzima, kwa hivyo kupitia Yeye njia ingekuwa rahisi. Lakini kwa sababu Wayuhudi hawakutaka kuinama chini kwa haki ya Mungu, walio walitafuta kujijengea haki yao wenyewe.Una ona ilikuwa Wayahudi Yesu alikuwa anawazungumzia katika jumbe hizi! (Ona Math 15:24)

Iwapo unaweza kuangilia kwa ukaribu Luke 13, utapata katika sura hii ana ongea kuhusu mioyo ya Wayahudi na wokovu kwa Mataifa. Njia ya matendo ilikuwa ngumu sana kana kwamba walio jaribu kuufikia wokovu kwa njia hiyo hawakuweza.

“Maana iwapo sheria ilikuja kuleta uzima, basi haki ingekuja kwa sheria” (Waga 3:20)

Wokovu kwa matendo ilikuwa ngumu sana. Ilikuwa ni lango ndogo sana na njia pana, iliyo jawa na sheria na amri zilizokuwa na maana ndogo na kubwa. Hakuna hata undani wa sheria moja ungeweza kusahaulika! Kwa hivyo, Yesu ilimpasa kufangua NJIA MPYA NA YA KUISHI alipo kufa msalabani! Kwa damu ya yesu tumepata njia mpya kabisa kuingia katika wepo wa Mungu. (Waebra 10:19)

Yesu alisema, mimi ndiye nia na kweli na uzima (Yohana 14:6)

Paulo alisema “Yoyote anaye liita jina la Bwana ata okoka.” (Waru 10:13) Hi sio njia ngumu au lango ndogo.

Njia Iliyo Lema ime Nyuoka Sasa

Yesu alikuja kunyosha njia iliyo lema ambayo ilikuwa ngumu kutembea juu yake.

Luka 3:5-6 “5kila bonde litajazwa, kila mlima na kilima kitasawazishwa.Njia zilizopinda zitanyooshwa, zilizoparuza zitasawazishwa na watu wote watauona Wokovu wa Mungu.”

Chini ya sheria “hakuna mwili utakao hesabiwa haki” na wakati ambao kila mwili uta ona wokovu wa Bwana.” Zungumza kuhusu utafauti mkubwa!

Njia ya sheria ilikuwa imelema na isiyo pitika.

Njia ya sheria ilikuwa imelema na isiyo pitika.Yesu amefanya sasa kupitia wokovu Wake, alifanya mahala palipo lema kunyooka na njia zenye mabonde kuwa nyororo, sasa kila mwili unaweza kuona wokovu wa Mungu!

Si ngumu tena.Hakuna anaye tafuta kuingia pasipo kuwezeshwa.Wokovu umekamilika na anaye taka kupokea tapokea bure. Yeyote anaye mpokea Yeye atazaliwa mara ya pila. “ Yeye uwapa hakikisho wao walio na imani katika Yesu.” ( Warum 3:26) Hatari ya kweli katika mazingara ya Kiristo ni kwamba Neno la Mungu halija somwa sana katika maeneo yake yaliyo muhimu. Kwa hivyo, ujumbe wa njia nyembamba na lango lilo ndogo ungali una hubiriwa. Hii ina fanya Mkristo kutembea katika ugumu licha ya Yesu kusema ni rahisi!

Yesu alisema: “Mana nira yangu ni nyepesi na mzigo ni rahisi” (Matha 11:30)

Kusanyiko la Mitume kule Yerusalem walipitisha suluhu ya kuto fanya iwe ngumu kawa Mataifa walio mgeulia Mungu! (Acts 15:19) Bado kuna wao wanao taka kufanya iwe ngumu, ili iwe tu ujumbe wa wao walio na tamanio.Lakini neno lilisema ya MWILI WOTE uta ona wokovu wa Mungu. Malaika katika viwanja vya Bethelehemu alsema: Nita waleteeni habari njema ya Furaha utakao kuwa kwa ajili ya watu waote.”

Njia kuu na Sio Njia ndogo iliyo Lema

“Sauti ya mtu aliyae nyikani,‘Itengenezeni njia ya Bwana, yanyosheni mapito Yake, kila bonde litajazwa,kila mlima na kilima kitasawazishwa.Njia zilizopinda zitanyooshwa, zilizoparuza zitasawazishwana watu wote watauona Wokovu wa Mungu (Luke 3:4-6) Huu ni unabii ambao unazungumzia Yohana Mpatizaji, lakini katika kilindi chake ni unabii ambao sema kuhusu Yesu.

Angalia hii picha inayo chorwa:Barabara ilikuwa haipitikii na ilitengeneswa. Njia zilizokuwa zimapinda zilinyoshwa. Na barabara za mabonde zilifanywa tambarare. Tinga tinga ili jaza kila bonde ni kufanya tambarare kila kilima ili hizo sehemu ziwe nyororo.

Yesu mwenywe alitengeza njia, akanyosha kilicho pindwa na akafanya barabara kuwa nyororo.

Na sasa kazi ime kamilika, Yesu mwenyewe ali safisha njia, akanyosha yote yaliyokuwa yamepinda na kufanya barabara kuwa nyororo. Matokeo yake ni taratibu, rahisi, inayopitika na njia nyororo.

Ndiyo Njia

Kwa hivyo ilikuwa ya asili ya kwamba Wakristo wa kwanza waliitwa “ Njia” maana njia ilikuwa illikuwa sasa safi na kilia mwili ungeona mwili ungeona wokovu, wa Mungu. “Wote walio mpokea Aliwapa uweza kuwa wana wa Mungu.

Ujumbe ni: Amini katika Bwana Yesu na uta ukoka.” Ina husu Yeye na siyo matendo mengi ya kidini. Nabii Isaya ilitabiri kuhusu njia hii. “Nako kutakuwa na njia kuu, nayo itaitwa Njia ya Utakatifu.Wasio safi hawatapita juu yake, itakuwa kwa ajili ya wale watembeao katika Njia ile, yeye asafirie juu yake, ajapokuwa mjinga, hatapotea.Huko hakutakuwepo na simba, wala mnyama mkali hatapita njia hiyo,walahawatapatikana humo. Ila waliokombolewa tundio watakaopita huko, waliokombolewa na BWANA watarudi.

Hi njia kuu, barabara kuu, isiyo kuwa nyembamba na iliyo panda

Wataingia Sayuni wakiimba, furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao. Watapata furaha na shangwe,huzuni na majonzi vitakimbia.” (Isaya 38:6-10) Hi barabara inatenda kazi sasa!Hi ni barabara kuu, njia kuu, na siyo nyembamba na sio iliyo panda.

Barabara kuu Kwa ajili ya Watu wa Mungu

Mimi nili lelewa vijijini na sasa nail elewa kila kitu kuhusu njia nyembemba, hizo zilizo tumiwa na watu na wanyama katika msitu na viwanjani. Ilikuwa rahisi kupotea iwapo haukufahamu mazingira. Wengi hakika wame kosa baadhi ya miti ndani mle msituni wakati wakipindi cha ufahamisho. Iwapo kuna nywevu au giza, hapo sasa utapotea sana.

Walakini kuna barabara za magari kupitia ndani ya misitu, kama zili zinazo tumiwa na madereva wa magari za mapishano, wakati wa lipindi cha mapishano.

Barabara kuu hutoka katika mji wangu hadi mji mkuu.Wakati majira ya mvua barabara inaweza kuwa isiyo tambarare na hata mbaya kuendesha juu yake, ambayo ina jihisi huru kuenda kwenye E-6, njia yailiyo kweli.Lakini Waswishi wachache wao hutoa hoja ya E-6 kaiti nchi ya Norawai, hiyo sio barabara kuu na Wajerumani wata tabasumu kwa ile tuna ita barabara kuu.

Kwa hivyo ni furaha kulete kile Neno huita Barabara Kuu ya Bwana! Ile barabara kuu Bwana amefungua inenyooka na haina kugeuka wala kona au kupinda!

Hakuna wasafiri watakao potea na njia imesha tupeleka wote katika Patakatifu pa Watakatifu. (Heb10:19-20)

Kwa damu Yake msalabani, Yeye ame unganisha kilicho Duniani na kilicho Mbinguni. Na mwili Wake kwa kifo, Yeye ametutoa sisi takatifu na pasipo na aibu na wakamilifu Kwake mwenyewe. Huu ujumbe ni tofauti sana kutoka kwa ule ujumbe wa kitamaduni.

Sisi karibu tume hubiri kinyume cha ile kazi kamilifu ya Yesu.

Karibu tume hubiri kinyume cha kazi kamilifu ya Yesu. Tume hubiri kuhusu njia nyembamba na lango ndogo, njia iliyo panda na barabara isiyo kuwa tambarare. Tume sahahua sana ya kwamba njia isha tengenezwa, na mabonde yamejazwa, vilima vimetandazwa, na njia zilizo panda zime nyoroshwa. Na sasa tuna barabara kuu iliyo nyororo – BARABARA KUU KWA AJILI YA WATU WA BWANA. Ni rahisi kuipata na kutembea juu yake. Hata mjinga hawezi kupotea.

Barabara iliyo tengenezwa, iliyo nyoroka na sawa ambayo ni wokovu kwa mwili.

Sio Kwa Wachache, Lakini Wengi

Hii sio kwa wacheche walio chakuliwa.Lakini ni kwa kila mtu. Mahala pa kuanzia ni kwamba amepatanisha ulimwengu Kwake mwenyewe na kutoa dhambi za ulimwengu zote. Sasa shida ya dhambi ili suluhishwa na Yeye akichukuwa dhambi zetu, na sio zetu tu lakini ni kwa ulimwengu wote. Yesu hakuja kuhumu ulimwengu, ili ulimwingu kupitia Yeye uwokolewe. Watu yafaa wasikie kuhusu huu upatanishi; kwa hivyo, tuna karama ya upatanishi.

Kwa sababu ya upatinishi huu, watu wanaweza sasa kupokea na kutumia kibali Chake na pendo lake na kupata kurejeshwa na neema.

Lakini Mungu amempa mwanadamu uhuru wa kuchagua: kwa hivyo, ujumbe ni ;Roho na Bi arusi wanasema, “Njoo!” Yoyete anaye sikia inasema, “ Njoo! Yeye anataka anaweza kuja na upate maji ya uzima yaliyo bure! Hii ndiyo wito wetu mkuu - hii ndiye amri yetu ya umishionary katika nuru ya ufunuo wa Paulo.

Sasa sio wachache watakao pata lango; Mataifa watakuja kwa “hesabu nyingi”

Kwa hivyo sio tena wachache watakao pata njia na lango; Mataifa watafika katika “hesabu kubwa” (War 11:25)

Mungu ana hesabu Anayo ifanyia kazi, tuna jua ana taka watu wote waokolewe.Kwa hivyo, Yesu bado hajarudi.Mungu anataka mlango wa wokovu kuendelea kufunguka. (2 Petero 3:9 na 15)

Nyumba yake ita JAA wa geni. (Luka 22:10)

Kutakuwa ba umati mkubwa ambako hakuna anayeweza kuhesabu, kutoka kila taifa, kabila, watu na lugha…(Ufunuo 7:9)

Kila vizazi, jamii, lugha na lahaja zita wakilishwa. Mungu anataka watu wote kuwokoka….

NI SHUKURANI YESU ALITOA UHAI WAKE KUFUNGUA BARABARA KUU, NJIA YA KUISHI ILIYO MPYA IMECHUKUWA MAHALA PA NJIA NYEMBAMBA ILIYPKUWA IMEPINDA NA KULEMA.

HII ITA ISHIA KATIKA MAVUNO YA DUNIA YOTE KUENDA MBINGUNI.

 

 

 

 

 

 

 

Na: Åge M. Åleskjær

Former Senior Pastor at Oslo Christian Center, now spending most of his time ministering all over Norway and internationally.

Mengi Kuhusu Åge M. Åleskjær | Nakala iliyoandikwa na Åge M. Åleskjær