Swala la kutafaghari juu yake.

Na: Mary Felde
Kutoka:
Patikana ndani ya: Injili ya Neema

Swali limekuwa katika masikioni mwangu, kwa majuma machache. Tume rudi toka Kenya, baada ya siku kuu za Mkutano Kusherekea Urafiki na Mkutano wa Mabadiliko wa seminar ya viongozi. Katika seminar mojawapo wa viongozi alileta Swali ambalo jawabu lake linabeba wingi na ukamilifu wa njia za mabadiliko jinsi tuna angalia vitu vingi maishani mwetu.Tunapo leta hili Swali katika eneo moja baada la lingine, tuta tambua ya kwamba italeta mabadiliko makubwa katika maisha na hata huduma. Je hili swali ni gani? “Ni rahisi kama hivi: Je msalaba wa Yesu ulifanya mabadiliko?”

Je msalaba ulifanya madiliko katika namna tunapo mtizama Mungu, namna tunapo jitizama sisi wenyewe na pia kwa wengine - waaminio na wasio amini? Je msalaba wa Yesu kwa uhakika ulifanya mabadiliko jinsi tunavyo omba, sababu tuna abudu na ujumbe tunao hubiri? T.L. Osborn aliwahi sema ya kwamba ilimgharimu miaka miwili kubadilisha maisha ya maombi yake baada ya kutambua kazi iliyo kamilika ya Yesu.

Weka hili swala niani mwako unapo soma hii nakala katika jarida hili. Nakala “ Ghafula, ghafula – Mungu hakasiriki!” inazungumza jinsi tunamtizama Mungu na jinsi Mungu anatutizama. Je msalaba kwa uhakika ulifanya mabadiliko? Na ni vitu gani vikuu?

Tuta weza pia kufahamiana na mwalimu ambaye kwa ushuhuda wake, wengi wanaweza kujitambulisha nao. Tusaidie watu waingie katika safu ya tatu ili wapate mpangilio sawa. Ukweli ni – msalaba wa Yesu uliweza kuleta mabadilko!

Na: Mary Felde

Mary Felde serves as both principal and Bible teacher at WIM’s Bible College, East Africa

Mengi Kuhusu Mary Felde | Nakala iliyoandikwa na Mary Felde