Tuna yo shukurani kwake Bwana kwa kutuunganisha pamoja na ninyi! Tuna amini Mungu anatumia Neema Unganishi Duniani kuongeza ufunuo, himizo na maongeo kwenu na wale watu manao wahudumia. Mungu tayari ametupa bure kila kitu katika Yesu. Ataendelea kutufunulia sisi jinsi tunaweza kuishi na kupata ujuzi ulio kweli wa huu ukweli mkuu.
Hi barua ya habari inalenga Neema na Imani,na inahusisha mafundisho ya kipekee na wahuduma Mchungaji Joseph Prince na Mchungaji Peter Youngren, pamoja na ushuhuda wa ajabu jinsi ya kuwa kiongozi na Mchungaji Tom Lipkin.
Moja wa wanachama toka Kinishasa, D.R.Congo, ali andika katika mjibu wa barua ya Januari: “Hauwezi kufikiri jinsi hii barua na nakala katika Neema Unganishi Duniani ni msaada mkubwa kwetu.” Pia aliandika ya kwa wanatumia mafundisho hayo katika kufundisha viongozi wao.
Mwanachama toka Hong Kong aliandika: “Ni bora sana kwa mnaandika katika barua ya jarida la GGN. Nime piga chapa ya nakala juu ya somo Haki ya mwezi wa nane, nime gawa na kufundisha katika makundi hapa. Tuta tumia zaidi ya mafundisho haya pia. Wiki ijayo tuta anza kufundisha jinsi ya kujisomea Bibilia, na kwa hiyo barua ya ujumbe ya Januari ita tusaidia zaidi.”
Tunafurahia kupokea mwitikio huu na tunafikiria kuhusu ninyi nyote tunapo jianda na kutuma nje barua ya ujumbe wa mwezi huu.
Nakala zinaweza kuipigwa chapa mradi zina chapishwa katika
ukuu wake wote na pongezi zitolewe kwa to Global Grace News http://www.globalgracenews.org.