“Sasa msingi wetu wote unatingizwa!” Haya maneno yalitoka kwa muhuduma wakati wa kipindi cha Injili ya Neema katika semina ilikuwa Afrika miezi nane zilizopita. Maneno yake yangali ni mpya katika nia na kunihimiza tunapo zidi kuendeleza maono.
Je ni somo lipi lilo leta matamshi ya namna hii? Ilikuwa ni somo fupi juu ya Agano la Kale dhidi ya Agano jipya, Sheria dhidi ya neema, huduma ya hukumu dhidi ya huduma ya haki, na haki ya kibinafsi dhidi ya haki ya Mungu.
In 1 Wakor 3:10-11 Paulo anasema, “Kwa neema Mungu aliyonipa, niliweka msingi kama mjenzi stadi na mtu mwingine anajenga juu ya huo msingi. Lakini kila mmoja inampasa awe mwangalifu jinsi anavyojenga juu yake. Kwa maana hakuna mtu ye yote awezaye kuweka msingi mwingine wo wote isipokuwa ule uliokwisha kuwekwa, ambao ni Yesu Kristo.”
Iwapo tuna changanya ya agano la kale na jipya, tuta tambua, kama vile mhuduma alifanya, ya kwamba tume weka msingi mwingine! Na sasa ni wakati tunahitaji kuimarisha msingi wetu - epu na jenge kwake Yesu na kazi Yake ya pekee iliyo kamilika!
Mwezi huu tuna endelea katika somo la Mapinduzi ya Injili. Wewe himizika na ubatilishwe unapo jisomea mambo mawili muhimu ya nakala hizi tunazo leta mwezi huu, kutoka Steve McVey na David Sterling. Tena pata ufahamu wa habari za mabadiliko yanayo fanywa katika GGN.
Nakala zinaweza kuipigwa chapa mradi zina chapishwa katika
ukuu wake wote na pongezi zitolewe kwa to Global Grace News http://www.globalgracenews.org.