Mahala pa wanadamu katika moyo wa Mungu ingili inanishangaza baada ya miaka hii yote! Sauti ya swali ya katika Zaburi 8 bado ina sikika: Nina binadamu maana una mjali yeye?
Ndiyo,ni nini kilicho na wanadamu kwamba kuna mahala maalumu katika moyo wa Mungu? Alituumba katika sura yake Mwenyewe: sura yake Mwenyewe. Akatuweka katika nafasi chini Yake, nafasi ambayo hakuna aliye jua ilikuwepo. Na Atakapo tuvika taji, hakuna taji ya dhahabu na almasi inaweza kuwa mzuri zaidi, kwa hivyo alituvika na sisi kwa Yeye mwenyewe- Utukufu na heshima Yake mwenyewe!
Na hadithi ya ajabu inaendelea. Licha ya mwanadamu kuanguka katika dhambi na kuruhusu adui wa Mungu kutawala katika nchi, Mungu hakugeuza mgongo Wake kutoka kwake mwandamu. Hapo mnyama alichinjwa, na unabii wa kwanza kuhusu Mkombozi, aliye Mwokozi akatangazwa. Hii lazima ikuwa mshangao mkubwa hata kwa malaika walio sikia haya. Je ulisikia? Wanadamu wanaenda kupata Mwokozi! Wow, je hiyo itakuwaje? Mwana wake Mungu alifanyika mwanadamu na akachukua adhabu yote kwa yale walimtendea Yeye? Kwa nini? Je nini na wanadamu kana kwamba Mungu anawajali wao sana?
Wakati Shetani na theluthi ya malaika walianguka naye, wao wakupata Mwokozi.Lakini wakati wanadamu walianguka katika Mungu alileta Mwokozi kwa ajili yetu. Kwa nini sisi ni wa muhimu kwake Mungu? Kwa uhakika, sijui… lakini sisi ni wa muhimu! Kutokana na upendo Wake Mkuu Mungu alitupa kwetu hii neema na kibali ambayo hatukustahili!
Labda hii ndiyo sababu jeshi la malaika wa Mungu halingeweza kuzuiliwa lakini lika jiunga na kusherekea wakati malaika mmoja alitumwa kutangaza habari njema kwa wachungaji fulani. Wingu likatiwa nuru wakati jeshi la malaika waliimba na kumpa Mungu utukufu ambaye alitaka kufanya kitu kama hicho.
Na nini ili kuwa tangazo la malaika? Nina kuja na habari njema kuhusu furaha kuuambayo itakuwa kwa watu wote.Kwamba kwenu amezaliwa leo aliye Mwokozi, Yesu !
Kila mtu ana nafasi ya kipeke katika moyo wa Mungu- hajalishi amri, jamii yao, mwanzo wao, urahia au dini. Wote ni wote wanahusishwa! Kwa hivyo tuende tuka ambiye ulimwengu habari njema hizi.
Haya yote yapo katika jarida hili. Mwokozi tumepewa kwa ajili yetu, na Alifanya kazi Yake katika ukamilifu! Inafunika watu wote katika ulimwengu wote. Kitu cha kipeke mtu anahitaji kufanya ili aokoke ni kuamini na kupokea.
Furahia mafundisho na shuhuda katika jarida hili, na ruhusu ufunuo wa Yesu uwe na hodari na wa mng’ao. Nguvu za Mungu kwa urejesho kamilifu unaopatikana katika Injili ya Kristo.
Furahia Kirismasi!
Nakala zinaweza kuipigwa chapa mradi zina chapishwa katika
ukuu wake wote na pongezi zitolewe kwa to Global Grace News http://www.globalgracenews.org.