Watu wengi ulimwenguni wanao kumbatia ili “ Ukristo ulio wa dini” wao kwa uhakika wacha wahi sikia Injili ya Kweli. Wao wamekubali aina ya mfano wa “ Ukristo” bila kuelewa Injili ya kweli yahusu nini . Wao wanafikiri “Ukristo” ni kama dini ingine ambayo inayo masharti zingine na wao wame weka kitu ingine badala ya Ukristo “vya kutenda na Usivyo paswa kutenda” kwa ajili ya dini zingine.
wao wana amini ya kwamba wanahitaji kujitafutia njia yao kwa
Mungu na kwa huo wakati kufanya kilicho bora kupata na kushika faida za wokovu. Hiyo sio Injili ya Kweli. Hiyo kwa ukweli sio Habari Njema
Hata kumkubali Yesu kama Mwokozi, ukiwa na imani ya kwamba utaenenda na sheria fulani zilizo wekwa, au kubadilisha mojawapo kwa ingine, hii sio habari njema. Kwa nini? Kwa sababu ingali inategemea utandaji wako. Ingali imetiishwa kwako ili itimilize kiwango fulani na kushika maagizo. Nami nina weza kukuhakishia kwamba ibilisi ata hakikisha utandaji wako sio mzuri. Yeye ni mwenye ujuzi wakuonyesha jinsi gani hauji wezi, bado kukamilika na hauji wezi katika ushindani. Yeye ndiye mshitaki wa wependwa na Yeye ana ujuzi wa kukuonyesha jinsi gani utandaji wako ni bure. (Ufan 12:10)
Watu wengi duniani kote wanao kumbatia ule “Ukristo wa dini” bado hawacha sikia Injili.
Ukweli unao fanya Injili kuwa “ karibu – mzuri sana – kuwa habari ya kweli” ni kwamba tuna kubalika kwa Mungu kikamilifu kupitia Yesu, alifanyia sisi bila sisi kuhidimu. Wokovu na uzima tele tele Yesu alikuja kutoa haitegemea utandaji wetu sisi wenyewe. Baraka za ajabu ya Mungu hazi tegemee ni jinsi gani kwa ufanisi tunapo tenda kama Wakristo. Hata majibu kwa maombi yetu haya tegemee wema au kukosa upungufu wetu. Ufunuo wa neema ya ajabu ya Mungu ita kukombowa kutoka hali hiyo au akili za utendaji- ita kukomboa kutokana na kuishi maisha sheria, au iliyo jawa na mzongo. Mungu ana bariki na kutupa kwa sababu ya yale Yesu amesha timiliza kwa niaba yetu na sio yale utaweza kutimiliza! Wokovu una husu uaminifu wa Mungu wote na sio, wetu sisi! Waef 2:8-9)
Kitabu cha Warumi kina leta ujumbe ya kwamba Injili ndani yake kuna nguvu za Mungu. Injili ndiye inayo zalisha uzima wa Mungu na watu. Walakini neno Injili lime kwa tu msamiati wa dini ambalo limepoteza maana nyingi leo hii. Watu wengi wana husisha “Injili” na chochote kinachi husu dini; haswa dini ya Kikristo.Lakini “ Injili” ina maanisha “ habari njema.” Lile neno la Kiyunani euaggelion, linalo tafsiliwa “Injili” katika sabini na nne mistari za Agano Jipya hakika lina maanisha habari-zilizo mzuri sana kuwa kweli.”
Wingi wa “desturi ya Ukristo” wa leo hii wana husisha Injili na semi kama: Wewe ni mwenye dhambi.Kama hautubu, una enda kuzimuni.” Sasa, hizi ni semi zilizo za kweli. Kunayo mbingu na kuzimu, Mungu na ibilisi, na uta ende kuzimu iwapo hauta tubu na kupokea wokovu. Licha ya haya yote kuwa kweli, “hii sio habari njema”. Hii sio “Injili”.
Mungu hachukui watu “wazuri” na kuokoe wao - Yeye huchukuwa wasio wacha Mungu na kufanya wao wenye haki.
Injili ina husiano wa ana kwa ana na neema ya Mungu. Hiyo ndiyo njia ya pekee msamaha wa dhambi unaweza kupatikana. Uzima wa milele haupatikani kupitia utakatifu wetu au matendo mema. Ni tu kwa Neema, ambazo ni nguvu Zake zilizo hai, kwamba tumekuwa wenye haki. Ni kwa neema hii yenye nguvu zilizo hai maishani mwetu tuna badilishwa ndani. Mungu hachukui watu “wazuri” na kuokoa wao - Yeye huchukua wasio wacha Mungu na kuwafanya wenye haki (Waru 4:5)
Hii ina sababisha shida nyingi kwa watu wa kidini. Wana sema, “Ngoja dakika moja!Ni na amini unapaswa kufanya haya na yale ili uwe mtakatifu mbele za Mungu.” Dini - dini ya uwongo, mambo ya mwanadamu - hufundisha ya kwamba msimamo mzuri kwa Mungu na baraka Zake huja kwa ajili ya wema wetu, kuhidimu na matendo yetu. Lakini hiyu ni kinyume cha – Injili! Hii ipo kinyume cha “habari njema” ya neema ya Mungu maana ina weka mzigo wa wokovu na kupata wema wa Mungu juu ya mgongo, nawe hauzi kustahimili. Hakuna anayeweza kujiokoa mwenyewe. Hakuna anaye pokea anayeweza kupokea baraka na kibali kwa matendo ya wenyewe.Hakuna anayeweza kufikia Mungu, kulingana na vile ame ishi na kujitenda. Hii kwa kimsingi ni “injili” uwongo- ambayo dini ina hubiri leo hii. Katika hii hali ni “injili” ingine - ambayo sio injili hata kidogo (Wagalatia 1:7) Ni ile injili iliyo chafuliwa na kuharibiwa. Hii inahusu yote unayo paswa kufanya.Hii ni HABARI MBAYA na sio HABARI NJEMA! (Wagala 1:6-7)
Injili sio tu imani katika wokovu, pia njia ya ufahamu ambako kwa huu wokovu unapatikana. “Iwapo utajitenda katika wema na utende mema, basi nawe uta kubalika” hiyo sio Injili ya kweli. Tambua yale Paulo alisema alipo kuwa ana hudumia kongamano la wahudumu la kwanza kule Ephesus: “Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa ya thamani kwangu, kama kuyamaliza mashindano na kukamilisha ile kazi Bwana Yesu aliyonipa,yaani, kazi ya kuishuhudia injili ya neema ya Mungu.” (Matendo 20:24)
Hata neno wokovu mara nyingi lina kosa kueleweka. Sio jambo la kawaida Wakristo kuamini wokovu ni kitu kinacho onekana mara moja, tukio wakati dhambi zako zinapo sehemewa.
Wokovu ni rundo la kukata shauri na lote limetimilizwa katika neema ya Mungu, na sio matendo.
Hii ni kweli, kuna kipindi unapo toka mautini hadi uzimani, lakini hiyo sio yote inayo tendeka. Hii ni maelezo ambayo hayacha kamilika .Wokovu haucha komea tu kwa ile hali ya kupitia kuzaliwa mara ya pili.
Wokovu ni kila kitu Yesu alinunua kwa ajili yetu kupitia upatanishi. Sozo lile neno la kiyunani ambalo “wokovu” uliweza kutafsiliwa kwalo, ina maanisha zaidi ya kusemehewa. Lina maanisha pia uponyaji, ukombozi, amani na ustawi. Ni neno lina tamatisha kila kitu Yesu ametupa sisi kupitia kifo Chake, kuzikwa, na ufufuo.
Wokovu ni rundo la kukata shauri na umetimizwa kwa neema ya Mungu, na sio matendo yetu. Walakini, Shetani naye kila wakati ana jaribu kutu hadaa sisi. Anataka sisi tuamini ya kwamba ni lazima kufanye kitu ndiposa tupokea vitu toka kwa Mungu vitu. Shetani ndiye anaye sababisha sisi kuwa na shaka na uweza usio kuwa na masharti ya Mungu kutumia uweza Wake kwa niaba yetu. Kwa bahati mbaya kanisa kila wakati lina tia imani hii nguvu.
“Sita ona haya kuambia watu kuhusu wema, neema na rehema za Mungu.”
Watu wengi wana amini Mungu hutenda kazi maishani mwao kwa kadri ya utendaji wao. Wana amini Mungu ana bariki kwa kadri ya jinsi tunavyo faulu kuisha maisha mazuri ya Kikristo. Hiyo ndiyo enzi Paulo alikuwa ana ikabili katika kitabu cha Warumi. Wakati Paulo alipo kuja na akasema, “Sita ionea haya Injili” alikuwa ana sema Sita ona haya kuambia watu kuhusu wema ,neema na rehema za Mungu.” Bwana anatupenda licha ya sisi ni akina nani au tumefanya nini. Wokovu tayari umesha letwa- uponyaji, na ukombozi vimesha lipiwa.Ni vyetu ili tuvipokea., Sasa hizo ni “habari njema”
Injili ya Kweli - “ ile iliyo kweli kuwa kweli” ni kwamba Mungu tayari ameleta kila kitu tunacho hitaji katika Kristo kupitia kifo na kufufuka kwake. Habari njema ni kwamba tayari tumesha patanishwa, kombolewa na kutakaswa kupitia Yesu aliye dhabihu mara moja na hata milele. Ni habari Njema ya neema ya Mungu inayo tia watu uweza wa kupokea msamaha wa dhambi, uponyaji wa miili zao, ukombozi toka utezi wa Shetani na zaidi. Hiyo ndiyo Injili!
Injili ya Kweli- “ ile iliyo kweli kuwa kweli” ni kwamba Mungu tayari ameleta kila kitu tunacho hitaji katika Kristo kupitia kifo na kufufuka kwake. Habari njema ni kwamba tayari tumesha patanishwa, kombolewa na kutakaswa kupitia Yesu aliye dhabihu mara moja na hata milele.Ni habari Njema ya neema ya Mungu inayo tia watu uweza wa kupokea msamaha wa dhambi, uponyaji wa miili zao, ukombozi toka utezi wa Shetani na zaidi. Hiyo ndiyo Injili!
Injili ni juu ya yale tayari yasha timizwa mara moja na hata milele.
Je unahitaji kufanikiwa kifedha? Uweza wa ufaninzwa upo katika Injili.
Je unajihizi unahitaji nguvu zaidi kuishi maisha ya ushindi? Injili ni nguvu za Mungu.
Je unahitaji kukumbolewa kutoka kwa nguvu za mapepo wachafu, kutoka ulegevu,kutoka wewe mwenyewe, au kitu chochote kiwacho? Uweza wa ukombozi upo katika Injili !
Injili sio kuhusu yale Mungu anaweza kufanya au kitu ambacho chawezekana kutendeka.
Injili ina husu yale ambayo tayari yamesha timilizwa mara moja na hata milele.
Hii Injili NI nguvu za Mungu (Warumi 1:16) Na ni “karibu sana mzuri kuwa kweli.”
Nakala zinaweza kuipigwa chapa mradi zina chapishwa katika
ukuu wake wote na pongezi zitolewe kwa to Global Grace News http://www.globalgracenews.org.