Kuishi kwa Neema kushindana na kuishi chini ya sheria

Na: Mary Felde
Kutoka: November 2008
Patikana ndani ya: Lakale kushindana na agano jipya

Lile agano la kale msingi wake ulikuwa ni sheria,na agano jipya msingi wake ni Yesu na neema.Ili kwetu sisi tuelewe tofauti kubwa iliyoko kati ya agano la kale na jipya ni muhimu tuelewe ukuu uliyopo kuishi chini ya sheria na kuishi chini ya neema. Chini ya sheria mtizamo uliyikuwa juu yetu na tabia yetu na yale tuliyo timiza,chini ya neema mtizamo ni kikamilifu juu ya Yesu na tabia na mambo Yake aliyotimiza. Tunaishi sasa katika agano jipya na kila kitu tunapata kwa neema pekee yake. Matendo yetu hayahitajiki kwake Mungu kupata baraka lakini ni tunda ya maishi mapya.

Katika jarida la habari la mwezi huu tuta angalia kwa ukaribu tofauti zilizopo kuishi chini ya sheria na kuishi na kuishi chini ya neema. Neema sio tu kichwa cha mwongozo katika miongozo; ila ile Injili yenyewe inaitwa “ Ile Injili ya Neema ya Mungu” (Matendo 20:24 ). Kwa wingi unapo elewa neema ndipo kwa wingi tuna elewa Injili!

Tuna kuhimiza kuchukuwa muda na utafaghari juu ya mambo yaliyo andikwa katika barua hii, utaweza hata taka kusoma zaidi ya safari moja. Kwa uweza itaweza kubadilisha maisha yako. Na ushuhuda wa muhuduma pia umeongezwa ukieleza jinsi ujumbe wa Mungu na neema yake iligeuza maisha ya kabisa.

Tutumie barua pepe .(JavaScript must be enabled to view this email address);Tungelipenda kusikia kutoka kwako pia.

Na: Mary Felde

Mary Felde serves as both principal and Bible teacher at WIM’s Bible College, East Africa

Mengi Kuhusu Mary Felde | Nakala iliyoandikwa na Mary Felde