Je umewahi kuteuliwa kuenda na kuambia mtu fulani habari njema ambazo zilikuwa zimetokea kwao? Nina uhakika hauwezi kuenda na moyo ulio kasirika au ulio na huzuni, ila kwa furaha na iliyo jawa moyoni. Weweulijua habari zilikuwa kuu! Nawe unajua ulijua habari hizo zilikuwa kweli!
Habari za Injili sio tu kweli, ila katika kweli, za kusataajabisha na njema! Dhambi tayari zime ondolewa, na kibali kilicho huru na neema ya Mungu iko kwa ajili ya kila mtu - haijalishi ni dini gani au ni wa taifa gani.
Mungu hahesabu dhambi zao (2 Wako5:18), kwa hivyo nasi hatuta zihesabu. Badala yake unawakaribisha watu popote kupokea kipawa kilicho kikuu kwa vyote. Huu ni wakati wa neema, bado kunao wengi ambao hawacha sikiliza hizi habari njema!
Katika barua hii Peter youngren anathirisha Moyo wake jinsi ya kuleta habari njema kwa watu bila kujala dini yao. Waisalamu na wengine wote wata sikiliza tunapo tizamia, wito wetu ni kuwa wajumbe wa Habari Njema - badili kuwa na mjadala ya dini au siasa. Kupata ujumbe ulio salia unaeza kununua kitabu chake - Ushuhuda mkuu kutoka mtenda kazi mdogo katika nchi ya Kisalamu hiyo pia imewekwa katika barua hii. Joseph Prince amebariki watu wengi na mafundisho, tuna furaha kuwaleteeni mafundisho ingine kuu kweni.
Tutumia barua pepe, tunatizamia kusikia toka kweni.
Nakala zinaweza kuipigwa chapa mradi zina chapishwa katika
ukuu wake wote na pongezi zitolewe kwa to Global Grace News http://www.globalgracenews.org.