Kutoa Madhabahu Kutoka Mlima Sinai Mpaka Golgotha!

Na: Åge M. Åleskjær
Kutoka: June 2009
Patikana ndani ya: Injili ya Neema Lakale kushindana na agano jipya
Wacha tuhakikishe tunashiriki ujumbe tukiwa na miguu zetu zimepandwa imara huku Golgotha.

Injili ni habari njema kwa watu wote. Ni ya muhimu sana lazima tuwe safi na rahisi jinsi ilivyo, ili kwamba tumefikie wale watu wa kawaida na habari njema.
Swali langu kwako kama muhuduma ni, “Je ni kutoka madhabahu gani wewe una shirika neon - Mlima Sinai au Glogotha?” Wacha tuhakishe tunashiriki ujumbe na miguu zetu imara zimepandwa juu ya Golgotha!Katika nakala hii ninaeleza maana yake.

Utofauti ulio muhumu

“ Lakini sasa, kwa kufia kile kilichokuwa kimetufunga kwanza, tumewekwa huru kutoka katika sheria ili tutumike katika njia mpya ya Roho, wala si katika njia ya zamani sheria iliyoandikwa. (Waru 7:6)

Kuna utofauti wa muhimu kati ya “ uzamani wa andiko “ na “ ule upya wa Roho.” Uzamani wa andiko inahusu amri na masharti yake. Amri zingine zilisema: “Wewe uta ….” Walakini nyingine zilisema : “Wewe hauta…” Upya wa Roho unategemea uzima unao toka ndani yake! Hii ni tofauti kubwa sana, licha ya matokeo kuwa “ile haki ipatikanayo kwa sheria itimizwe ndani yetu sisi,” (Waru 8:4) Jinsi tuna timiza sheria ni muhimu sana. Yaani utofauti ulio muhimu Nina taka kuonyesha wewe - utofauti katika asili. Tuna hubiri juu ya wokovu na utakaso ambao umetegemea kikamilifu juu ya Kristo na unapatikana kwa kazi Yake iliyo kamilika. Hakuna nafasi kwa matendo na juhudi ya kibinafsi “Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani, wala hii si kwa matendo yenu mema. Hii ni zawadi kutoka kwa Mungu, si kwa matendo,mtu awaye yote asije akajisifu. Kwa maana sisi ni kazi ya mikono ya Mungu, tulioumbwa katika Kristo Yesu, ili tupate kutenda matendo mema, ambayo Mungu alitangulia kuyaandaa tupate kuishi katika hayo.” (Waef 2:3-10)

Madhabahu ya “uzamani ya aandiko” ni Mlima Sinai ambako Sheria ilitolewa. Na madhabahu ya “ upya wa Roho” ni Golgotha ambako Yesu alitolewa kama dhabihu ya dhambi.

Masharti ya dini na mila za mwanadamu hasina nafasi katika Injili

Tangu niitwe katika umri mdogo, kufundisha Injili, nimetambuwa kama Wakristo tuna tabia ya kuleta vifungu zaidi, masharti ya dini na mila za mwanadamu katika maisha ya Kikristo. Hizi ni mizigo ambazo si sehemu ya Ukristo wa kweli kama vile Kristo alitaka iwe. Yale ambayo tume shiriki ni mchanganyiko wa Sheria na Injili, ambayo imefanya watu wafikiri ya kwamba Ukristo ni dini yenye msingi wa matendo na utandaji wa mwanadamu.

Kuna nira juu ya Ukristo ulimwenguni leo hii, na hii nira imetufanya kutofanya huduma wetu sawasawa.

Kuna nira juu ya Ukristo ulimwenguni leo hii, na hii nira imetufanya kutofanya huduma wetu sawasawa. Sisi tume faulu “kuweka nira kwa shingo ya wafuasi”, Licha ya Wakristo wa kwanza kwa kipekee walikubali kuto fanya hivyo! (Matendo 15:10) Katika mkutano wa mitume kule Yerusalem, walikubali katika Sheria ya Musa, na masharti na maelekezi, havikufanya kazi katika Kanisa la Agano Jipya. Waliokuwa wame ongoka walipaswa kupata maisha na uhuru katika Kristo, na wapate Kristo kama Bwana wao, Bwana na Kiongozi. Maisha yote lapaswa kutoka kwake Kristo kuelekea wao, na Yeye awe chanzo cha uungu na uzima wa kipekee.

Walakini, utumwa ulijaribu kuingia katika kanisa la Galatia. Licha ya mtume Paulo kwa wakati huo aliweza kunyorosha mambo, Wakristo wa kizazi kipya wanapitia hicho kifungo kujaribu kuwadhiri. Mimi mwenywe nili weza kuingizwa katika mtiriko wa mawezo hayo pamoja na mambo ya mila katika dhehebu la uinjilisti la kale ambako nilikuwa ninashiriki, hata katika Pentakoste na mila za Karismata, na mwishowe katika desturi za wanao itwa mwondoko wa imani.Nina taka uelewe nina shukurani kwa wahudumu. Huzuni uliyopo moyoni mwangu ninao jaribu kushiriki pamoja nanyi ni huzuni wa nira ambao umekuwa ukiingia ndani yetu na kwetu sisi, nira ya maagizo na mila zilizo tengenezwa na mwandamu.

Hizi mila mara nyingi huleta mashindano na tamaa ya utendaji maishani mwa watu.

Yesu aliwapinga Wafarisao na akawambia wao, walikuwa wanafunga Neno la Mungu kwa sababu ya maagizo na mila zao wenyewe. Hiyo Kanuni ingali ina onekana leo hii, na ina wanyang’anya Wakristo uhuru ambao Yesu alituletea sisi katika ukombozi. Hizi mila mara nyingi huleta ushindani na tamaa ya utendaji maishani mwa watu. Katika njia nyingi huwa ni Injili ya walio na karama na wenye nguvu, na sasa ina zalisha wanao shindwa kuishi kwa viwango ambavyo matendo ya dini ya mwanadamu huweka.

Mtume Paulo anatuonya sisi dhidi ya wale wanao “potosha Injili ya Kristo.” (Wagal 1:7). Kuhusika kwangu kuu ni mara nyingi ni mawazo ya kupotoshwa Injili ambayo huleta wimbi – kwa jamii isiye wa Wakristo iki sababisha Injili kuonekana kama habari “mbaya” badili ya kuwa habari “Njema”.

Kuamini ilinipaswa kung’ang’ana kupendeza Mungu.

Mimi ni kuzwa katika dhehebu la Kiinjilisti la kidesturi ambalo lilikuwa na maana safi ya neno neema. Ambalo lime nisaidia kuja katika ufasaha ninao furahia ndani. Lakini wakati huo tuna weza kuwa na maagizo ya dini nyingi zilizo fanya Ukristo kuwa kama koti lilo nyouka nje. Yale mazingira ya upaguzi nilio kulia ndani ili kuwa ngumu sana. Kati ya mambo mengine nyingi, sheria ya kushika Sabato takatifu kuwa siku takatifu ili huusisha kuto tumia makasi au kuenda kuvua samaki hata Juma pili. Kufanya mambo haya ilikuwa ni dhambi! Baadaye nika jiunga na madhehebu ya Wakipentakoste na Wakrismata: Katika maeneo mengine mashindano yalikuwa mbaya mno. Wakati huo, tulikuwa na sheria nyingi kuhusu mavazi - kwa mfano, wanawake lazima wawe na nywele ndefu na kufunika vichwa vyao. Tuli ambiwa tukome kutumia vinywaji fulani na vyakula. Hizi sheria zilikuwa mpya kwangu maana hatukuwa nazo katika dhehebu nililo toka. Sikujua ya kwamba kula saladi nyeusi ni dhambi, au wanawake wanahitaji kuwa na nywele mrefu au kofia kupendeza Mungu. Lakini kwa upesi nika kubaliana na hizo sheria. Hizo pia zilikuwa baadhi ya masharti ndiposa ubatizwe katika Roho Mtakatifu. Ilikupasa ufikie utakatifu wa kiwango fulani, na uwe unaweza kuomba na kumtafuta Mungu. Nili kuwa mwenye nguvu nikajiingiza ndani kwa shauku kuu, nikijiona nilikuwa na zaa matunda na kuwa wa muhimu kwake Mungu. Walakini, jinsi hii inavyo onekana kuwa ya ajabu, haikutendeka mpaka nilipotambuwa Yesu alikuwa ameniaandalia kila kitu changu kitambo sana.

Ni kwa neema kupitia imina

Ilinipasa mimi kufika mwisho kushindano kwangu kabla muujiza kutendeka - kwa neema kupitia imani! Baadaye nikasoma Wagalatia 3 na nikatambua mitume Paulo alikuwa akiandika maneno yale yale. Sio tu wokovu tunapata kwa neema kupitia imani; pia tuna pokea Roho bila matendo, na ni kwa kusikia tu na kuamini- kwa neema (Waef 2:8-9)

Mizigo ambazo Yesu asha beba
“Mwondoko wa Imani” ilikuwa na kanuni hiyo hiyo ilipo fika katika kung’ang’ana na utendaji wa Ukristo, lakini katika maeneo tofauti. Hapo kushindano ilikuwa katika eneo la maombi, vita juu ya mapepo wachafu na ibilisi, na tuking’ang’ana kuwa na imani mpya. Wachungaji wengi walikuwa pia na mashindano kwa sababu ya ukuwaji wa kanisa.

Huduma wa kuhukumu ni Agano Jipya. Mimi nime wapa hudumu wa haki, ule hudumu wa upatanishi na hudumu wa Roho

Una jua mwaliko wa Yesu ungali una thamana, “Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu. Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.’’ (Mathayo 11:28-30)

Mungu alibadilisha Nakala zangu

Basi nataka kushirikia ujuzi kutoka kwa Mungu unao badilisha maisha yalio tukia katika miaka ya Sabini. Wakati huu nilibatizwa katika Roho Mtakatifu, na nilitambua “ mambo yote yanawezakana kwa yeyote aaminiye” (Mark 9:23) Kwa hivyo nilijaribu kuhubiri kuhusu imani, na nikasumbukana sana kuhusu tabia Wakristo walikuwa nayo kuhusu Neno la Imani.

Nilikuwa nimefunzwa kuwa mtu wa uamsho ambaye anajaribu chochote bora awezacho kutoa kwa wingi jinsi inavyo wezekana na hatia nyingi, alafu nawakaribisha pale madhabuhuni. Hakika mkutano wa namna hii ulitoa matokeo zaidi, na wakati mwengine wingi wa umati waliitikia wito wa kukata shauri. Ilikuwa baada ya muktano wa namna hii, ambako nili kemea kusanyiko kwa sababu ya kukosa imani, ambako Roho Mtakatifu alining’oneza moyo wangu, “ Hii sio kuhubiri Neno la Imani. Hii ni huduma ya hukumu!”

Nili shangashwa ! Katika uamuzi wangu nili kuwa nahubiri imani. Walakini, Bwana alinionyesha ya kwamba kitu mahubiri ya namna hiyo ingeleta hukumu;watu walio na sukumo la hatia na aibu.
Akaniambia, “Neno la Imani lina zalisha imani! Walakini mahubiri ya namna hiyo inaleta hukumu, na hudumu wa hukumu ni ya Agano la Kale. Nimewapa hudumu wa haki, hudumu wa upatanishi na hudumu wa Roho” (Angalia 2 Wakori 3:6-11)

T.L.Osborn ana sema, “ Hauwezi kuhibiri habari njema katika uazimu, ila unaweza tu kuhibiri habari njema kwa furaha!”

Aliniongoza katika miongozo zangu za mafundisho, na ilinipasa kutupa zaidi ya nusu yake, hata ujumbe zangu maalumu, “ Hauwezi kufanya Mungu mjinga.” Kwangu mimi nilikuwa mgumu! Kando na haya ilikuwa katika kurudia haya iliyokuwa mahala pangu pa mageuzi katika huduma. Nalikuwa muhubiri wazimu, walakini sasa mimi ni muhibiri wa furaha! T.L Osborn anasema, “ Hauzi kuhubiri habari njema kwa uazimu, ila unaweza tu kuhubiri habari njema kwa furaha!”

Kutoa Madhabahu kutoka Sinai hadi Golgotha

Mara yangu ya kwanza kukutana na Dak. David Yonggi Cho ilikuwa ni katika muktano huko Norway katika mwaka 1981. Yeye ndiye mchungani mwanzilishi wa Kanisa la Yoido Full Gospel katika nchi ya Korea Kusini. Hili ndilo kanisa kabwa duniani. Dak. Yonggi Cho alituambia jinsi alitembelea mwanfunzi mwenzake kutoka Shule ya Bibilia aliye pata kukwama na kupungua kwa washirika wa kanisa. Dak.Cho alikuwa ana ona kukua na kuongezeka, kwa hivyo huyu rafiki alikuwa amemkaribisha Dak.Cho kusaidia.Dak. Cho alihubiri ujumbe wa kuwekwa huru kuhusu vile Yesu alitukomboa sisi kutoka laana ya Sheria. Watu waliwekwa huru na wakawa na furaha na wengi wakapokea, ubatizo katika Roho Mtakatifu, na uponyaji.

Dak. Cho alitambua, yakwamba, huyu rafiki hakuwa anatosheka,Ndipo kwa utukufu zaidi muktano alikuwa, ndivyo alikuwa na hasira! Kwa mfululizo, hasira yake ikaonekana. Alijibu kwa kusema kitu kama hiki: “Usi hubiri hivyo kwa hili kusanyiko! Nina wajua wao. Wanahitaji kukemewa. Wanahitaji kuelewa jinsi vitu vinahitaji kuwa! Kila Jumapili mimi huwarudi na kuwaonya wao, kwa sababu hiyo ndiyo wanahitaji.”

Aliniongoza kupitia miongozo ya nakala za mafundisho yangu, ilinipaswa kutupilia mbali zaidi ya nusu ya mafundisho yangu,hata jumbe zangu maalumu,” Hauwezi kumfanya Mungu kuwa mjinga.

Hiyo ni wakati Dak. Yonggi Cho alisema maneno ya kuweka huru yaliyo kichwa cha hii nakala: “Unahitaji kutoa madhabahu kutoka Mlima Sinai hadi Golgotha!” Katika maneno mengine, kutoka katika Sheria iliyo letwa hadi mahala neema iliweza kutolewa. Alieleza kwa undani zaidi akisema: “ Hata umbwa inajua vizuri sana na ina weza kuanza kula kwa jirani iwapo haitaweza kupigwa kichwana kila wakati inapo kuja kula!”

Fikiria ni kanisa ngapi, hekalu na vyumba vya kukutania ambavyo vimekuwa tupu, kwa sababu ujumbe “ume wagonga watu vichwani”. Wamesikia semi kama hizi: “ Tunacho hitaji ni…” “iwapo tungekuwa zaidi……,” “ Kwa mimi ninajua…” Nime pokea neno ambalo ni la muhimu kwangu…..”

Anga yote imekuwa ya Mlima Sinai! Kama haicha kuwa “giza na utusitusi na dhoruba” (Wabra 12:18) Hakika imekuwa ni sheria na maagizo na masharti- “Uta fanya” na “Hauta fanya !”

Upya wa Roho na Golgotha

Kwa kweli,inawazekana kuleta maandiko ya kale katika maisha ya Kikristo, ili kwa kwamba hata maisha ya Kikristo ina kuwa na sheria, maagizo na masharti nyingi: “Unahitaji kusoma na kuomba.Lazima uwambia wengine kuhusu Yesu. Lazima uingie katika ibaada za kanisa, n.k.” Upya wa Roho hutimiliza haya matarajio, lakini hutendeka katika uweza wa maisha ya ndani na sio masharti ya inje.

Katika maneno mengine, toka pale sheria ilitolewa hadi mahala neema ilitolewa.

Kwa sababu “ maandiko ya kale” imeruhusiwa kukuwepo, ukristo umekuwa dini ya matendo, kama dini ingine iwayo. Lakini imani yetu ni bure na isiofaa bila Kristo aishiye ambaye amefufuliwa toka wafu (1 Wakori 15:14-20) Imani yetu iko kwa mzingi wa mtu mpya aliye umbwa wakati Kristo alipo fufuka toka wafu.Zaidi ya yote twalikufa katika kutenda dhambi na tukafufuliwa na Yeye, sasa tuna ishi katika maisha mapya ( Waru 6:1-11) Yote yanategemea kazi iliyofanyika huko Golgotha, na yote tuna hitaji kushirikia yako juu ya msingi wa kazi iliyokamilika. Tunashiriki kuhusu asili mpya iliyo sehemu ua “ yule upya wa Roho,” na tuna acha “ uzee wa aandiko” pekee yake juu Mlima Sinai.

 

 

 

 

 

Na: Åge M. Åleskjær

Former Senior Pastor at Oslo Christian Center, now spending most of his time ministering all over Norway and internationally.

Mengi Kuhusu Åge M. Åleskjær | Nakala iliyoandikwa na Åge M. Åleskjær