Maneno Mawili: Kutulia na Nguvu

Na: Mary Felde
Kutoka: October 2009
Patikana ndani ya: Grace and Faith

Je inawezakana kutulia na kuona miujiza zikitendaka? Je maneno kutulia na Nguvu za Mungu huenda pamoja? Au sisi tunahitaji kuongezea maneno kama matendo, nguvu zetu wenyewe, haki ya kibinafsi na kulipia gharama kwa ajili ya nguvu za Mungu?

Tuna amini utaweza kufurahia nakala mbili katika barua ya mwezi huu. Mchungaji Tom Lipkin kutoka Fini anafundisha kuhusu Injili rahisi iliyo Nguvu za Mungu na Mchungaji Mike Walker kutoka US ana eleza jinsi tunaweza kutulia katika kazi zilizo kamilika za Yesu Krsito na kupata hapo matunda yake.

Injili ndiye habari njema ya yale Yesu asha fanya! Walakini, bahati mbaya mtizamo wetu unalenga sana yale tuna paswa kufanya. Waga 1:6 inasema , “Nashangaa kwamba mnamwacha upesi hivyo Yeye aliyewaita kwa neema ya Kristo na kuifuata injili nyingine, ambayo kwa kweli si injili kamwe, ila kwa dhahiri kuna watu wanaowachanganya na wanaotaka kuipotosha Injili ya Kristo.”

Tunapo geuka toka kwake Yesu- ni nani tuna mgeukia? Kila wakati jawabu ni: sisi wenyewe! Tume I tumefanya ya kutosha, kupata I haya, mimiI mzuri sana n.k.a . Haya ni mswali yote yaliyo mbaya. Maswali yaliyo sawa ni: Je Yesu alilipa gharama yote? Je

alikamilisha kazi? Je Yesu mzuri sana? Ikiwa una “ndiyo” kwa maswali haya tunaweza kutulia katika hakikisho la kazi Yake iliyo kamilika!

Ji himize na ruhusu Injili iwe nguvu za Mungu katika maisha na huduma wako.

Na: Mary Felde

Mary Felde serves as both principal and Bible teacher at WIM’s Bible College, East Africa

Mengi Kuhusu Mary Felde | Nakala iliyoandikwa na Mary Felde