Kupumzika Katika Yesu

Na: Mike Walker
Kutoka: October 2009
Patikana ndani ya: Grace and Faith
Kuna mahala pa pumziko kwa ajili ya mwamini wa Agano Jipya .Tunaweza koma kutenda matendo yetu wenyewe na kuingia katika uzima ambao Yesu ametupa kupitia msalaba.

Pumziko – neno linalo onekana zaidi ya kushikika na watu wanao ishi katika kuharakisha, kusukuma, dunia ya mzongo. Mahitaji ya kila siku hula muda wetu na nguvu zetu, lakini anatuhakishia ya kwamba kuna mahala pa utulivu kwa ajili ya watu wa Mungu.

Kwa hiyo, kwa kuwa bado ahadi ya kuingia rahani iko wazi, tujihadhari ili hata mmoja wenu asije akaikosa.

Mahitaji ya maisha ya kila siku hula wakati na nguvu zetu, walakini Mungu ametuhakishia ya kwamba kuna mahala pa pumziko kwa ajili ya watu wa Mungu.

Kuna pumziko kwa watu wa Mungu; mahala katika Roho ambako tunaweza kuishi kwa maarifa ya uzima teletele na uweza usio kuwa wa kawaida ambako Mungu ametupa. Kuna mahala pa pumziko ambako tunapumziko kutokana na kazi zetu wenyewe na kuingia katika maisha ya Yesu aliye tupa kupitia msalaba.

Nchi ya Ahadi

Wabr 4:2-3 Kwa maana sisi pia tumesikia Injili iliyohubiriwa kwetu, kama nao walivyosikia, lakini ujumbe ule waliousikia haukuwa na maana kwao, kwa sababu wale waliousikia hawakuuchanganya na imani. Sasa sisi ambao tumeamini tunaingia katika ile raha,....”

Mkutadha huu unazungumza kuhusu habari katika Agano la Kale linalo patikana katika kitabu cha Hesabu 13. Tunaweza kusoma jinsi Mungu aliongea na wana Israeli na akawapa hii a hadi ya “ nchi ya ahadi” Bwana aliwampia waende kuchunguza hiyo nchi na kuona zile baraka. Kwa hivyo waka chagua wajuzuzi kumi na mbili walio tumwa mapema kuangalia yale Mungu alikuwa ame wahadi. Katika safari yao walikundua kuta zilizo zunguka miji na majitu walio kuwemo na pia walakini wa jua utele wa baraka zilizo kuwemo.

Wajazuzi kumi na mbili walirudi na habari ya kuofisha; wao hawakuamini Bwana aliwapo hiyo nchi. Ni Yoshau na Kalebu walio kata kuamini habari hiyo mbaya, na baadaye waka ingia katika nchi ya ahadi - nchi inayo tiririka kwa asali na maziwa au iliyo kuwa katika Maagano Mapya, yaani utele na ustawi. Wao ndiye wawili wa kizazi hicho walio ingia katika pumziko!

Usi amini taarifa mbaya, lakini amini Injili na uta ingia katika mahala pa pumziko, amani, ustawi na afya.

“Nchi ya ahadi ipo” kwa kila mwamini; ni nchi inayo tiririka kwa afya, ustawi, na kila tendo jema. Nchi ya ahadi sio mahala tu katika rahamani, ila ni hali fulani iliyopo. Ni mahala katika ulimwengu wa roho ambayo ina tu adhiri jinsi tunavyo jitenda “maishani” na katika hali yetu ya kupitia janga moto abao maisha uachilia kwetu sisi. Uzima ambayo Yesu alikuja kutoa hushinda mambo ya kismzingi, habari ya utunzi ambayo Wakristo wengi wametulia kwayo.

Amani Injili na uingie mahala pa pumziko

Mahala pa pumziko ni mahala pa amani kabisa na ushindi katika kila eneo la maisha yetu, na ina patikana katika kuamini Injili - habari ili mzuri sana kuwa kweli, na bado ni kwel!

Yohana 6:28-29 Ndipo wakamwuliza, “Tufanye nini ili tupate kuitenda kazi ya Mungu?”Yesu akawajibu, “Kazi ya Mungu ndiyo hii: Mwaminini Yeye aliyetumwa Naye.’ Kuingia mahala pa umziko lazima tuamini Injili. Amani ya kwamba Yesu ndiye Mwokozi, mponyaji, mkombozi na anaye peana. Amani Yeye ni Mchungu Mkuu anaye tuongoza na kutulinda sisi katika maeneo ya maisha ya kila siku. Ili tufanye kazi za Mungu, ni lazima tuamini! Amini ya kwamba ameshinda bguvu zote za adui na kwamba tumeketi pamoja na Yeye katika mbinguni juu.

Kuna mahala pa mamlaka - mahala pa kujua ya kwamba Mungu yu pamoja nasi.

Tunapigana vita vizuri vya imani kuamini kama vile upepo na mavimbi ya adui huja kinyume cha maisha yetu. Kwana sauti nyingi zinazo semeza ulimwenguni leo hii - sauti ya vyombo vya habari, sauti ya mawazo yaliyopo, sauti ya uhusiano ulio vunjika, sauti mazoeya, sauti ya hofu na nyinginezo. Zote hizi zina kuwa na udhuru fulani maishani mwetu. Zingine zinaweza hata kuwa kubwa sana katika fikira zetu kubwa kama jitu linapo kuwa maishani mwetu.

Hii ndiye sababu ni muhimu kuzikia sauti ya habari njema ya Injili! Ni habari zinazo funua upendo wa Mungu ulio mkuu na usio pimika kwa mwanadamu, yaani alimtuma mwana Wake wa pekee Yesu, kuja toka mbinguni kuja Kukomboa mwanadamu.Kama mwanadamu, Yesu akawa yule mkamilifu, dhabihu inayo kubalika ya mwanadamu. Ghadhabu ya Mungu kwa ajili ya dhambi ili miminwa kwake Yesu! Tunaweza kupumzika katika hiyo kweli. Yesu alilipa gharama yote ya dhambi, aman yetu, uponyaji wetu, mahitaji, kwa ajili ua urafiki, hekima, na akatupa kikamilifu na ushindi wa kamili juu ya nguvu zote za ibilisi!

Tume keti na Yeye katika mahala pa pumziko

Kuna mahala pa mamlaka- mahala pa kujua ya kwamba Mungu ako pamoja nasi. Tuna elewa imani huja kwa kusikia na kusikia Neno la Mungu, kwa hivyo mara tu tunapo sikia “habari zili mzuri sana kuwa kweli, bado ni kweli” na usikumbatie na ushikiliye, uamini na utangaze – basi tulia katika ukweli.Usi amini taarifa mbaya, ila amini Injili na uingie katika mahala pa pumziko, amani, ustawi na afya.

Jinsi Yoshua na Kalebu waliningia katika nchi ya ahadi na kizazi kichacho, na kile kizazi chao, ambao hawakuamini na hawakuingia katika pumziko, walikufa jangwani.

Tume keti pamoja na Yeye katika mahala pa pumziko, ambako tume shinda dunia kwa imani katika kazi zake zilizo kamilika

Waeb 4:9-11- Kwa hiyo basi, imebaki raha ya Sabato kwa ajili ya watu wa Mungu, 10kwa kuwa kila mmoja aingiaye katika raha ya Mungu pia hupumzika kutoka kazi zake mwenyewe, kama vile naye Mungu alivyopumzika kutoka katika kazi Zake. 11Basi na tufanye bidii kuingia katika raha hiyo, ili kwamba asiwepo ye yote atakayeanguka kwa kufuata mfano wao wa kutokutii

Ingia dani ya Kristo amesha timiliza kwa ajili yetu. Yeye ameketi katika sehemu za mbinguni; Yeye ameshinda na kutopa huo ushindi kweti sisi!Tume keti pamoja na Yeye katika pumzika mahala ambako tumeshinda ulimwengu ulimwengu kwa imani katika kazi zake zilizo kamilika.

Wakati mwengine inaweza kuonekana ni kama jawabu liko mbali sana na sisi, na kana kwamba kuna kuta kubwa kati ya ushindi na sisi. Haya majitu yaneweza kuongezaka na kuwa kubwa na tuonekane kama panzi mbele zake wakati maisha yemeshindwa na shida, lakini kuna wakati wa kuingia katika mahala pa pumziko la Mungu. Tunaeza kutulia moyoni, niani mwetu na tufika zaidi ya pazia ya kutoamini na kutulia katika yale Kristo ametufanyia - tumeketi katika mbinguni katika Kristo Yesu juu ya mamlaka, nguvu zote na kila liatajuapo!

Matha 11:28-30 “Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu. Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.’’

Kumbatia ahadi ya Mungu na utangaze ya kwamba kupitia Kristo Mahala pa pumziko ni petu.

 

 

 

 

Na: Mike Walker

Rev. Walker along with his wife Jane set out to establish and build a strong local church in Post Falls, ID. Thus came the pioneering of Faith Tabernacle Church. Since that step of faith 23 years ago, this journey has seen them into over twenty countries.

Mengi Kuhusu Mike Walker | Nakala iliyoandikwa na Mike Walker