Imekuwa ikiendelea kwa miaka maelfu na maelefu. Duniani kote, na watu walio changanyikiwa na waliopotoka wametoa wenyewe dhabihu wakijaribu kupendeza mmoja “mungu aliye kasirika au mwingine.”
Katika historia ya mwanadamu katika dini za watu mataifa wengi, imekuwa ni mazoea ya kujaribu kujipatia ulinzi kutokana pigo linalo kuja duniani. Mwanadamu katika vizazi vyote, anayo dini ndani mwake inayo ijaribu kupoesha hasira, ya Mungu asiye kweli na aliye mkali sana. Kulingana na Bibilia hata baadhi ya watu wa Mungu walijaribu kutoa watoto wao kama dhabihu katika tarajio la kukwepa ghadhabu ya mungu wa mashetani, Meloki. Itaweza kukustaajabisha wewe kukuknduwa ya kwamba hata leo hii katika mfiringo za Kikristo watu wangali wana fikiria ya kwamba kusudi la Mungu ni kumwaga gadhabu Yake ili ajithibitishe Yeye mwenyewe.
Hii ni uwongo mtupu katikati mwetu kuhusu tabia ya Mungu. Matendo mabaya mengi yamewekwa kwa Mungu bila sababu. Yeye ameendelea kulamiwa kwa matendo ya yule mwovu katika ulimwengu wetu. Ukweli ni kwamba lile tolea la dhabihu la Mwanakondo wa Mungu, Yesu Kristo amerithisha kikamilifu matakwa matakatifu ya Mungu mwenye haki.Kupitia mwingilio wa Yesu Kristo mwanadamu amepatananishwa kwa Mungu mwenyewe- amani imefanyika kupitia damu ya thamana ya msalaba. Mstaajabu, mstaajabu- Mungu hajakasirikia na yeyote!
Wema Mungu huleta Watu Katika Toba
Kwa muda mrefu ulimwengu wa dini umekuwa ukitoa picha ya Mungu kana kwamba ana wafanya watu kuwa wagonjwa ili awafundishe funzo la kilindi cha rohoni.
Mara nyingi wakristo wanaongea kana kwamba Mungu tunaye mtumikia ni mwenye hasira na wakulipisha kisasi. Wao huongea kana kwamba Mungu ndiye shida yao, karibu ni kama kuna hakuna tena ibilisi katika utendaji akisababisha shida katika sayari ya dunia hii.Tunaweza kuyasikia kila wakati.Kwa muda mrefu ulimwengu wa dini inemkuwa ikitoa picha ya kwamba Mungu ndiye anafanya watu kuwa wagonjwa iliawafundisho funzo ya rohoni lilo la ndani.Wengine wana amini ya kwamba labda Mungu ndiye anaye leta shida kuwasafisha watu Wake kwa kutuma tetemeko la aradhi, mafuriko, tofani kuu kuwaonyesha na kuthirisha hasira yake.Iwapo chochote kibaya kingetokea kwao,wana uhakika Mungu anawapiga kwa vichwa walipotoka; au analeta kuumwa kwa kicha maishani mwao “ ili kuwafanya wanyenyekea”. Waumini wengine wamezoea sana hizi itikadi,upumbavu, imani ya kiajali ya kwamba kila kitu kinacho tokea maishani mwao kina maana ya ajabu. Kila aina ya matukio mabaya na mashambulizi ya magomjwa yote yana wekwa kwa mapenzi ya giza ya Mungu. Walakini sio vigumu kuona ya kwamba nia hii iko katika upingamizi dhairi na Neno la Mungu.
Bibilia haituwachii shaka lolote kuhusu tabia ya Mungu. Inatangaza wema na rehema za Mungu zizo na mwisho. Tuna ambiwa kwa ukweli ya kwamba Mungu amepatanisha dunia katika Kristo kwake Mwenyewe na Sasa heesabu makosa ya wanadamu juu yao tena (2 Wakor 5:19). Tuna ambiwa kuwa uwazi ya kwamba Yesu ni suluhu ya dhambi zetu na dhambi za ulimwengu wote (1 Yohana 2:2). Mungu ametupa neno la upatanishi kwetu. Ni ujumbe wa rehema na msamaha.Yeye hajakasirika na mwanadamu.Sisi tuna ishi katika majira za neema na kibali cha Mungu na wema Wake unaleta watu katika toba (Warum 2:4).
Kulingana na baadhi ya “ manabii walio jiteua,” hii inahitaji kuwa kumbusho ya hasira takatifu ya Mungu juu ya dhambi na kukosa utii.
Tanguia dhoruba la hivi majuzi la mshambulizi ya kikaidi na kuonekana kwa mapigo mengine makuu, sio kawaida kusikia watu wakisema Mungu anafunua hukumu Yake na kutuma moto Wake kuonya mataifa ya dunia. Tuna ambiwa ya kwamba hii ni onyo ya kwanza la Mungu na kwamba Ako katika hali ya kuanza kutimiliza hukumu Zake. Baadhi ya “manibii waliojiteua” Hii yote ina hitaji kuwa kumbusho ya hasira takatifu ya Mungu juu ya dhambi na kukosa utii.Lakini hii ni uwongo ulio rahisi na utafsiri ulio mbaya wa Neno la Mungu na Tabia yake. HAKUNA KINACHO WEZA ZAIDI YA UKWELI.
Wakati tuna tukio linalo leta huzuni nyingi na usunbuvu kwa taifa au kundi la watu, wale wanao jiita manabii wana amka na kutangaza ya kwamba Mungu sasa ana onya na kutingiza dunia katika hasira Yake. Semi kama hizi ambazo katika giza zina wakilisha vibaya tabia ya Mungu, lazima zikataliwe kama unabii wa uwongo. Mungu ako katika shughuli ya kuokoa na kuponya watu - Yeye siye msumbuvu. Yesu ni mchungaji mzuri, siye mchinjaji Mungu ndiye anaye toa na kutunza uzima – Yeye siye mharibifu wa uzima. Hivi sasa hatupo katika majira ya ghadhabu ya Mungu. Siku ya Bwana na kulipisha kisasi Chake bado kuja katika dunia. Sasa ni siku ya uwokovu - hii ni majira ya neema ya Mungu.
Hata kuwepo na kuenea kwa UKIMWI dunia kote, kulitokea unabii ya kwamba “ mungu mwenye hasira” sasa anawaadhibu walawiti kwa ajili ya maisha ya zina. Ule uharibifu wa uchungu wa UKIMWI ulipaswa kuwa hukumu ya Mungu kwa sababu ya maisha zina. Baada ya pigo la Estonia, mahala ambako mamia walipoteza maisha yao, wakati mashua kubwa lili weza kuzama katika baridi katika pwani ya Finland, twali ambiwa na “manabii” wengine waliopotoka ya kwamba Mungu sasa ana tingiza nchi za kasikasini kwa sababu ya siasa za ukarimu na uovu. Dhoruba lile la unabii mmbaya ulikuwa dhairi baada ya pigo la kituo cha kemikemi ya makali kule Chernobyl. Wengine waka jaribu kutafatu na kunukulu katika kitabu cha ufunuo wa Yohana.Wakati wa vita vya katikati mwa mshariki mwa kuba, wakati taifa la Iraq na kiongozi wake Saddama Hussein waliweza kung’olewa mamlakani na kufukuzwa toka kule Kuwait, tuliambia na “manabii” walio jiteua wenyewe kwamba Mungu alikuwa analipisha hasira Yake juu ya Islam na ulimwengu wa kisalmu. Baadhi ya wanahisia tena walijaribu kutafuta maandiko ya Bibilia ya kujiunga mkono nayo.
Hakuna mahala tunasoma Yesu alituma dhoruba na mapigo kuadhibu watu na kutimiliza hukunu ya Mungu.
Ni ya kushusha sana kuona Wakristo wajinga wana danganywa na hawa waalimu wasio wajibika na kuongozwa vibaya. Mungu ni yule anatafuta upatanishi. Yule nabii wa kweli wa Mungu, Isaya anasema “Hakika alichukua (Yesu) udhaifu wetu na akajitwika huzuni zetu, hata hivyo tulifikiri amepigwa na Mungu, amepigwa sana naye na kuteswa. Lakini alitobolewa kwa ajili ya makosa yetu, alichubuliwa kwa maovu yetu,adhabu iliyotuletea sisi amani ilikuwa juu yake (Isaya 53:4-5). Yesu Kristo amelipa gharama ya dhambi ya wanadamu wote. Mungu hamwagi tena hasira wala hahukumu mataifa bado. Hiyo “siku ya ghadhabu” ni siku sijazo na amehaidi kuokoa kanisa Lake. Kutokana siku ya ghadhabu.
Na sasa baada ya matukio ya kutisha ya Septemba 11 kule Amerikani, tena tume wekwa kwa mambo mengine yaliyo semwa ya kwamba Mungu ametoa mkono Wake wa ulinzi juu watu wa Amerika, wengine wame sema ya kwamba Mungu ana adhibu New York jinsi ilijitenda kama mlango ulio wazi, kwa dhambi kuingia katika hiyo nchi.Wengine wameenda zaidi wakisema huu ndiwo mwanzo wa nyakati za mwisho za hukumu za Mungu. Walakini, mazungomzo ya aina hii ni uwongo mtupu.Baba wa uwongo mwenyewe, Shetani, amefaulu kuleta lawama iliyo yake kuja kwa upande wa Mungu. Yeye ameongoza watu vibaya kuweka lawama kwa Mungu kwa hii kazi ya kutisha ya giza. Kwa kuwadanganya watu wa Mungu katika kuamini huu uwongo, ibilisi ana uwezo wa kuweka watu wazuri katika utumwa. Kwa kupotosha tabia ya Mungu, adui ameonekana kama malaika wa nuru na amezuia watu kuto pokea rehema na wema wa Mungu. Usi shangaaye wauimini wa ukweli wana shida katika kupokea baraka kutoka kwa Mungu!
Mwana wa Adamu hajakuja kuaribu maisha ya watu ila ni kuokoa wao
Bibilia kwa uhakika ya sema kila karama mzuri na kilicho kamilifu hutoka juu, kwa Baba wa mianga. Mungu hashiriki na giza.Hana tabia ya kutumia watu wabaya, makaidi kupanua malengo Yake kwa mwanadamu. Bwana aliye mwema hayuko katika shughuli za kuzambaza ugonjwa mmbaya kuendeleza makusudi yake. Hakuna mahala tuna soma Yesu alituma dhoruba na mapigo kuwapa watu adhabu ili atimilize hukumu ya Mungu. Hata katika tukio moja wakati Yakobo na Yohana walitaka amrishe moto ushuke chini toka mbinguni na kuteketeza kijiji kimoja Samaria, Yesu aliwakemea sana. Alisema wao hawakujua ni aina gani ya roho iliyo kuwa ikitenda kazi ndani mwao (Luke 9:54-55).
Tabia na utendaji wa Baba mbarikiwa wa mbinguni haruhusu Yeye kufanya mambo ya kutisha ambayo Amesumbukia. Jambo hili kwamba Bibilia inawasilisha Mungu kama Baba wetu wa mbinguni anaye penda watu, haimpi kibali cha kutumia magonjwa, maaradhi, ukosefu, pigo,na mikosi kama njia ya kufundisha, kuelemisha na kusafisha.
Ufunuo uliotukuka na kamilifu wa Agano Jipya inasema ya kwamba Yesu alikuja kutafauta na kupata kilicho potea. Mwana wa Adamu hajakuja kuharibu maisha ya watu ila ni kuwaokoa. Yesu alisema Yeye Mwenyewe ni timilizo la “ wa ukumbusho wa mwaka wa hamsini” Na sasa tuna ishi katika mwaka wa huu wa ajabu wa hamsini wa kibali cha Mungu. Mungu hakasirikia mtu yoyote. Yeye ni mvumilifu na mwenye subira, asiye taka mtu yeyote asi angamie, akitamani ya kwamba wote wakuje katika toba. Ghadhabu ya Mungu kwa ajili ya dhambi iliweza kulipwa kikamilifu na kuridhishwa katika damu ya Yesu Kristo. Ghadhabu ya Mungu, kwa sababu ya dhamba za mwanadamu, ziliwekwa juu ya Yesu badili yetu.Yesu ndiye “pasaka yetu” Mungu asifiwe, sisi tupo sasa katika majira haya yanayo itwa Majira ya Neema ya Mungu (Wakol 1:25).
Ghadhabu ya Mungu juu ya dhambi imelipwa kikamilifu au imeridhishwa katika damu ya Kristo.
Laana ambayo ipo duniani, ikiwa na ushusho na mikosi yake yote, iliketwa duniani kama matokeo ya mwanadamu kutotii. Ilikuja katika kuanguka. Mungu awajibiki kwa ajili hili mapigo na kazi za giza tunazo ziona. Shetani ndiye musumbufu anaye leta mateso hapa duniani. Sasa katika kizazi cha sasa, dunia yote ipo chini ya uweza wa yule mwovu (1 Yohana 5:18). Sasa hivi viumbe vyote vinaukuwa vikingojea ukombozi (Waru 8:22).
Bibilia inatangaza kwamba Ghadhabu ya Mungu itafunuliwa toka mbinguni juu wote wasio mcha Mungu na wasio na haki (War 1:18). Tuna ambiwa wakati waja ambako Mungu atahukumu matiafa ya dunia. Kuna wakati ambako ghadhabu ya Mungu itaweza kumwagika (Ufunuo wa Yoha 15:7). Walakini, bado tufikia wakati huu katika historia. Ni muhimu sana sisi kama waumini tusije tukatafsiri majira tofauti na nyakati za Mungu kukabiliana na Mwanadamu. Ghadhabu ya Mungu ilmwagwa juu ya Yesu Alivyo teseka kwa ajili yetu. Mungu kwa ukamilifu ameridhishwa na Yesu kama sadaka. Kwa sababu ya msalaba , rehema za Mungu zime chukuwa mahala pa hukumu.Kama mtoto wa Mungu aliye zaliwa mara ya pili katika Kristo umepokea rehema badili ya hukumu.
Usi sumbukane na yale unayo ona ya kitendeka katika mazingara yako. Inua kichwa chako! Jipe moyo! Yeye aliye kuita ni mwaminifu na anastahili kuaminiwa sana. Na roho, nafsi na mwili wako utunze na usiguswe mpaka kuja kwake Bwana Yesu Kristo. Kumbuka juu ya yote - MUNGU NI MUNGU MWEMA!
Nakala zinaweza kuipigwa chapa mradi zina chapishwa katika
ukuu wake wote na pongezi zitolewe kwa to Global Grace News http://www.globalgracenews.org.