Swala - la Amri wa Uzee

Na: David Sterling
Kutoka: September 2009
Patikana ndani ya: Injili ya Neema
Jawabu la swala la umri wa uzee linalo eleza mashaka ya dini zote katika uso wa dunia hii.

Kunalo swali katika Bibilia linalo eleza mashaka ya dini zilizopo katika duniani - ni hili: “ Ni vipi mwanadamu anaweza kuwa mwenye haki na Mungu? Au ni vipi yule aliye zaliwa katika mwana mke awe msafi?” (Ayubu 25:4). Katika maneno mengine, ni vipi inawezekana kwa mwanadamu wa asili, alifungwa na dhambi zake mwenyewe na aliye zaliwa katika dunia iliyo na dhambi, kusimama mbele ya Mungu Mtakatifu kubalika na kuwa safi? Ni vipi mtu wa kawaida mwenye dhambi anaweza kumfikia Mungu mwenye haki na mtakatifu?

Ni vipi mtu wa kawaida mwenye dhambi anaweza kumfikia Mungu mwenye haki na mtakatifu?

Kupata lile la kimsingi na kulenga jambo, tunaweza kusema dini zote kama kawaida zina jambo moja la pamoja ziko kwa msingi ya yale unapaswa kufanya ndiposa ukubalike machoni pa Mungu. Dini kwa ukawaida ni yale inayo mpasa mwanadamu kufanya ili kupokea baraka, msamaha, kukkubalika, msaada na majibu ya maombi toka kwa Mungu. Haijalishi hiyo dini ipo na mchanganyiko ya mambo geni ya uwongo toka mashariki au kama imechafuliwa na namna iliyo haribiwa ya “dini” Kikristo, matendo ya mwanadamu ndiyo kiini ya jambo linalo mfanya kuhidimu.

Dini husema: iwapo utafikia viwango vilivyo wekwa utapew fidia, tuzo, na baraka kiasi fulani.

Dini husema: iwapo utafikia viwango vilivyo wekwa utapewa fidia, tuzo, na baraka kiasi fulani. Hivyo ndivyo huenda. Unafanya sehemu yako na Mungu anaweza kufanya shehemu Yake! Unafanya mazuri ili kufikia viwango na Mungu aonyeshe wewe kibali na kubariki! Je hii mashaka ya namna gani yasiyo na tumaini - je hii ni njia ya namna gani yenye maisha ya msongo! Dini huleta msongo wa juu sana na huweka uzito wote kwako nay ale uliye timiza. Watu ambao wame songwa sana ni wale wafuasi wenye bidii sana wa “mpangilio fulani wa dini” Kwa kweli,ina onekana kwamba ni “binadamu wasio kawaida” wengeweza hata kuja karibu na hizo viwango vya kuhidimu vinavyo tarajiwa na baadhi ya dini. Bila tumaini, hafifu na wasio na lengo- ni barabara na mwisho wa mauti - na hakuna njia ya kutokea!

FAHAMUNI - DINI NI HATARI!

Juhudi la mwanadamu, utendendaji na uweza wa kushika amri ndizo mizingi zilizopo za udanganyifu ya dini zote. Ili kwamba uhidimu kupata baraka na kibali, mwanadamu yafaa ukubaliane na viwango vya nje vya kipekee na mwishowe atimilize viwango vile vingine. Hii ndiyo mwishowe ina amua siku za usoni za mwanadamu. Kwa hivyo ipo ndani mtindo za dini kupitia wanadamu wote. Tunaweza kuona toka kwa haya ya kwamba dini ni hatari mno - ina mambo yake ya kiino inayo tegemea mwanadamu lazima atende, kile mwanadamu lazima kutenda! Kila dini kimsingi huzunguka katika mtindo wa kazi na matendo - hiyo ndiyo sababu ni hatari mno!

Kwa bahati mbaya, hata tafsili iliyo haribika ya “dini ya Kikristo” ime anguka katika mtego huu - na imekuwa mradi ya matendo ambako mwanadamu anajaribu kumpendeza Mungu kupitia juhudi na kazi zake mwenyewe. Wakati ina onekana haiwezi kani kuona tofauti kati ya “mambo yaliyo katikati matendo” mengine ya dini na Ukristo!

“KUJIFANYIA MWENYEWE”

“Dini” ya Kikiristo pia ina mambo yake ya nakala ya “kujifanyia mwenyewe”

Ile “dini ya Kikristo” imegeuzwa kuwa mfululizo wa matakwa yasiyo na mwisho. Kwa uhaki Ukristo upo na tofauti nyingi, nyingi za dini za“kujifanyia mwenyewe”. Unaweza kuwa umewahi kuona vitabu vya “kujifanyia mwenyewe vikiuuzwa katika maduka za vitabu. Karibu kiwa kitendo unacho penda kina nakala ya “kujifanyia mwenyewe” ambacho ni cha kusaidia yule mtu kutengeneza, kujenga au kufanya kitu. Kwa mfano kuna nakala za “kujifanyia mwenyewe” karibu kila aina ya gari ambacho ni cha kukusaidia wewe kuunda na kufanya huduma wa gari yako pasipo usaidizi wa kando.Ile “dini” ya Kikristo, pia inayo nakala ya “kujifanyia mwenyewe”. Kuna vitabu vya aina nyingi juu ya, jinsi ya kupata ufanisi, lupata baraka zaidi, kupokea ushindi zaidi na msaada nyingi kutoka kwa Mungu. Kwa kuomba zaidi, kwa kujisalamishawewe mwenyewe zaidi, kwa kuwa zaidi wa kujitolea kwa kuamini zaidi, kwa

<

kutenda zaidi….. na hiyo orodha haifiki mwisho… zaidi, na zaidi sana . Lakini haiwezi kuzalisha kile kinacho haidi—ila cha toa uwongo na ushusho kwa wafuasi wake. Habari njema ya injili hazi husu wewe ni jinsi gani unafanya mambo haya mwenyewe- Mungu asha fanya jambo la muhimu na kamaliza pasipo msaada wa mwanadamu.- endelea tu kujisomea!

TULIZO KWA WANAO DHOFIKA

Habari njema kwa wote walio choka na tinga tinga ya dini ni hili : Haki ni kipawa toka kwa Mungu kwa wale wanaopokea yale Yesu ame wafanyia wao kwa imani! Kukubalika na msamaha upo kwa sababu ya yale Yesu tayari asha fanya! Haki na uzima wa milele ni vipawa vya Mungu kwake mwanadamu! Hizo sio kutegemea yale unayo paswa kufanya - yote ipo juu yale Mungu tayari asha fanya! Kipawa hauwezi kukifanyia kazi ili upate au hauwezi kukinunua. Iwapo unawezi kilipa fidia fulani, basi hakiwezi kuwa kipawa tena.

Watu wengi duniani kote wanao kubali “Dini ya Kikristo” hawacha wahi sikia Injili ya Kweli wao wamekubali tu mfano wa “Ukristo” bila kuelewa injili kamili ina husu nini. Wao hufikiri “Ukristo” ni kama dini ingine iliyo na mashart fulani kuliko dini zingine! Wao wame weka Mambo ya “Kutenda na Kuto tenda” ya Kikristo ya zile dini zingine. Wao wana amini lazima wafanyie njia yao kwa Mungu kazi na kwa wakati huo wafanye kilicho bora kupokea na kushika fida za wokovu.Hiyo sio Injili ya kweli, hata hiyo sio Habari Njema!

Ile “habari iliyo mzuri sana kuwa kweli” kwa wale wanao sumbukana na walichoka na mahsrti ya mapangilio wa dini ni hii: kukubalika na msamaha toka kwa Mungu haitegemee utandaji wako!Utendaji wako hauwezi kuleta haki na kukubalika - yote msamaha na haki ni vipawa bure toka kwa Mungu! Unaweza kujua zaidi ya shaka lote kwamba wewe umependwa, umekubalika na umesamehewa kwa sababu ya yale Yesu tayari asha fanya kwa niaba yako!

Kukarabati tabia haibadilishi makusudi ya moyo wa mtu- hiyo huzalisha tu “matedno yaliyo karabatiwa”

Kipawa huru cha haki hufanya moyo kubadilika, mwishowe hubadilisha, matendo Matendo haya wezi kubadilisha mioyo zetu. Lakini moyo ulio badilishwa uta weza kuadhiri matendo yetu! Kukarabati tabia hakubadilishi makusudi ya moyo wa mtu - huleta tu “matendo yaliyo fanyiwa ukarabati” Ukristo hau lengi tu” ukarabati wa tabia” ila ni kubadilisha watu toka ndani.Dini huzingatia sana matendo ya nje, ila Mungu hulenga sana kubadilisha moyo wa watu.

Tunapo tambua kazi iliyo kamilika ya Yesu Kristo, ambaye alikamilisha msalabani, haki inakuwa neno linalo kubalika. Haikui sharti ambalo tumeshidnwa kutimiza. Tuna tunatumbua ya kwamba haki inayo stahili chochote ni haki ya Yesu mwenyewe - nasi tuna ipokea kama kipawa huru.

Maana yasio ya kidini na yasiyo haribiwa ya neno haki, kwa urahisi ina maanisha “kuwa katika msimamo ulio sawa na Mungu”. Maana mengine rahisi na yasiyo patikana ya neno haki ni “ uweza wa kusimama weponi mwa Mungu bila hatia au kudunisha. ”Sio ngumu kuelewa! Kabla tu “potoke” na sasa “tumerudi njiani” baada ya kupokea karama Yake ya haki kupitia imani katika yale Kristo amefanya. Haki ni hali ya kuwa katika uhusiano na Bwana.Hili inaweza tu kufanyika kupitia imani kamilifu na kutegemea Kristo. Hakuna njia ingine na hakuna kitu tunaweza kuongeza juu ya imani yetu ili kupata uhusiano na Bwana.

Je ni kipawa cha namna gani hiki! Ni baraka ya namna! HAKUNA dini inayo eza kitu cha namna hii!Hi ndio sababu Injili ya Neema ya Mungu ni Nguvu za Mungu kwa waye wote anayo iamini

 

 

 

Na: David Sterling

Pastor of Tampereen Kristillinen Yhteisö, Finland. Member of GGN Board of Directors

Mengi Kuhusu David Sterling | Nakala iliyoandikwa na David Sterling