Injili ni Nguvu za Mungu

Na: Tom Lipkin, Finland
Kutoka: October 2009
Patikana ndani ya: Injili ya Neema
Mitume walihubiri Injili rahisi ya Upendo wa Mungu na neema kupitia Yesu, na Mungu akathibisha neno Lake kwa kuponya wagonjwa. Je leo hii tunahubiri Injili safi au tunahubiri haki ya kibinafsi?

Je Injili ni nguvu za Mungu kila mahala ?

Fikiri kuhusu ujumbe mkali na umati ulio hofishwa maana una jiona kuwa wenye dhambi sana, walihukumiwa na wasio farijika. Ndiyo wakati mwengui ujumbe una weza kumfanya mtu kutisha, kuhusunika, kujiona duni au kuhukumika.

Bado, ujumbe ni mojawapo wa vyombo Mungu amewapa kanisa.Unaweza kuamusha imani, tuaini na upendo.Ujumbe unaweza kuwa na uweza wa kuweka huru na kuburudisha na kufanya moyo kuchamka kwa furaha.

Kabla hata tutambue hii, sheria ita toa kwetu uhuru na furaha kubwa ambayo Mungu amempa kila mwamini.

Wafuasi wa kwanza walihubiri upendo wa Mungu

Waufuasi walitumia ujumbe na walihubiri Neno walipo kuwa wanafanya utangulizi wa Yesu kwa watu.Kabla Yesu apokelewa mbinguni, Ali waambia wafuasi wake wahubiri Injili kwa kila kiumbe. Yeye mwenyewe alihaiti kulithibisha Neno iwapo wafuasi wake wata lihubiri (Mariko 16:20). Je huu ni mwelekeo wa ajabu gani Muungu aliweka pale kwa ajili ya Kuhubiri.

...kumekuwa sana na tabia ya kuhubiri kitu kingine kisicho kuwa Injili.

Yeye mwenyewe alihaidi kuthibitisha Neno lilohubiriwa.

Mahubiri yaliyomo katika kitabu cha Matendo ya Mitume yalihusu upendo wa Mungu kuelekea watu wote kupitia Yesu Kristo. Mitume walihubiri kwa urahisi kiini cha Injili ya kwamba Yesu ndiye karama ya Mungu na inavyo maanisha kwa watu wanao mpokea Yeye na kuamini mauti Yake, hata ufufuo. Kupitia Injili iliyo rahisi, Mungu alithibitisha neno Lake kwa Upanyaji wa wagonjwa.

Yeye mwenyewe alihaidi kuthibitisha Neno lilohubiriwa.

Wakati huo, haukuhubiri wakilenga kidole kuhusu “makosa” yeyote ya watu. Haukuhubiri katika hali ya kuhukumu au sauti ya kulaumu. Haukuweka mizigo juu ya watu kwa kutaka vitu tafauti toka kwao. Paulo haukuhubiri ni jinsi gani “mbaya sana”ibada ya sanamu za Athene ilikuwa na jinsi gani ilikuwa maisha ya Wakorintho ilikuwa“ovu”. Au Filipo haukuhubiri hukumu juu ya Samaria kwa sababu ya dini zake tafauti. La. Wafuasi walihubiri kwa urahisi Yesu. Walihubiri neema ya Mungu ambayo kila mtu angepokea. Walihubiri kibali cha Mungu ambayo huja juu ya watu wanao mpokea neema ya Yesu. Yesu alikuwa ndiye kiini cha kila kitu.Matendo ya mtu hayaku shangaza Mungu kwa njia yeyote.

Matokeo ya kuhubiri haki ya kibinafsi

Huu ukweli wa kimsingi haucha wahi kubalika. Hata hivyo kumekuwa na tabia ya kuhubiri kitu kingine kisicho kuwa Injili.

Katika ujumbe huwa tuna weka macho yetu juu yetu na ju ya yote tunapaswa kufanya ili tuwe na “uamsho”Matokeo ya haya ni kushushwa. Hivi ndivyo ujumbe unahusu.Yafaa, Ujumbe ulete picha ya Yesu mbele ya macho ya msikilizaji na kufundisha kupata Yeye maishani mwetu ina maanisha nini katika kila siku.

Hiyo sababu Paulo anasema: “Itakuwa mbaya kwangu kama si hubiri Injili!” Ali waona watu wote wame “sulubishwa katika Kristo” mbele za Mungu. Paulo alijua vizuri sana kwamba hakuna aliye kuwa na haki. Hata hivyo utakaso ni karama kupitia Yesu (1Wako 1:30). Iwapo mtizamo wetu wakati tunahubiri juu utakaso inakuwa ju “yetu” badala ya kuwa Kristo, ni rahisi inaweza leta kuwa na hatia badili ya uzima.

Hata “ile kiasi ndogo ya haki ya kibinafsi lazima itoke.

Wakati inapo hubiriwa, watu wata inuliwa juu toka kwa hatia na kushindwa. Yesu alimwambia yule mwanamke mwenye dhambi katika Yohana 8,”Si kuhukumu, enda nyumbani tokea leo usitende dhambi. ”Nguvu za dhambi zilivunjwa tokea wakati huo.Wakati nguvu za dhambi zilivunjwa, Yesu alimweka mwanamke huyo huru kuishi. Yesu ni yeye yule jana leo na milele. Kupitia mahubiri na mafundisho, kuwa na hatia na kujiona kuwa duni itaondoka. Nguvu ya dhambi ita vunjika. Yafaa ujumbe huleta tumaini na imani na hapo msikilizaji ata hizi upendi mzuri wa Yesu tena.Labda, wewe pia umejipata katika mtego wa kujihukumu. Ruhusu Roho Mtakatifu akusaidie. Kazi yake sio kukuonyesha kuhindwa kwako, lakini kukuonyesha jinsi gani wewe ni wa thamana, umependwa na mwenye haki katika Kristo hata na kushindwa kwako. Ni neema ya Mungu inaweza kuvunja nguvu za dhambi.Neema haiondowi tu dhambi na hukumu, inatupa nguvu za kufaulu, kutoa kuwa mtu wa kibinafsi, tabia ya kuji linganisha wewe kwa wengine, na tabia ya aibu ya kutojitoshelesha.

…Ni vugumu kwa mwanadamu kumfikia Mungu kama msingi wake umaweza kuwa haki ya kibinafsi iliyo “ndogo”

Yesu ndiye mfano wetu katika njia awayo. Baadhi ya maneno ya Yesu ya kwanza yaliyo nakiliwa yalikuwa: “ Tubu na uamini injili!” Kutubu ina maanisha nini? Ina maanisha hatupendezi Mungu kwa matendo yetu. Haijalishi uzuri wa matendo hayo, yana itwa matendo yaliyo kufa. Badili yake tume itwa kutembea kwa imani. Ina maanishi tuna elewa kila kitu chema ni karama toka kwa Mungu kuelekea sisi na ni sehemu ya neema yake ya jabu. Yesu alituonyesha ni vikumu kwa mwanadamu kumfikia Mungu katika msingi wa hata haki ya kibinafsi “ndogo”. Baraka zote yafaa zipokewe kama karama pekee yake.

Kwa ukweli Bibilia ina ongea vitu ambavyo ni saw anis zile zilivyo mbaya. Katika Bibilia tunaweza kupata hekima ya kila siku na mashauri mazuri. Lakini Bibilia sio kitabu cha kufundisha tu tabia. Dini zote zipo na tabia fulani. Lakini Bibilia toka ukurasa wa kwanza, yaani Mwanzo mpaka mwisho wa kurasa za Ufunuo, ni juu ya mtu mmoja – Yesu Kristo(Luka 24:27) Mahubiri yote yafaa yainuwe Yesu.Ndipo Yesu mwenyewe ata thibisha Injili. Wengi wana amini ya kwamba Yesu hufanya miujiza sana Africa au Asia. Lakini Yesu ana fanya miujiza mahala popote penye Injili Yake ina hubiriwa; mahala popote penye “mtu” ana pokea katika imani. Yesu hapakuwi taifa lolote. Kuna tu mtu anai hitajika anaweza kuhubiri na kusikiza na Yesu ata thibitisha Injili Yake kwa miujiza. Unaweza kuwa yule “mtu” atakaye hubiri au yule “mtu” atakaye pokea.

Kuhubiri Injili haimaanisha kila ujumbe uwe kama ule wa siku ya Pasaka.Hata hivyo kiini cha Injili yafaa kiwa sababu ya mahubiri yote.

 

 

Na: Tom Lipkin, Finland

Pastor of Vaasa City Church, Finland

Mengi Kuhusu Tom Lipkin, Finland | Nakala iliyoandikwa na Tom Lipkin, Finland