Neema Ishindayo

Na: David Sterling
Kutoka: November 2009
Patikana ndani ya: Injili ya Neema
Jinsi tunavyo pata “imani ishindayo “ kila mtoto wa Mungu anahitaji kupata “ Neema ishindayo”

Neema ni zaidi, zaidi sana ya “ kibali usicho fanyia kazi” jinsi imeeeleza mara nyingi. Shukuru Mungu, neema ni sana kile kibali Chake kilicho bure, usicho paswa kupata, au kibali usicho fanyia kazi - hata ni ya kushangaza zaidi na ya ajabu sana! Roho Mtakatifu anatamani sana kufanya kubwa uweza wetu wa kuelewa na kutambua neema ya Mungu katika hali zote zinazo wezekana. Pamoja na kupokea “imani ishindayo” kila mtoto wa Mungu pia anahitaji kupata “neema ishindayo.’ Akitumia ujuzi wako mwenyewe, Paulo anaeleza jinsi hii neema ishindayo kwa utele huja kwetu katika wakati wa mahitaji.

Paulo alinena haya yote aliyo fanya katika kumtumkia Kristo na akaongeza, “ Siye mimi lakini ni neema ya Mungu iliyo kuwa nami” (1 Wakor 15:10) Paulo aliona neema ya Mungu kami kilicho mtia nguvu kuweka chini uzima kwa ajili ya Kristo. Alielewa neema ya Mungu kama kitu kilicho patikana wakatik wa hitaji lake kuu. Alitambua ya kwamba neema ya Mungu ilikuwa ni nguvu za msukomo nyuma ya yote aliyo kuwa ametimiza. Wakati malaika wa Shetani alipo msumbua yeye, Yesu alifunua neema ya Mungu ingemtia nguvu Paulo kushinda mshambulishi kwa nguvu zizo za kawaida. (Angalia 2 Wakor 12:7-10)

HIYO ILIKUWA NINI “MWIBA?”

Mwiba wa Paulo ulikuwa ni ugonjwa wake au aina fulani ya udhaifu wa mwilini. Huu mwiba katika mwili wa Paulo haukuwa wa udhaifu wa kawaida au aina fulani ua tabia fulani ya dhambi. Huu “mwiba katika mwili” ilikuwa aina fulani ya roho iliyokuwa ikitumwa kusumbua yeye na kuzuia mwahubiri yake. Paulo alikutana na upingamizi mkali wakati wowote alipo hubiri Injili ya kuto sikizana. Ana sema katika nyaraka zake mateso mengi aliyo pitia katika kupeleka Injili kwa watu wasio fikiwa. Bwana haku mwambia Paulo ya kwamba ange ondoa hiyo aina ya pepo iliyo kuwa mshambulia alipo fanya kazi katika Ufalme wa Mungu, ili alisema ya kwamba ya “ Neema yangu ni safi kwako wewe na nguvu zangu zinafanyika kamilifu katika udhaifu” Paulo, “ Yesu alikuwa akisema. Kila aina ya nguvu unahitaji tayari ni zako. Majaribu yako ya sasa yana kuleta tu kufikia mwisho wako ili kwamba wa kutambua neema tele tele iliyo po ndani mwako ili kupinga na kushinda mashambulizi.Tumainia neema ili ikusaidie kushinda janga moto ya sasa,” Baada ya kupitia haya majaribu katika huduma wake kwa kadri ya usoefu wa “ neema ishindao” Paulo aliweza kusema mambo ya bisha kwa mhuduma mchanga- “ We we sasa Timotheo mwana wangu, kuwa hodari katika neema iliyopo katika Kristo Yesu.” (2 Tim 2:1)

Roho matakatifu anatamani kupanua uweza wetu wa kuelewa na kutambua neema ya Mungu katika hali zote.

KUWA HODARI KATIKA BWANA!

Neema ni upako wa Roho ndani na juu yetu. Neema ni uweza Mungu mwenyewe unao fanya kazi ndani mwetu. Ni kibali kisicho kuwa cha kawaida kwetu sisi wakati katika uduni hatuihitaji. Neema ni kitu ambacho tumepewa sisi tunavyo hitaji.Imesemekana Sheria ita tufanya “ wafanya kazi” lakini neema itatufanya sisi kuwa “watulivu.” Tunavyo tambua udhaifu wetu na kumpa Bwana, tunapata sasa maana ya kweli ya kuwa “ hodari katika Bwana na katika nguvu za uweza Wake. Sisi sio hodari ndani mwetu wenyewe na jitihada letu la kibanafsi, lakin ni hodari katika uweza (neema) ufanyao kazi ndani mwetu. Tuna kuwa hodari kupitia neema Yake inayo tutia nguvu sisi kukutana na janga moto tunazo kutana nazo maishani mwetu na huduma. Neema yake haita tukosea sisi!

Paulo alisema, “Ninapo kuwa dhaifu sasa upako, uweza , na neema ya Kristo hutulia juu yangu.” Una weza kupata hakikisho kamili iwapo nguvu za Kristo zilikuwa juu yake Paulo, yule malaika wa Shetani alishindwa sana kabisa! Huu “mwiba katika mwili wake Paulo” haungeweza kusimama kinyume cha neema hii inayo tiririka iliyo ambatana na yeye! Roho Mtakatifu yuko ndani mwako kama Roho wa Neema (Wabra 10:29). Hakuna nguvu za ibilisi zinaweza kusatahimili “yule Mkuu” anaye ishi ndani yako!

Alitambua neema ya Mungu ilikuwa ndiye nguvu zilizo nyuma ya yale yote alikuwa ametimiza.

Kila nguvu tukazo hitaji kwa ushindi wetu tayari zimo ndani yetu. Hakuna haja ya kuomba kupata nguvu “ zaidi”, upako au uweza. Neno lilo handikwa lina tuhakishia yule roho aliye fufua Kristo toka wafu pia anakaa ndani mwili zetu za kawaida. Kristo mwenyewe akika ndani mwetu, ndiye “ Tumaini la Utukufu.” Hitaji letu kubwa ni kujifunza jinsi ya kushirikiana na Yeye. Roho Mtakatifu, na ni vema tujitolee Kwake. Yeye, aliye huyu Roho wa Nema aliye wa ajabu, yeye ndiye sauti ya Kristo ndani mwa mtu wa ndani. Yeye yupo kutu ongoza katika kweli yote au ukweli. Yeye ni mwalimu wa kibanafsi.mfariji na msaidizi. Yupo ndani mwetu kutuonyesha vitu tunavyo pewa bure na Mungu.Moja wapo ya vitu tumepewa ni Uwepo wake unao dumu ndani mwetu!Ni wakati sis I kuwa “ Wenye nia ya Mungu ndan mwetu”. Tuki ishi kila siku katika neema ya Mungu inatufanya sisi kuwa sana wenye hisia na dhamira kwa wepo Wake ndani mwetu. Hii inawezakana kwa sababu ya neema ya neema ya Mungu, anayo patikana kwetu sisi katika Agano Jipya! Tumaini na utulie katika neema Yake! Shukuru Yeye kwa ajili ya neema ambayo ina patikana kila wakati wa mahitaji!

 

 

 

Na: David Sterling

Pastor of Tampereen Kristillinen Yhteisö, Finland. Member of GGN Board of Directors

Mengi Kuhusu David Sterling | Nakala iliyoandikwa na David Sterling