Mara nyingi mtizamo wteu uko juu ya yale tuna ona hatuna. Maombi yana onyesha ya kwamba itakuwa hivyo tunapo omba kupata upendo zaidi, hekima zaidi, amani zaidi, upwako zaidi nkt.
Habari njema ni kwamba haya yote yasha wekwa ndani yako. Sasa ni jambo la kuamini ya kwamba tayari ipo ndani mwako na sasa uanze kujifunza kwa Yeye anaye ishi ndani mwako.
Yeye ni upendo wetu , hekima na upako, na pia Yeye ni amani inayo shinda ufahamu wote. Chanzo tayari kiko ndani mwako! Kristo ndani mwako “tamaini la Utukufu!”
Lakini ye yote anywaye maji nitakayompa, hataona kiu kamwe. Maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji yakibubujika uzima wa milele…. vijito vya maji ya uzima vitatiririka ndani mwake. (Yohana 4:14, 7:38)
Hivyo ndivyo ilivyo kuhusu uponyaji. Uponyaji tayari upo ndani mwetu, na tunapo tayari tanayo, na tuta anza kutembea ndani yako!
Furahia kusoma nakala mbili za mafundisho tunazo waletea kipindi hiki, kutoka kwa David Sterling na Mchungaji Mike Walker. Yote mbili Neema ishindayo na kupumzika yote tayari ni yako .
Tutamie barua pepe, tuta penda kusikia toka kwako. Na itakuwa ajabu kukutana nawe katika kongamano kule Dare Salaam, Tanzania, tarahe 28th mpaka 30th Januari, 2010.
Nakala zinaweza kuipigwa chapa mradi zina chapishwa katika
ukuu wake wote na pongezi zitolewe kwa to Global Grace News http://www.globalgracenews.org.