Bora kiko hapa

Na: Mike Walker
Kutoka: November 2008
Patikana ndani ya: Injili ya Neema
Ningali ninakumbuka wakati Mungu alipo nifunulia ya kwamba “ Kilicho bora” tayari kilikuwa kimefika- Neema ya ajabu ya Mungu kupitia Yesu Kristo!

Watu wengine husema “Kilicho Bora Bado hakicha Kuja!” Lakini ninataka ujue ya kwamba unaweza kuwa na uzima katika hali yake iliyo “Bora” sasa.

Sheria ilikuwa mzuri na takatifu, lakini Mungu alionyesha neema yake katika mfano wa Mwana Wake ili kwamba tupate uzima na kuwa nayo katika “Ubora” sasa. Ningali nina kumbuka wakati Mungu alinifunulia kwamba “Kilicho Bora” tayari kilisha kuja- Neema ya ajabu ya Mungu iliyofunuliwa katika Yesu Kristo!

“Dini” haitulii

Iko katika mioyo ya wanadamu kupendeza yule Mungu wanao amani ndani yake. Lakini tukitulia katika kilicho “bora” cha Mungu na kuruhusu matendo yetu yote kuwa katika mwitikio wa kufahamu upendo wa ajabu ambao Yesu alionyesha kwetu sisi, pasipo ile tamaa ya kupendeza mwishowe itakuwa matendo yanayo ongozwa kwa utendaji ili usababisha umakini wa Mungu kuelekea sisi; huyu rafiki yangu ana itwa “dini”. Mchungaji una maanisha nini kwa haya? Sawa,kwa urahisi wake katika, kufuata kutenda mambo yaliyo bora kupendeza Mungu muumbaji, hapo na hapo tutakunduwa mtizamo wetu unabadilika toka kwa Mungu na kutizama uweza wetu wa kufanyika wanaostahili na kubalika.Alafu utakatifu, mpangilio, na nidhamu ya jugumu la kidini itafanya kazi juu ya uhusiano wa kibinafsi na Yeye.

Neema iko kwa utele

“Utele wa neema na karama ya haki ni uweza wa kutawala katika maisha!”


Angalia ukweli wa ajabu unaofunuliwa katika maandiko yafuatayo:
“Sheria ilitokea, ikasababisha kuongezeka kwa uhalifu; lakini pale dhambi ilipoongezeka, neema iliongezeka zaidi Kama vile dhambi ilivyotawala kwa kifo, kadhalika neema inatawala kwa njia ya uadilifu, na kuleta uzima wa milele kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu.” (Warumi 5:20-21)

Wow, ni hapa tuna ona kupitia uingilio wa uungu, dhambi katika uweza wake haiwezi kung’aa kushinda utajiri wa uzima ulio jawa na neema. Kupitia msalaba, malipo kamili yalifanywa, ile hundi iliwekwa sahihi katika damu Yake na deni lilipwa kwa ajili adhabu ya dhambi: malipo haya hayakuwa kutosha tu, ila ilikuwa zaidi ya tosha. Hii ni ukweli wa ajabu tunapo kumbatia ukweli wa neema ya Mungu. Wokovu ni ushindi ushindao kwa neema ya Mungu.

Mtume Paulo hapa anatangaza ya kwamba neema ilikuwa tele zaidi:

Sheria ilitokea, ikasababisha kuongezeka kwa uhalifu; lakini pale dhambi ilipoongezeka, neema iliongezeka zaidi. neema haikuongezeka zaidi.(Warumi 5:20)

Hili ni jambo la imani kwa maisha ya mwenye dhambi ambaye sasa amefanywa huru! Hii inaleta himizo kubwa na imani ndani ya mioyo! Sheria ilifanya dhambi kuongezeka na inatufunulia ya kwamba hatukuweza kufikia hali inayo hitajika ya haki mbele za Mungu. Lakini, oh, ile ajabu ya neema! Katika Yeye tunaona upendo wa Mungu usio na sharti ukifunuliwa, ukituletea ukombozi toka dhambini na nguvu zake juu yetu.

Nguvu ya dhambi ni sheria

Kupitia Adamu dhambi ilitengeza njia na kuingia kwa mwanadamu, matokeo yakiwa wote wametenda dhambi.

Kwa njia ya mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, nayo ikasababisha kifo. Hivyo kifo kimeenea katika jumuiya yote ya binadamu, kwa maana wote wametenda dhambi, kwa hivyo wote wametenda dhambi.” (Warumi 5:12)

Alafu ikaja sheria ya Musa,ile sheria ya Mungu.Tunaweza kuona kupitia historia kwamba hapo mlango ulipofunguka na dhambi ikaingia, sheria haingesimama kuenda mbele, lakini badala yake matokeo ya Sheria ilikuwa tu dhambi iliongezeka. Sheria ilionyesha binadamu dhambi na sasa tuka baki ufahamu ulio wazi wa dhambi. Haikuwa kwamba Sheria haikutenda kazi katika makusudi yake(ili leta ushawishi kwa watu kuhusu hali yao ya dhambi.) lakini haikutoa suluhu: hapo wakiwa bado bila msaada na tumaini. Sheria ya Mungu ingemwambia binadamu “usi fanye hili” na dhambi ndani mwanadamu ingetenda kwa sababu nguvu ya dhambi ni Sheria. 

“Kwa wingi zaidi tunatawala katika uzima kwa kutulia katika kilicho “Bora” cha Mungu….Yesu Kristo”

 
Ukali wa kifo hutokana na dhambi, nayo dhambi hupata nguvu yake katika Sheria.(1 Wakorintho15:56)

Nguvu za kutawala maishani

Kwa sababu ya Sheria dhambi ilitawala juu bindamu kama mfalme na mwanadamu akawa chini ya utawala wake.Binadamu walikuwa wakiishi kama watumwa chini ya utawala wa huyu mfalme mbaya. Lakini akaja MFALME WA WAFALME,YESU KRISTO MWENYE HAKI, aliye funuwa na kuonyesha mwanadamu neema ya ajabu ya Mungu. Kilicho “Bora” kilikuwa kimefika!

Dhambi ikitawala mara nyingi huleta mauti ya rohoni na mwilini- ili nguvu iwezayo kutawala ya dhambi ichukuwe bila kutoa,ifyonzayo uzima huo toka ndani ya mwanadamu. Lakini neema imeshinda dhambi na mauti, ikirejesha uzima ulio ipwa wakati moja na dhambi kwa wote wanao amini na kupokea hili ajabu la kushangaza. Utele wa neema na karama ya haki ni nguvu za kutawala maishani! Neema iwezayo ita ruhusu yule mtu mpya katika Kristo kujitokeza.

“Kweli, kwa dhambi ya mtu mmoja kifo kilianza kutawala kwa sababu ya huyo mtu mmoja; lakini, ni dhahiri zaidi kwamba alichokifanya yule mtu mmoja, yaani Yesu Kristo. Wote wanaopokea neema na zawadi hiyo ya kukubaliwa kuwa waadilifu, watatawala katika uzima kwa njia ya huyo mmoja, yaani Yesu Kristo.”Warumi 5:17)

Hapo tunaweza kuona jinsi neema kuu ya Mungu anapo shinda kabisa zile nguvu zitawalazo za dhambi. Neema ya Mungu ni zaidi ya mshindi juu ya dhambi! Yesu ni mfalme wa Amani na Mfalme wa Haki. Yeye alishinda juu nguvu za dhambi na akatupa ushindi wake ili tuwe zaidi ya washindi. Zaidi sana tuna tawala katika uzima kwa kutulia katika kilicho “Bora” cha Mungu….. Yesu Kristo!

Neema liongezeka katika kusebu kura

“Sheria ilitokea, ikasababisha kuongezeka kwa uhalifu; lakini pale dhambi ilipoongezeka,, neema iliongezeka zaidi: Kama vile dhambi ilivyotawala kwa kifo, kadhalika neema inatawala kwa njia ya uadilifu, na kuleta uzima wa milele kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu .” (Warumi 5:20-21)

Neema zaidi iliongezeka hapa ! Hapa Amerikani, tume maliza uchakuzi mkuu. Jinsi nilipo angalia upigakaji wa kura na matokea, utabiri na mijadala, na kitu kimoja cha uhakika: mmoja kwa waliopigiwa kura ange jitokeza mshindi. Ushindi wa mpigiwa kura unao itwa neema haikuwa moja wapo wa kura chache za ushindi lakini ilikuwa kura kwa ushindi mkubwa. Neema “iliongezeka” katika kusebu kura; ilikuwa ni yule mtu aliye na kibali na watu. Andiko lilianza hapa ya kwamba dhambi “iliongezeka,”- ilikimbia mbio mzuri,ilienda zaidi ya yale yalitarajiwa.Lakini semi yakwamba “,neema iliongezeka mno” haimaanishi tu kuenda mbele zaidi yayanayo tarajiwa…. Lakini ni zaidi sana ya haya! Neema ya Mungu ina shinda matarajio yote.

Hakuna hitaji la kusehebu tena kura. Kura imepigwa, mshindi ametangazwa na neema sasa inatawala kupitia haki. Na kila ahadi za siasa ni ndiyo na amini katika Yeye.

Haki kupitia neema

Katika Adamu, mwanadamu alipoteza hali ya kukosa hatia,lakini katika Kristo kuwa bila hatia ilirejeshwa tunapo amini na kupokea hii karama ya ajabu iliyo haki ya Mungu! Katika bustani la Edeni, Adamu na Hawa hawakuwa na hii haki. Kupatikana bila hatia ni kutangazwa kuwa bila kosa, lakini haki imetolewa kwa sababu kila kitu kimefanya kuwa kilicho sawa kwa gadri ya masharti ya Mungu. Sheria iliweka jikwaa la kuendele kutenda ili kufikia haki.Yesu kama mwanadamu,alitimiza kila sharti la sheria na pale msalabani alichukuwa kila dhambi zetu na adhabu ya kila hiyo dhambi, na sasa Ana tupa haki Yake ya uungu bure. Sasa kupitia haki hiyo pazia imefungwa,utendanji umeisha- sasa kwa urahisi amini na upokea yale Yesu alitenda.

“... dhambi katika ukamilifu wake haiwezi kushinda utajiri wa uzima ulio jawa na neema.”

Katika bustani tunaona binadamu akitembea na Mungu ; Mungu akija na kutoka weponi mwa binadamu. Lakini katika neema tuna mwona Kristo anaka daima, hakuna kuondoka wa kutuwacha sisi.Yeye anaishi ndani mwetu ndiyo tumaini la utukufu wetu.

Dhambi ya Adamu iliweka hitaji la Sheria na hii ni kufunuwa dhambi.Nguvu ya dhambi ni Sheria. Chini ya Sheria mwanadamu alihitaji kufanya vitu fulani ilikwamba apokea kibali cha Mungu.Lakini chini ya utele wa neema tuna tambua kwamba Kristo ni kweli mkombozi wetu!Neema ilitupa mabatilisho ya uungu. Hapo msalabani Yesu alichukuwa adhabu ya dhambi ya binadamu na kwa mjibu wake akatoa haki Yake ya uungu. Alitukomboa kutoka kwa dhambi na matokeo ya uweza wa dhambi yote; amani na Mungu ndiyo sasa kweli yetu.Tuna mwongozo wa uungu ambao upo nasi kila wakati.

Uponyaji, riziki, na uhuru toka kwa upweke ni sasa ukweli wetu.Yesu alishinda juu ya nguvu zote za ibilisi, ili kwamba tuishi maisha ya ushindi kwa kupokea Alicho kifanya…rafiki yangu, kilicho “Bora“ tayari kiko hapa!

 

Na: Mike Walker

Rev. Walker along with his wife Jane set out to establish and build a strong local church in Post Falls, ID. Thus came the pioneering of Faith Tabernacle Church. Since that step of faith 23 years ago, this journey has seen them into over twenty countries.

Mengi Kuhusu Mike Walker | Nakala iliyoandikwa na Mike Walker