Yesu ni mpatanishi wa agano lilo bora lilothibitishwa kwa ahadi zililzo bora. Bora kuliko nini? Bora kuliko agano la kale. Agano la kale lilokuwa na Sheria za Musa zilikuwa kivuli cha mambo bora yajayo. Likini mambo haya mema yalikuja na Kristo. Kristo ndiyo ukweli ! Yaani aliye bora.
Agano jipya ni tofauti sana katika asili yake kuliko agano la kale. Haya maagano hayaishi apande na apande, jinsi watu Fulani wanaweza kufikiria. Lilo bora limerudisha mahala lile la kale. Haya ni mabadiliko ya namna gani maishani mwetu tunapo elewa huu ukweli mkuu ka ajili ya maisha na hudumu yetu.
Barua ya Mwezi huu wote inahusu KILICHO BORA ambacho kimekuja; Agano jipya. Tutaangalia tofauti zilizoko kati ya maagano haya mawili, na jinsi hayapaswi kuchangamana. Furahihia mafundisho na ruhusu Roho matakatifu alete nuru ya ufunuo na ufariji mkubwa unapo soma nakala hii na kujisomea ukweli huu.
Sehemu ya mafundisho imeongezwa,pamoja na maswali na majibu ya miongozo ya mwezi huu. Pia tutaweza kumfahamu mchangaji toka Finiland na maneno yake ya kuhimiza katika ushuhuda wake.
Nakala zinaweza kuipigwa chapa mradi zina chapishwa katika
ukuu wake wote na pongezi zitolewe kwa to Global Grace News http://www.globalgracenews.org.