Injili ya Mapinduzi iko Hapa!

Na: Peter Youngren
Kutoka: May 2009
Patikana ndani ya: Injili ya Neema
Sehemu kubwa za ulimwengu zimefanyika “ Ukristo”…… na sasa ruhusu ulimwengu wote upate “Injili.”

“Mapinduzi”

Ni neno mzito linalo maanisha “ kugeuza ya chini iwe juu” Kwa nini “Mapinduzi ya Kiinjili?” Kwa nini tusiwe na maneno kama “ kufanywa upya” au “uaamsho” Kwa urahisi weka, ile shida ni ya kilindini sana kwamba mpaka mapinduzi ndiyo yata fanya kazi- mabadiliko ya kierufi katika kufahanu Injili inahitajika.
Wengine husema Amerika imekuwa ngumu kwa injili. Sifikiri hvyo. Amerika lazima ipokee Injili.

Injili ni tayari yale Mungu asha fanya kupitia Kristo

Mradi swali letu ni, “ Ni nini mimi nifanye?” jawabu litakuwa kila wakati, “kitu kimoja unacho kosa.”

Dini hulenga yale “tunayo paswa kufanya” ili tuokoke tuendelee au tuwe na uamsho. Yule bwana mdogo aliuliza Yesu “Nita fanye nini ili niokoke?” Yesu akajibu, “Kitu moja unacho kosa,” Hii inaweka kwa muhtasari mshangao wa dini zote.Mradi swali letu ni, “Ni nini mimi nifanye?” Jawabu kila wakati litakuwa, “Kitu kimoja unacho kosa.” Je ni lazima tufanye nini ilitupate uamsho? Ita gharimu nini? Maombi, saumu, kujisomea na imani kiasi kita hitajika? Ita gharimu nini kuponywa? Hatua tano, hatua kumi au hatua kumi kupata uponyaji wangu? Kwa njia ingine kila mgonjwa angeshindwa na kuwa chini ya kiwango. Dini huangalia sana utendaji wa binadamu na jitahada la kibinafsi, ili hali Injili huweka huru. Swali letu sio tena “Mimi nifanye nini tena?” lakini, Ni Yale Yesu tenda?” Maombi yetu ni, “Bwana, achilia macho yangu yanfungukiwa kuona yale Umenifanyia mimi.”

Injili ni nguvu za Mungu.

Hai achilii tu nguvu za Mungu – Hi ni nguvu za Mungu! Tunapo tangaza Injili, nguvu hutoka katika kinywa chetu. Hapa tunapo tegemea Roho Mtakatifu, sio tu jambo la kuomba nguvu zikishuke chini ila ni, kuzi hubiri hizi nguvu toka ndani mwetu. Wakati habari njema ambazo ni yale Mungu amefanya katika Kristo amefanya yanatoka ndani ya kinywa, inakuwa kama miali ya mianga zinazo ondoa giza.

Injili inatuweka hali “yake iliyo kamilika” majira ya historia.

Hii hai husu kuomba hizi nguvu kushuka chini ila ni kuhubiri nguvu hizi toka ndani mwetu

Majira haya yalianza na mauti na ufufuo wa Yesu, na wakati wa siku ya Pentakote ilipo kuja, Majira ya Injili ilikuwa katika utendaji kikamilifu. Kabla ya wakati huo, watu wali tazamia kilicho kuwa kinakuja; na sasa tuna angalia tayari ambayo ya mesha tendeka. Tuna soma katika Agano la Kale katika mwanga mpya- kila nakala likionekana katika yale Yesu amesha fanya. Tuna chunga Agano la Kale kupitia miwani ya Agano Jipya. Jambo la msingi kuhusu hadithi ya Daudi na Goliathi haiwezi kuwa tena ile ya Goliathi akiwakilisha shida zetu za kibidamu. Ila Daudi anakanawakilisha Mwana wa Daudi (Yesu), na Goliathi, ibilisi na ufalame wake. Tuna ona katika ushindi wa Daudi dhidi ya Goliathi mfano wa yale Yesu aliyo yafanya alipo kanyaga kichwa cha Ibilisi pale katika msalaba wa Kalivari. Hatutafuti tena “ ushindi wetu”- na sasa tuna ingia katika ushindi wa “Dauidi”, Yesu Kristo.

Tunapo pigana na mbinu za ukuu wa uovu na nguvu, hatutafuti kuzishinda. Bali tuna simama tu katika ushindi ambao Kristo tayari ametupa - Shetani alishindwa, miaka 2,000 iliyo pita.

Katika enzi kabla ya ufufuo watu walitenda kazi ilikwamba kupata vitu. Mambo yetu ya rohoni ni kutambua na kutembea katika yale tayari tunayokapitia Kristo. Kila kitu ni chetu-vitu vilivyo pita, vilivyoko au vichavyo; vitu vya mbinguni, vitu vya dunia; kila baraka ni yetu kupitia Kristo Yesu.Tunapo angalia ombi la Yebesi, “Oh Bwana ilikwamba unibaraki mimi.” Tuna weka kwa kichungi maombi hayo.Tuna omba katika mtindo wa Agano Jipya: “Ahimidiwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo aliyetubariki sisi kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho ndani ya Kristo.” (Waefeso 1:3)

Injili ina husu Yesu.

Kiini cha Injili ni Kristo kama haki yetu. Nina jipata mwenyewe nina hubiri wokovu kidogo, ustawi, uponyaji, na ishara na maajibu kuliko awali. Badili yake nina hubiri Yesu Kristo aliye haki yetu- na wokovu, uponyaji, ishara na maajabu hufuata.

Hi ni mojawapo ya utofauti mkubwa kabla na baada ya ufufuo. Wale wahubiri wa kabla ufufuo, kwa mfano Yohana mbatizaji, alihubiri kuhusu dhambi na mambo ya watu ili kuvuta watu kwa toba. Wahubiri wa Agano Jipya, yalianza na mitume na Filipo mwinjilisti, alihubiri Kristo.Wali weza kuleta toba kutoka kujitegemea na kujitumainia katika haki ya kibanafsi hadi kuleta watu kwake Kristo.

“Ulimwengu hauna shida ya DHAMBI; ulimwengu una shida ya MWANA.”

Mwanzilishi wa kanisa Missionary Alliance, AB Simpson, alitoa usemi huu: “Ulimwengu hauna shida ya DHAMBI; ulimwengu una shida ya MWANA.” Katika mtizamo wa kwanza semi hii inakuwa ngumu kutafuna. Walakani, tunapo angalia maandiko bila kifumba macho ya mila, tuna ona ya kwamba Yesu ni Mwanakondoo wa Mungu ambaye ame ondoa dhambi za ulimwengu (Yohana 1:29). Alifanya hivyo kwa sadaka moja- mara moja hata milele. Damu ya Yesu sio tu tambiko la dhambi zetu, ila pia ni kwa dhambi za ulimwengu wote (1 Yohan2:2). Watu huwacha ujumbe huu. Ila wameambiwa wanahitaji kukabiliana na dhambi zao, wakati ambako Kristo asha kabiliana na dhambi zetu na kupatanisha ulimwengu Kwake mwenyewe - bila kuhesabu dhambi za watu juu yao (2 Wakorintho 5:18-19) Roho Mtakatifu tena hashawishi watu tena kuhusu dhambi, lakini juu ile dhambi ya kuto amini Yesu (Yohana 16:8-11)Yote imefungwa katika Yesu sasa.

Injili ni kwamba Mungu asha hukumu dhambi za ulimwengu tayari

Mara nyingi husikia watu wakiongea kuhusu Mungu akihukumu Amerika au taifa linginelo. Machache mno yanasemwa sana kuhusu Mungu tayari asha hukumu dhambi za Amerika na hukumu iliyo anguka juu ya Kristo (Isaiah 53:5-6)

Injili inabadilisha tabia za kibinadamu.

Neema ya Mungu inayo tuokoa ndiye neema ile ile ya Mungu inayo tufundisha kuwa takatifu katika ulimwengu wa mataifa. (Titus 2:11) Wengi wame sikia ya kwamba ni sharti “wasafishe” maisha yao kupokea neema ya Mungu. Hili ni funzo mbaya maana wanadamu hawana uwezo wa “kujisafisha” wenyewe. Iwapo wengeweza hakungeweza kuwa na hitaji la kifo cha Kristo msalabani. Kwa kweli, sisi wanadamu ni bure. Miaka mia tano zilizopita wale Protestant Reformers walikuwa na haki walipo zungumza kuhusu funzo la “kumnyima kabisa” mwanadamu.
Mtume Paulo anaeleza kuhusu kunyima katika lugha wazi. ‘‘Hakuna mwenye haki, hakuna hata mmoja.Hakuna hata mmoja mwenye ufahamu, hakuna hata mmoja amtafutaye Mungu.Wote wamegeukia mbali, wote kwa pamoja hawafai, hakuna atendaye mema,naam, hata mmoja.’“Makoo yao ni makaburi wazi, kwa ndimi zao hufanya udanganyifu.’’Sumu ya nyoka iko midomoni mwao.’’ (Warumi 3:10-13)

Je hii semi ya namna gani! Hiki ni kizazi cha binadamu, ambacho hakiwezi kujifanyia mbadiliko. Kwa ubora na kufunika hali yetu ya dhambi ya moyo wetu kwa tabia ya dini.

Mara tu moyo wa mwanadamu unapo badilishwa hapo ndipo tabia pia itabadilika.

Tumaini moja lasalia - kuwa kiumbe kipya katika Kristo. Nguvu zetu wenyewe hasitoshi kutufanya sisi kutubu; ndani mwetu hakuna kitu chema. Ya muhimu ni iwapo tunafanyika viumbe vipya katika Kristo (Waga 6:15).

Hii ndio sababu Paulo ana sema “ Sicha onea Injili haya” Kwa nini? Injili inatufanya viumbe vipya. Iko katika nguvu za Mungu! Sio tu hadithi inayo onekana mzuri, iliyo pangwa au ya kidini. Ina badilisha moyo wa mwanadamu; na hapo moyo mwanadamu unapo badilishwa hapo tabia nayo itabadilika.

Injili ya Mapinduzi huonyesha utofauti mkubwa kati ya Injili na dini yote.

Injili ni yenye utukufu, ya jabu, kuu na mzuri. Basi tusi ipunguze mpaka kiwango cha dini.

Mapinduzi ya Injili hufana waumini huru.

Moja wapo ya maajabu ya Ukristo wa kisasa ni kwamba wote kwa wingi wamefungwa, na kudumishwa, waumini walio naswa nyuma. Watu ambao wameenda kanisani maishani mwao mwote na wangali wanatafuta “ufanasi” wao. Mbaya zaidi wengine hawacha tambua dhambi zao zimesemehewa, na yakwamba tayari tunavyo kila vitu katika Kristo. Katika hiyo hali ya kushindwa, ni tumaini gani tunaweza kutolea dunia? Hii inafanya ujumbe wetu kuto kuwa wa kuvutia. Iwapo tuna tabiri kuwa na kweli, basi kwa nini yeyote asitake kujiunga nasi? Hii vitu vya uhuru ya waumini sio mpya. Waumini wa Wagalatia walikuwa wamepotoka kutokana na uhuru wao katika Kristo, toka kwa Injili ya neema na kuingia katika mwongozo wa utendaji wa dini. Paulo akaandika; “ Simama sawasawa katika uhuru ambako Kristo alikuweka wewe huru.”

Injili ya Mapinduzi hutoa waumini katika hali ya “kutokuwa navyo”.

Ina ondoa kabisa picha ya waumini wasio ridhika wanao shika kikombe, wakiomba Mungu kwa ajili ya ufanasi zaidi na zaidi, baraka na hata faida. Badili ya hiyo sasa tuna ishi katika nuru ya ufunuo wake “ Wake tupo ndani ya Kristo Yesu ambaye amekuwa hekima kutoka Mungu - na haki, utakaso na ukombozi.” (1 Wakorintho 1:30)

Injili ya Mapinduzi huinuwa msalaba wa Yesu juu ya hekima ya mwanadamu.

Kazi yetu sio kupitiliza hekima ya mwanadamu - sisi tupo kuhubiri msalaba wa Kristo

Mafundisho kuhusu hekima ya mwanadamu yanaendelee kujilikana. Bila neema ya Mungu kupitia Yesu na aliye tenda, bora tulicho nacho leo hii ni eneo la kujisaidia kibinafsi katika maktaba ambako waandishi wengi hutoa ushauri mzuri. Kuna tunbuizo nyingi ya waalimu waki hindi katika Televisheni ambao wanafanya na kuvutia watu kiroho kuishi maisha mapya. Nina unga mkono juhudi lao, lakini ushauri huu wote unakosa uweza wa kubadilisha tabia ya mwanadamu. Ni kitu kimoja kuchunguza shida na kupokea ushauri jinsi ya kutatua hiyo hali. Tunatingiza vichwa vyetu tuki kubaliana na jinsi ya kukabiliana na hali zetu katika njia tofauti, tukitumai ya kwamba ita badilika.Tunaweza hata kupata mafanikio kiasi kupitia hekima ya mwanadamu, lakini mwishowe tutashindwa.

Injili iko katika ulimwengu mweningine tofauti kabisa. Paulo ana onya hekima ya mwanadamu inafanya msalaba “kukosa nguvu” Kama Wayunani miaka 2,000 zilizo pita, wengi leo hii wanatafuta hekima.Hii ina onyesha nia yetu na mpango wetu. Sisi sote tuna penda vitu vinavyo onekana mzuri na vinavyo fikiriwa.
Walakini, kazi yetu sio kupitiliza hekima ya mwanadamu- tuna paswa kuhubiri msalaba wa Kristo. Kwa nini? Hekima ya mwanadamu hata katika ubora itashindwa. Hata watu walio na malengo mazuri hawa wezi kuishi kwa kanuni za hekima wanazo jua ni sawa.


Wote mara nyingi, Injili ya Kristo ina wekwa kando kwa ajili ya mafundisho ya hekima ya mwanadamu. Ni inayo julikana kutoa mafundisho katika vitabu vya Mithali na Mhubiri.Hizi vitabu ni Neno la Mungu, lakini ukisoma katika mwanga wa Agano Jipya, uta tambua Yesu Kristo amefanyika Hekima yetu. Yesu Kristo ndiye anaye wezesha sisi ili tuishi kwa ukweli huu. Pasipo ushusiano wa 24/7 na Kristo, sisi sote tuta pungukiwa na ukweli ulio letwa na Suleimani na waandishi wengine wote. Hii ndiyo sababu andiko lasoma “Nitaiharibu hekima ya wenye hekima
na kuzibatilisha akili za wenye akili.”Yuko wapi mwenye hekima? Yuko wapi msomi? Yuko wapi mwanafalsafa wa nyakati hizi? Je, Mungu hakufanya hekima ya ulimwengu huu kuwa umpumbavu? Kwa kuwa katika hekima ya Mungu, ulimwengu kwa hekima yake haukumjua Yeye, ilimpendeza Mungu kuwaokoa wale waaminio kwa upuzi wa lile neno lililohubiriwa. Wayahudi wanataka miujiza na Wayunani wanatafuta hekima, lakini sisi tunamhubiri Kristo aliyesulibiwa, ambaye kwa Wayahudi ni kitu cha kukwaza na kwa Wayunani ni upuzi. Lakini kwa wale ambao Mungu amewaita, yaani, Wayahudi na Wayunani, Kristo ni nguvu na hekima ya Mungu.” (1 Wakor 1:19-24)

Injili ya Mapinduzi hutia waumini nguvu .

Ulimwengu unapaswa kusikia ya kwamba dhambi zao ziliweza kuondolewa.

Leo hii wengine huangalia sana kwa muda mwingi juu ya ibilisi na giza, lakini hiyo haikuwa hali katika Kitabu cha Matendo ya Mitume. Wao hawakuweza kuingia katika vitu vya rohoni tunavyo ona kila wakati katika mazingira fulani leo hii. Ila mtizamo wao ulikuwa kuruhusu nuru iangaze ili giza liondoke. Mojawapo wa kipindi changu mzuri kwa miaka nyingi katika Televeshini ilikuwa kipindi cha CNN kiitwacho “Mioto iliyo pinda” Tunapishana juu mambo mengi mambo ambayo sio muhimu sana. Tunapita mipaka tunapo fanya mkomo wakati jiji kuu linapo weka kipandiko cha “Siku Kuu” badili ya Misa ya Kristo yenye Furaha” katika mauwa yao. Kwa kawaida iwapo ninge fanya uumuzi huu ningeweka kipandiko cha “Misa ya Kristo iliyo na Furaha” kila mahali. Nina penda jina la Kristo. Kwa kusema ukweli walakini, ni tofauti gani inao kuwepo iwapo watu hawazaliwi mara ya pili? Kwa nani tunapigana sana kwa nguvu katika maeneo haya,wakati mtume Paulo anasema Kwa maana katika Kristo Yesu kutahiriwa au kutokutahiriwa si kitu, bali kule kuwa kiumbe kipya ni kila kitu katika Kristo (Wagalatia 6:15)?

Injili ya Mapinduzi huangaza ulimwengu.

Mtume Paulo aliandika kuhusu nuru ya Injili na akaongezea: “Maana Mungu, aliye sema, na nuru akaangaze katika giza,’ alifanya nuru Yake kuangaza mioyoni mwetu.” (2 Wako 4:6a) Kwamba nuru ipo ndani! Sisi tuna hii hazina ya Injili ndani mwetu. Suluhu kwa kila mshangao wa binadamu ni kuruhusu Nuru ya Mungu iangaze toka ndanimwetu.
Lazima dunia isikie ya kwamba dhambi zao zimefutwa. Je unataka jamii yako, mji wako, kanisa lako, na taifa lako kupenda Mungu? Je inatendeka aje? Ni rahisi. Tuna penda Mungukwa sababu Yeye alitupenda sisi kwanza.

Wakati watu wanapo ona mng’ao wa Injili, wao watataka kwa asili kutaka kuishiriki.

Kwa wingi tunapo onyesha watu jinsi gani Mungu anawapenda, ndipo wata mpenda katika mjibu. Sisi sio wanao anzisha – Mungu tayari ametuanzishia kila kitu, sasa hatutafuti mwondoko wa Mungu - tuna ona Mungu tayari asha leta mwondoko. Tunapo tambua yale Mungu amefanya tayari, mwitikio wetu unakuwa tena chini ya upendo, huduma, kujitolea na utakaso.

Mapinduzi ya Injili hufanya kushudia kuwa kwa kawaida.

Wakati mwingine tuna amua kuenda “kushuhudia” kwa masaa fulani. Hii jinsi gani sio kawaida kutenga muda fulani wa kushuhudia, badili ya kushiriki Kristo wakati wowote mtu anapo pata njia yetu ya kuruhusu kwa urahisi nuru kuangaza. Kwa miaka mingi nimeruhusu watu kushiriki Injili na marafiki zao. Tangu wakati huu nimekoma. Na sasa ninalenga kuhusu kusaidia watu kutambua ni vipi Injili ilivyo kuu. Watu wanapo ona kung’aa kwa Injili, wao kwa asili watataka kushiriki injili. Iwapo unaweza tambua ya kwamba yule mzaaji wa magari ya Mercedes Benz anauza magari yao kwa asili mia tisini bei ya chini, je utaweza kuambia rafiki zako? Kwa kweli utaweza. Iwapo kampuni ya tarakarishi Del ilikuwa inapatia watu tarakarishi zao bure, bila upungufu, kwa uhakika utaweza kushiriki na watu. Tunapo tumbua ukuu wa wa Injili, hatuwesi kukwama nyuma.

Dunia ipo tayari kwa Injili ya Mapinduzi

Huu ujumbe una nena na dhamira ya wanadamu wanao teseka, iliyo jaruliwa kwa kujaribu kuishi kwa yale mtu anajua ni haki na kuendelea kushindwa.

Milioni na hata mabilioni, wame choka na maisha yao ya zamani iliyo zeeka iliyo jawa na kushindwa na
majuto. Hii ni fursa gani ya kutolea watu maisha mapya! Badilisha ya zamani kupata mpya. Huu ujumbe una nena na dhamira inayo teseka ya mwanadamu, iliyo jeruliwa kwa kujaribu kuishi kwa yale mtu anajua ni haki na kuendelea kushindwa. Ujumbe wa neema ya Mungu- huleta uhuru- usio paswa kupata, usio mshara, kibali cha Mungu kisio na kutoa jasho-huleta uhuru kwa watu wote wanao amini. Mradi tunapo angalia Ukristo kama tu itikadi, sanaa, au utendaji wa bindanamu, sisi siye tafauti na dini ingine iwayo. Mara tu tunapo fanya Injili itokana kwa dini ya mwanadamu, siku mpya itashuka. Ruhusu Injili kuwa jinsi ilivyo - nyeupe, ing’ayo,mzuri na ya kuvutia, na itiayo nguvu. Basi mapinduzi ya yame anza - dunia ina ngojea!

 

 

 

 

 

 

 

Na: Peter Youngren

As founder of World Impact Ministries, Celebration Bible College, Way of Peace and the Celebration Churches in Toronto, Hamilton and Niagara, Canada, Peter is committed to equipping believers to fulfill their purpose before the return of Jesus Christ.

Mengi Kuhusu Peter Youngren | Nakala iliyoandikwa na Peter Youngren