Kichwa: Huduma wa Agano Jipya

Na: Mary Felde
Kutoka: June 2009
Patikana ndani ya: Lakale kushindana na agano jipya

Text:  Yohan 3:17, 2 Wakor 3:4-11, Waru 7:6

Utangulizi:

Ni ya muhimu sana kwetu sisi, kama wahuduma wa Agano Jipya, kujua ya kwamba huduma wetu ni. Hatanu huduma wa Musa katika Agano la Kale, lakini tuna huduma wa Yesu na Agano Jipya.  

Na tuangali kwa ukaribu mambo haya.

Yesu hakutumwa kuhukumu ila kuokoa (Yoha 3:17)

1. Mara nyingi tunaona Yesu ALIKUWA na sababu ya kuhukumu watu- hawakuwa na makosa! Alijua hudumu wake haukuwa wa kuhukumu, ila ni kuokoa

Mifano:
- Luka 19:1-10 . Watu walikuwa wakimhukumu yule mtoza ushuru asiye mwaanifu , Zakayo , lakini haikuwahi kuleta mabadiliko katika maisha yake. Walakini alipoweza kutana na upendo wa usio na masharti na hata kibali cha Yesu, ilileta mabadiliko ya kweli maishani mwake-  hii haikuwa tabia ya inje –iliyo hundwa, lakini ilikuwa ni moyo mabadiliko ya moyo yaliyo kweli.
- Yohana 4:7-30 Mwanamke msamaria hakukutanwa na hukumu, lakini kwa neno la maarifa lilotolewa kwa upendo na heshima.Matokeo yake, mwanamke na watu wengine waka okoka.
- Yohana 8:3-11. Yule mwanamke aliyepatikana katika uasharati alihukumiwa na sheria ya Musa, lakini Yesu hakumuhukumu yeye. Awali alikuwa amekutana na Bw.Sheria lakini siku hiyo alikutana na Bw.Neema.

2. Yesu hakuja kuhukumu wenye dhambi, ila kuokoa shida yao ya dhambi.Alikuja kutoa dhambi kwa kulipa adhabu yake Yeye mwenyewe.Hapo alikuja kuishi ndani yetu- ili maisha yake yana umbika ndani mwetu.

Mfano:
- Sheria ni kama kioo. Inafunua kilicho mbaya kwetu, ila haina mikono ya kunyosha kusaidia kutengeneza nywele yetu. Walakini, tunapo zaliwa mara ya pili tunapokea maisha mapya ndani mwetu. (Ezakieli 36:26-27)

B. Hatucha tumwa kuhukumu ila kuokoa (Yohana 17:18 na 2 Wakor 5:18-21)

1.Sisi ni mabalozi wa Kristo- Yeye anaendeleza huduma Wake kupitia sisi- sio kuhukumu ila kuokoa.


2. Mungu haweki dhambi juu ya watu, na hata sisi hatuwekii.
Tafsili ya Amplified ya 2 Wakor 5 ina sema: Mungu hahesabu   dhambi zao na kushikilia dhidi yao.

3. Sisi hatuna huduma wa kuhukumu ila tuna hudumu wa upatanishi.

C. Huduma wa Agano la Kale dhidi ya Huduma wa Agano Jipya ( 2 Wako 3:4-13 na Waru 7:6)

1. Jisomae kwa uaangilifu haya ukilinganisha hizi huduma mbili. Angalia ni hudumu gani huleta matokeo nyingi na ni ipi iliyo tukuka.

Ya Kale Agano:

Lile Jipya Agano:

AandikoRoho Aandiko huaRoho hutoa uzima
Huduma ya mautiHuduma wa Roho
ilikuwa tukufuItakuwa tukufu zaidi
Huduma wa hukumuHuduma wa haki
Ilikuwa na utukufuNi zaidi sana katika utukufu
Ni nini inapata Ni nini inasalia
Ilikuwa tukufuNi tukufu zaidi

2.Sisi hatupo chini ya sheria ya Musa. Tuwe waanglifu ili tusije tukaendelea kuhudumu katika “mambo ya kale”  au tuta kuwa tuna hubiri Injili tukiwa tungali chinia ya angaa ya Sheria (Waru 7:6)

Mfano wa kuhudumu katika mambo ya kale ya aandiko, na kuleta hukumu;
“ Iwapo ungekuwa na imani zaidi, Mungua angefanya miujiza zaidi hapo. Lakini shida yenu ni kwamba ninyi kama watu wa Nazareti, hamna imani ya kutosha .”

Kuhudumu katika upya wa Roho tuta kuwa badala yake tuna hubiri habari njema. Kwamba kwa sababu ya Yesu kila kitu kiko kwa neema pekee! Yesu, aliye haki yetu anaishi ndani yetu, na YEYE sasa ni imani yetu. Kwa hivyo tusi jaribu kuzalisha imani yetu wenyewe, tunaweza kuangalia Yeye Aliye imani yetu. 

Tamatisho:

JE NI UTUKUFU ZAIDI KIASI GANI matunda ya huduma ya Agano Jipya yapo nasi! Epu tusi changanye   huduma ya Agano la Kale na Agano Jipya, ila tuwe asili mia Agano Jipya. Hapo tuta ona matunda yaliyo tukuka!

 

Na: Mary Felde

Mary Felde is a missionary and worldwide speaker of the Word of God. She has thought in churches, seminars, conferences, and Bible schools on four continents.

Mengi Kuhusu Mary Felde | Nakala iliyoandikwa na Mary Felde