Karamu

Na: Steve McVey
Kutoka: May 2009
Patikana ndani ya: Injili ya Neema
Lile kanisa – mungu amenipa maono yake kama mtoto, na hata wakati wa miaka za mwanzoni katika hudumu, si kitu kama Baba ambaye nimekuja kujua katika miaka za juzi.

Nime badilika sana katika miaka hizi katika njia nyingi. Labda namna nimebadilika zaidi kiini chake ni jinsi ninavyo mwona Mungu. Lile kanisa – mungu amenipa maono yake kama mtoto, na hata wakati wa miaka za mwanzoni katika hudumu, si kitu kama Baba ambaye nimekuja kujua katika miaka za juzi. Ni ukweli ya kwambu Mungu habadiliki. Yeye kwa uhakika ni yeye yule jana leo na milele. Lakini liambatanaye lilo ngumu, kushika masharti, na jeshi la dini la miaka zangu za jana lime ondolewa kupitia ufunuo Wake unaokuwa wa upendo wake mkuu, nimekuja kumwona Yeye katika mwanga tofauti kuliko nilipo mjua hapo awali.

Mungu, Yesu na Roho Mtakatifu.

Wazo langu lilikuwa kwamba Mungu alichukia dhambi, ambacho ni kitu nilicho mzuri sana katika kutenda, nalihitaji msaada kujua jinsi ya kumweka Yeye mbali na mimi.

Nili kuwa mimi nikimwona Mungu, Yesu, na Roho Mtakatifu kama timu ambako kila moja wao alikuwa na mtizamo wa ajabu na kunifikia mimi.Wazo langu lilikuwa ni Mungu alichukuwa dhambi na kwa hivyo hiyo ilikuwa ni kitu kimoja ambacho nilikuwa mzuri sana katika kutenda.Nalihitaji msaada kujua jinsi ya kuweka Yeye mbali na mimi. Hapo ndipo Roho Mtakatifu aliingia ndani. Jugumu Lake lilikuwa ni kuja kwangu na kuniambia kighafula “Kuwacha hiyo” Wakati mwingine angetumia hizia za kunihukumu na kuniabisha. Nyakati zingine Yeye angenikumbusha kwa uwazi kwamba Mungu alinileta duniani hapa na kwa urahisi Yeye angeweza kunichukua toka dunia iwapo zingiweza kutengeza na kutembea sawa sawa. Basi akaja Yesu. Wazo langu lilikuwa alikuja kuzuia Mungu kutofanya lile alilo taka kufanya- kunimeza mimi. Niliona Mungu alikuwa na mshipa moja wa mwisho ambao nilikuwa nimefikia. Yesu alikuwa pale kusimamisha Mungu Alipo kuwa karibu kunimaliza mimi kwa kuonyesha mikono zake na kusema, “ Baba , kumbuka, - alama,alama!” “Oh ndiyo,”Mungu angesema na sasa mpaka atuliye kwanza kwa muda mpaka kwa nguvu ningeweza kujiingiza tena na ilikuwa ya muhimu Yesu kurudia jambo hiyo lote.

Wote wapo katika timu moja.

Baba, Mwana na Roho Mtakatifu wote wapo katika timu moja

Kwa ukweli, sio hivyo kabisa. Habari njema ni kwamba, kinyume na kile wengi wana amini, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu wote kwa uhakika wapo katika timu moja. Hakuna hata wakati mmoja ambako hawakuwahi kuwa wa nia moja na moyo mmoja kuelekea sisi. Katika mambo ya ndani ambayo yanadumu kati ya Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, kila wakati kumekuwa na zaidi ya uwiano wa upendo unao kata uchambuzi wa mwanadamu au hata maelezo yake. Wewe fikiria kuhusu uhusiano wa upendo unao dumu ulio na wepesi, na unao vutia ambao umewahi kuwa na kati yako na mtu awaye yeyote duniani. Jumlisha na nambari isiyo mwisho na hautaweza hata kufikia upendo unao shirikiwa katika Utatu. Habari za ajabu za Injili ya neema ni kwamba hii densi ya uungu siyo karamu iliyo fungiwa malango.Upendo wao ni mkubwa ya kwamba hauwezi kupokea wote na mzito sana wa kuzuliwa. Kwa hivyo Utatu ulitupa malango ya kilabu hiki cha siri na kufunguwa wazi kabisa pale msalabani na ukatoa sauti kwa wakati na milele, ukiita ndani waingie “ maskani, viwete na, vipofu na vilema.

Wote wapo upande wako.

Upendo wao ni mkuu sana kwamba hawezi kutosha ndani mwako na tena mzito sana kuzuiliwa.

Baba, Mwana na Roho Mtakatifu wote huona vitu katika hali moja, hufanya vitu katika njia moja na huona wewe katika njia moja. Wote wapo katika upende wako. Kuna karamu ambayo inaendelea sasa hivi, na kwa neema Yake, wewe upo ndani. Je hivyo ndivyo una mwona Mungu? Natumai ni hivyo kwa sababu ni kweli. Baba, Son na Roho Mtakatifu wanakupenda na wanataka utulie na ufurahia karamu. Hivyo ndivyo yahusu kuishi katika utele.

Na: Steve McVey

Dr. Steve McVey is a dynamic author and speaker who inspires Christians to develop a deeper, more intimate relationship with God.

Mengi Kuhusu Steve McVey | Nakala iliyoandikwa na Steve McVey