Miji tatu: picha ya tatu Kristo

Na: Peter Youngren
Kutoka: December 2009
Patikana ndani ya: Injili ya Neema
Ile “nchi ya ahadi” ambayo Mungu aliwapa wana wa Israel ni picha ya maisha yetu katika Kristo. Tunapata miji ya Hebroni, Kiriathi na Timna, epu kwa pamoja tutambuwe zina maanisha nini.

Katika nyimbo nyingi za Kikristo na ujumbe nchi ya ahadi imechukuliwa kama mbingu.Hii hai wesi kuwa hivyo, kwa sababu mbinguni hakuna adui, wala dhambi na kurudi nyuma.”Nchi ya ahadi” ina maana gani kwetu sisi?

Nchi ya Ahadi ina maanisha ukweli wa kiroho hapa na sasa.

Wakati Israeli ilipo ngia Kanani, ile Nchi yao ya Ahadi, hii ilikuwa alama ya ushindi- yale walitarajia sana, sasa walimiliki.Sisi pia, huja kwapata ujuzi huu wakati, “ mambo ya kale yanapo pita: tazama yote ni mapya” (2 Wakor 5:17)

Nchi ya Ahadi ni mahala pa utulivu wa rohoni

Kuishi maisha ya Agano Jipya ina maanisha mwisho wa kufuata na kukuza ndoto za kiroho danganyifu ambazo hauta wahi kuzipata

Utulivu wetu haupo katika nchi ya kichogorafia, ila ni Yesu Mwenyewe. Kuishi katika maisha ya Agano Jipya ina maanisha mwisho wa kufukuza na kufuata ndoto za rohoni danganyifu ambazo hauta wahi kuzipata. Wengi hutumia miaka wakitafuat baraka, ukombozi, furaha na utukufu, na bila hao kutumbua ya kwamba tusha pokea haya katika Kristo. Pumziko la kiroho ni katambua ya kwamba yale tuna omba na kutarajia tunayo tayari ni kupitia Yesu Kristo. Kazi iliyo kamilika ya Kristo hakika isha kamilika. Huu utambuzi watupa nguvu za kuishi maisha ambayo Yesu ame tupatia sisi.

Hiyo Nchi ni ya Kibinafsi sana.

Kila kabila, jamii, na mtu kibanafsi katika Israeli walipa mahala au shamba katika huo urithi. Tulikuwa na urithi wa kibinafsi kwa kila mtu.Vivyo hivyo kuna urithi wa kila mtu kibinafsi katika Kristo. Hili hali huo ushindi wa na baraka katika Kristo huingiana na kila wakati na mpango maalumu wa Mungu kwa watu Wake.

Ile “Nchi ya Ahadi” ambayo Mungu aliwapa Waisraeli ni picha ya maisha yetu Katika Kristo. Tuma miji ya Hebroni, Kiriathi na Timina.

Hebroni: Mji wa Upendo wa Baba.

“Hebroni sasa ikiwa urithi wa Kaleb….. (Yoshua 14:14) hebroni ikiwa ya muhimu kijeshi kwa sababu ilikuwa iliyo inuka juu.Kaleb akaweka moyo wake juu ya hilo eneo kama urithi wake. Alikuwa amengoja miaka arobaini katika jangwa wakati wenzake walikuwa wamekufa. Kabla Kalebu kuhudai huu mji Hebroni, alipigana kwa nne nyingi zaidi na wana Israel ili kila kabila lipata urithi wake. Kalebu aliukutaka kwa sababu ulikkuwa ulio juu na ili mzuri katika nchi hiyo.Watu wengine hubakia yaliyo mema, wengine kwa yaliyo bora, na kuna wale wanao taka bora sana kilicho cha Mungu - “mapenzi kamilifu ya Mungu” (Warum12:12) na “ kutimiliza kila tendo mzuri la Mungu” (2 Watheso 1:11)

Hebroni ina maanisha “yule rafiki mpendwa,”  Kalebu , aliye taswira ya imani idumuyo, aliishi kule Hebroni, inayo onyesha unganiko katika ya imani na upendo, maana, “imani hufanya kazi kwa uepndo” Kalebu alishikilia imani kwa miaka arobini, kilicho kivuli cha imani inayo fanya kazi kupitia Yesu (Matendo 3:16).

Hata kama sehemu ndogo ya uzito wa Sheria ya Musa ingeletwa kwake Ibrahim na Daudi, wote wangepigwa kwa mawe na hata kufa.

Kabla ya Kalebu, Hebroni ilikuwa mji wa Ibrahim, rafiki wa Mungu, baadaye na kuwa mji wa Daudi, yule mtu aliye baada ya moyo wa Mungu.Wote Ibrahimu na Daudi ni watu walio kuwa na upungufu. Iwapo hata sehemu ndogo ya Sheria ya Musa ingeletwa kwake Ibrahimu na Daudi, wote wengepigwa mawe hata kufa. Sababu ya upendo na imani, wote wakafanyika aina ya waamini wa agano jipya wanao pokea neema ya Mungu.Ibrahimu na Daudi wote wakupata walipaswa kupata, kama vile sisi hatupati tunayo paswa kupata, ila ni yale Kristo ametupa sisi.

Nia ya Kristo.

Mji wa Kiriathi ulipigwa na Othanieli, una nena kuhusu nia ya Kristo ndani yetu. Tuna soma, “Kalebu alisema, “Yeye ahushambuliaye Kiriathi na kuhuchukuwa, yyle mtu nita mpa Achsa binti wangu awe mke wake.” Kwa Othanieli….. akaupiga, naye akampa Achsa binti wake kuwa mke wake.Na sasa ikawa hivyo, alipo kuja kwake, binti huyu akamvutia Othanili kuuliza babake ampe kiwanja.Kwa hivyo ashuka toka punda wake, na Kalebu akamwambia yeye, “Je utamani nini?” Alijibu, “Nipe baraka;  maana unipa nchi ya Kusini, nipe hata na vijito vya maji.” Kwa hivyo akampa vya ju na vile chini” (Yosh 15:16-19)

Maana yake Kiriathi ni Mji wa Kitabu.” Huu mji uliitwa pia Debiri, inayo maanisha “Yule mnenaji.” Hapa tuna picha jinsi neno la Mungu haadhiri mawazo na mazungumzo yetu. Mbele ye Kristo, yote tuliyo ya jua ni masharti ya sheria ya dini au hekima ya ulimwengu, lakini sasa tumepokea nia ya Kristo. Othanieli inayo maanisha “Simba wa Mungu” hii ni taswira mzuri sana ya Yesu Kristo, yule simba wa Yudah anaye ishi ndani yetu.

Tunapo kuja kwa Mungu kwa sababu ya kazi iliyo kamilika ya Kristo, baraka tunazo pokea ni kubwa sana kuliko tunayo tarajia.

Achisa, binti wake Kalebu, ni picha ya neema. Aliuuliza mume wake kufuata vit vikuu, kama vili neema ina tusababisha kuamini kupata njema cha Mungu. Neema haitufanye kuwa wazembe. Kwa upande mwingine tunakuwa na nguvu kwa sababu tuna mwona Yeye, anaye weza kufanya ziadi kwa utele juu yale tuna mwomba au kufikiri (Waef 3:20). Othenieli alipata urithi tajiri kwa sababu ya Achisa(neema), kama vile neema ya Mungu inatusababisha kurithi yale Yesu alilileta.Wakati Achisa anafanya ombi lake, anashuka toka kwa punda wake, akijishusha chini.Mungu anawape wanyevu neema. Mwishowe, babaye alimpa zaidi ya yale alimwomba. Hivyo ndivyo neema hutenda kazi. Tunapo kuja kwa Mungu kwa sababu ya kazi ilikamilika ya Kristo, baraka tunazo pokea ni kuu zaidi kuliko vile tunatarajia.

Wakati wengine wanafikiri ya kwamba kupekea ni kwa wachache tuu, Yohana anaandika. “kwa utele wake tume pokea sisi sote na neema kwa neema” (Yohana 1:16) Tizama hai semi ya kwamba baadhi wamepokea na wengine wangali wanatafuta kupokea. La sisi “sote tumpokea” Kwa nini? Kwa sababu ya Yesu.

Wote Achisa na Othenieli walifikiria mambo makubwa na wakapokea makubwa, iliyo angazia nia ya Kristo. Inayo tufanya sisi kifikiria mambo makubwa na kupokea mambo makubwa kuliko vile ota ndoto inayowezekana.

Yesu Mwenyewe.

Mji wa tatu ni Timina, mji wa Jua, ulio picha ya Yesu mwenyewe’…… wana wa Israeli walitoa urithi miongoni mwao….. Kulingani na neno la BWANA walimpa mji aliye waomba, Timina katika milima ya Waefrahim; wajenga mji na waka ishi ndani mle” Yosha 19:49-50)

Ni kwa kujua upana na urefu na kilindi cha upendo ili tuweze “ kujazwa na ukamilifu wa Mungu wote”

Timina , mwisho wa urithi maalumu ulio wa misho wa hizi tatu,ilikuwa ni nyumbani mwa Yoshwa. Mji una onyesha Yesu mwenyewe, mwana wa haki, aliye “yote katika yote.” Jua huongoza hatua zetu, kama Yesu alisema wale wanao fuata Yeye hawata tembea katika giza, ila atakuwa na mwongozo unao endelea (Yohana 8:12). Jua hutoa uzima na nguvu bila jua hatuna uzima hata kidogo, na bila Yesu hatuwezi kufanya chochote. Jua hutoa joto taswira ya fadhili na upendo wa Mungu. Ni kwa kwa kujua upana na urefu na kilindi cha upendo huo, “ ili tuka jazwe na ukamilifu wa Mungu” (Waef 3:19) Jua hutoa uponyaji ni ajabu Yesu amesemwa katika unabi kuwa “Jua la haki na uponyaji katika mapawa yake.” (Malaki 4:2) Jua la kawaida ni mponyaji zaidi sana mwana wa Mungu. Mji wa jua hauna mawingu. Hii ina nena kuhusu ushirika usio vunjika wa Yesu ambako hakuna “uvuli unao mgeuza Yeye” (Yakobo1:17). Tuna soma katika Isaiah 60:20, “Jua lako halitaweza kushuka chini, wala mwexi wako kujiondoa; maan BWANA atakuwa nuru yako inayo waka, na siku za maombolezo yako yata ishi.”

Kwa sababu ya dhambi za ulimwengu zime anguka juu ya Yesu, tuna uwezokano wa ushirika usio vunjika wa Mungu.Yoshua alijenga mji wa Timina maana alipanga kuhushi huko. Tuna ishi katika mji wa jua Yesu Kristo ni mahala petu pa makazi.

Hakikisha Yesu asikuwa tu chumba cha kiangazi ila awe mahala pako pa kudumu,

Mara watu husema “lazima tuingia weponi mwa Mungu” au tutumia mda wetu katika Bwana” inayo onyesha ya kwamba tunatumia muda wetu na Yesu, na tena wakati bila Yesu. Tima ni picha ya maisha yanayo endelea na uwepo wa Yesu.Yoshua hakupanga tu kuishi katika Timina, ila aliishi huko.Wakati mwingine watu hufanya mipango ya kutembea na Yesu, lakini badala yake, yalifanywa kuwa mahala pa makazi ya kudumu pana kuwa jumbo ya kujikinga jua. Hakikisha Yesu siye tu mahala pa kujikinga jua kali ila awe mahala pa kudumu.

Yesu aliwambia wanafunzi wake yakwamba Vitabu vya Musa, manabii na Zuburi zote zilinena kumhusu Yeye. Katika Yoshua tunatambua picha nyingi mzuri zinazo onyesha Yesu ni nani na anataka awe ndani ya kila moja wetu.Kristo ndani yako, tumaini la Utukufu. Huu urithi mara tatu unatukumbusha Upendo Kristo. Nia ndani mwetu na kwamba yeye ndiye mtunzaji wa kila siku.

 

 

Na: Peter Youngren

As founder of World Impact Ministries, Celebration Bible College, Way of Peace and the Celebration Churches in Toronto, Hamilton and Niagara, Canada, Peter is committed to equipping believers to fulfill their purpose before the return of Jesus Christ.

Mengi Kuhusu Peter Youngren | Nakala iliyoandikwa na Peter Youngren