Kichwa chake: “Mbili yote ...Na” Au “Mojawapo...Au”

Na: Mary Felde
Kutoka: October 2008
Patikana ndani ya: Lakale kushindana na agano jipya

Utangulizi

Maneno yaliyo fupi kama haya, lakini yana utofauti mkubwa gani katika maana yake – na yana utofauti mkubwa sana maishani mwetu tunavyo elewa jinsi maneno haya yanavyotumika kulingana na ukweli katika agano jipya. Je ni “yote mbili sheria na neema” or je ni “ mojawapo sheria au neema ?” Majibu kwa haya maswali yapo na mabadiliko makubwa katika maeneo yote ya maisha ya watu: wokovu, utakaso, kukuwa, huduma,heri jema, ustawi nk.

A. Ahadi za Mungu ni “mbili yote – na,” na sio “mojawapo- au!”

1. Ahadi za Mungu zote ni “AMINA” katika Kristo.
(2 Wakori 1:10, Warumi 8:32)     
Hakuna hitaji la kupiga bei na Mungu: “Iwapo uta kata hii ahadi, Je ninaweza kupata ile ahadi ingine badala yake?
La sio, “ au kutumikia Mungu au uwe ubarikiwe kifedha.”
La sio “ au niwe mchungaji au niwe na nyumba mzuri.”
(Wakati huo moja : Tuna jua mambo yetu ya thamana ni yapi na jambo lipi tunaweka kuwa la kwanza zaidi)

2. Utimilizo wa ahadi za Mungu ni kila mtu
(Warumi 1:10-13, Warumi 8:32)
La hasha “Ewa yeye au mimi”, ila “wote yeye na mimi.” Mungu ni tajiri zaidi kwa ajili yetu wote !Hakuna upendeleo!
Hakuna haja ya mashindano au wivu,ila tuka imizane na kusimama pamoja.

B. Maagano mawali ni “ mojawapo – au,” na siye “zote mbili- na!”

1. Mojawapo lile la kale au lile jipya,la siyo yote mbili lile la kale na agano jipya kwa wakati moja. Hata wezi kusoma moja hapa na lingine pale na tufikiri kwamba inatuhusu sisi leo hii…
Lile agano la akale lilikuwa juu ya sheria lilipeanwa kupitia Musa na lilikuwa na umuhimu mpaka wakati wa msalaba. Agano jipya lilianzia pale msalabani/ufufuo/pentakoste na hili ndilo la kipekee ambalo linatenda kazi.
Waeb 8:6-7 ———yaliyo bora zaidi….Maana kama lile agano la kwanza halingalikuwa na dosari, hakungalikuwa na haja ya agano la pili
Waeb 8:13 Kwa kusema juu ya agano jipya, Mungu alilichakaza lile la kwanza;.

Lile agano la kale (na viunga vyake vote)vime kwisha. Sadaka za damu hasina maana tena ( jinsi zilizo kosa kuondoa dhambi)

Mfano: malipo ya kila mwaka ya kuendesha gari. Mahuri wa mwaka 2007 hauna maana katika mwaka wa 2008.

Yesu alitimiliza sheria katika agano la kale ilivyofanyika mwanakondo aliyekamilika na akapata msamaha wa MILELE kwa ajili dhambi ! Na sasa hakuna hitaji la sadaka zaidi ilikupata msamaha au kupata baraka toka kwa Mungu. Agano lilo mpya limeanza- likiwa na hali na ahadi zilizo bora. Na linafanya kazi katika njia tofauti.

Ni mojawapo dini ya Uyahudi au ni Injili ya Neema, na sio zote mbili dini ya Kiyaudi na Injili ya Neema kwa wakati moja. Dini ya Kiyaudi ni agano la kale na Injili ya Neema ni agano jipya.

C. Sheria na neema ni “mojawapo- au,” na sio “zote mbili- na!”

1. Agano la kale msingi wake ulikuwa ni sheria ya Musa, na lile agano jipya msingi wake ni neema.
Wakati Bibilia inazungumza juu ya “Sheria,” mara nyingi inazungumza kuhusu Sheria ya Musa. Sisi tupo chini ya sheria ingine, inayoitwa sheria ya Kristo/sheria ya upendo. Neema na sheria ya Kristo vimeunganika pamoja, ila neema na Sheria ya Musa ni kinyume na kingine. Kwa sababu Mungu ni Mungu wa neema tunaweza kuona zaidi ya neema ya Mungu katika Agano ya Kale pia,japokuwa Mungu kwa wakati huo hakuwa amepatanisha wanadum kupitia Yesu.

2. Sisi tupo chini ya neema na siyo chini ya sheria ya Musa ( Yohana 1:17, Warumi 6:14 ). “ Kwa sababu tupo chini ya Sheria ni vizuri sana tupate neema,” huu msemo ulio mbaya ambao unachanganya hizi mbili. Sheria ya Musa ililetwa kwa Wayaudi kwa kusudi faluni na kwa kipindi faluni. Yesu alitimiliza kila sharti ya sheria, na msalabani akasulubisha Sheria. Sheria ya Musa haitendi kazi tena. Hakuna dini zinazo weza kusaidia watu kujiokoa wenyewe kwa matendo yao,lakini Yesu ametolewa kama Mwokozi wa watu wote katika kila aina za dini! Dhabihu Yake ni ya thamana hata milele!

3. Tuna ishi na kutimika katika “upya wa Roho” na siyo “ ukale wa andiko.” Warumi 7:6, 2 Wakorintho 3:6 ) Japokuwa hatuko chini ya Sheria ya Musa,wakati mwingine tume leta baadhi ya “ njia za andiko” katika Makanisa au katika maisha yetu ya kibinafsi. Walakini Bibilia ya sema,tunapo hubiri injili safi bila kuchanganya na sheria tuta ona matokeo ya utukufu mwingi zaidi. Tuna kitu kilicho bora.

D. Haki yako ya kibinafsi na Haki ya Mungu ni “mojawapo- au” na siyo zote mbili- na!

  ( Warumi 10:3-4, Wafilipi 3:8-9 )
1. Haki ya kibinafsi iko chini ya maisha na matendo yako mwenyewe; Haki ya Mungu msingi wake ni juu ya Kazi na maisha ya Yesu. Injili (habari njema) ni kwamba tumepokea haki ya Mungu kama karama.Haki ya kibinafsi (Sheria, agano la kale) na Haki ya Mungu (neema, agano jipya) na visichanganywe.

2. Wakati wowote tukija kwa Mungu katika haki yetu ya kibinafsi walakini tukiwa na haki ya Mungu tuliyo pewa.Haki ya kibinafsi haina maana! (Hiyo haikuwa mzuri mno hata hivyo) Matendo hayana thamana ya kuleta wokovu, uponyaji, kibali cha Mungu,huduma, nk. 

Na: Mary Felde

Mary Felde is a missionary and worldwide speaker of the Word of God. She has thought in churches, seminars, conferences, and Bible schools on four continents.

Mengi Kuhusu Mary Felde | Nakala iliyoandikwa na Mary Felde