Kuelewa Maandiko

Na: Peter Youngren
Kutoka: January 2009
Patikana ndani ya: Kusoma Neno la Mungu

Karibuni kwenye Jarida la 2009. Kulitumia Neno usahihi ndiyo ufunguo katika kuelewa Maandiko matakatifu. Hadithi ya Filipo na yule Toashi wa Kushi inatuonyesha ya kwamba kusoma na kuelewa hayana maana moja. Katika vitabu vya injili nne Tuna ona Yesu akabiliana na huyu Mfarisayo mwenye sheria na pia akinfundisha wanafunzi aina ya maisha wata kuwa nayo wakiwa chini ya Agano jipya. Ufunguo ni kujua ni nani Yesu anaongea naye. Je Yesu anaongea habari ya Wayahudi wa Agano la kale, ambao wana jaribu kupokea wokovu kwa matendo yao wenyewe? Au Je Yeye anawaelezea wanafunzi wake kuhusu mto wa uzima ambao uta dumu katika kila mwaamini wa Agano Jipya?

Hili jarida litasaidia kufungua ulimwengu mpya wa kufuhamu Maandiko matakatifu. Mafungu ya maneno ambayo tume soma na kuweka kando kwa sababu hatukuweza kuyaelewa sasa kwa ghafula yata kuwa hai, wakati Maandiko mengine yanapata nuru mpya na maana mpya tunapo tumia Neno la Mungu kwa usahihi.

Imekuwa furaha huu mwaka ulio pita kupata kumjua Mchungaji Andy Wall wa hudumu wa Grace International Centre, Walsall, UK. Kila wakati tunapo kuja pamoja tunapata fursa ya kushiriki ufunuo wa Mungu alio tupa wa neema Yake. Katika ugeni wa hivi majuzi na Mchangaji Wall ilionyesha shauku la kubariki wachungaji wa Ungereza ambao ana mawaziliano nao ili kuwahushisha katika hili jarida la mtandao. Nami haswa nina wakaribisha wachungaji toka Ungereza wanao sikia kuhusu Neema Unganishi Duniani Kote mara yao ya kwanza.

Neema Unganishi Duniani Kote inafikia zaidi ya wachungaji 5,000 na viongozi ulimwenguni kote.Tunakuwa tukitoa nakala katika mtandao kwa miezi kadha,na unaweza kufikia mafundisho ya miezi zilizo pita na hata yale ya sasa.

Ujumbe wa neema ya Mungu hakika inaletea mapinduzi katika mtizamo wetu kwa Mungu na mtizamo wetu kwa ulimwengu. Huu ndio ujumbe ulio pindua ulimwengu chini juu miaka 2000 zilizo pita, na nina amini ina nguvu hizo hizo leo.

Ilikuwa ni ufunuo kwangu mimi wakati, baada ya miaka 25 katika huduma. Nili tambua sikujua mengi kuhusu Yesu kama vile nilivyo fikiria. Hapo niliweza kubali haya, malango ya gharika ya ufunuo yaka funguka na Nika tambua zaidi kuliko hapo awali ukamilifu wa Utauwa unao dumu ndani Yake. Kristo ni yote katika yote.

Nakala ya barua hii imeandikwa na Mchungaji Åge M. Åleskjær na inanukuliwa toka kitabu chake Uhuru Kamili. Nina tumai wengi wenu mtavutiwa kuagiza kitabu cha mchungaji Åge pamoja na vitabu na nakala zingine. Iwapo una maswali yeyote, mambo yeyote, au fikira zozote, tafadhali wasiliana na mwandishi wetu, Mary Felde, katika barua pepe hii: .(JavaScript must be enabled to view this email address)

Duniani kote tuna sikia habari ya shida ya fedha na kuunguka kwa uchumi. Kanisa katika kitabu cha Matendo ya Mitume iliweza kupata ufanisi na ustawi kupita neema ya Mungu. Hakuna miongoni mwao aliye kosa chochote. Kufanya kazi kwa bidii, kuwa na malengo na maongozi bora hakika ni ya muhimu, walakini kuna ufanisi na maongeo kwetu sisi katika mambo usiostahili, usio faa kupata na kibali usicho fanyia kazi cha Mungu. Na neema hiyo akadumu maishani mwenye katika mwaka 2009.

Peter Youngren.

Na: Peter Youngren

As founder of World Impact Ministries, Celebration Bible College, Way of Peace and the Celebration Churches in Toronto, Hamilton and Niagara, Canada, Peter is committed to equipping believers to fulfill their purpose before the return of Jesus Christ.

Mengi Kuhusu Peter Youngren | Nakala iliyoandikwa na Peter Youngren