Moja wapo uvumbuzi mkuu wa maisha ni Kristo ndani yetu na sisi ndani Yake. Hapa ndipo injili ya neema ina kuwa dhairi katika mwili wa kawaida.Bila hiyo, ujumbe wetu wote kwa urahisi una weza kupunguzwa kuwa somo mzuri la dini mzuri la uhuru katika Kristo. Ile “ya ndani Yake” kweli yake inafanya ufunuo wa neema ya Mungu kuwa safari ya kila siku.
Dini yeyote hutizama Mungu kutoka nje. Watu mara nyingi huomba, “Ewe Mungu shuka chini na nguvu zako,” ”Nyeshesha utukufu wako,” ”Bwana njoo na tuguze” Nina jua haya ni maombi yanayo ombwa mara nyingi, lakini bahati mbaya siyo katika maandiko takatifu. Ufunuo wa ugano jipya hutupa mazoeya ya “aha”, mahala ambako tuna ona ya kwamba kitu cha kipekee tulicho kuwa tumwomba Mungu afanye, Yeye asha fanya katika Kristo anapo kuja kuishi ndani yetu. Maisha yetu ya Kikristo yamo katika kutambua tulicho nacho kupitia Kristo aishiye ndani yetu.Mtume Paulo alitambua ya kwamba kila kitu “ ni kinyezi” ukilinganiza upatikanapo ndani Yake. Katika safu ingine aliandaka ya kwamba Mungu amefunua Mwana wake ndani yangu.
Mwezi huu tunataka kusaidia kila mtu atambue ya kwamba Yesu Kristo, Mwenyewe, ako ndani yako. Upo na ukamilifu, utukufu, ile baraka, ule upako, kila kitu ambacho watu wanatafuta.
Wakati Adamu alipo wekwa hapa ndani, aliwekwa katika uumbaji ulio kamilika tukea siku ya kwanza. Kazi yake haikuwa kuumba chochote, ili ni kutambuwa yale Mungu alikuwa ame umba kwa ajili yake.
Hi ina eleza maisha mapya katika Kristo, ambako kazi yetu sio kumfanya Kristo kuja maishani mwetu, au kujiweka sisi wenyewe ndani ya Kristo,ila ni kutambua jinsi hii imesha fanyika kwa ajili yetu.Tuliokolewa katika uumbaji mpya katika Kristo uliokamilika.Kazi yetu sio kutafuta ukamilifu,ila ni kutambua ukamilifu ambao tayari tunao.
Hili neno la neema ya Mungu, ni ujumbe wa ajabu, lakini ni zaidi.Ni ufunuo unao weka watu kwa mzururo duniani kote.
Wachungaji na viongozi waliochoka wanafanywa upya na kutambua furaha waliojua wakati Kristo alipo waokoa mara ya kwanza. Tafadhali soma jumbe hizi, barikiwa,mwaabudu Yesu, na kama una maswali yeyote, wasiliana na mwandishi, Mary Felde. Tuna taka kusikia toka kwako.
Baraka katika Kristo
Peter Youngren.
Nakala zinaweza kuipigwa chapa mradi zina chapishwa katika
ukuu wake wote na pongezi zitolewe kwa to Global Grace News http://www.globalgracenews.org.