WEWE ume PENDWA SANA!

Na: Mary Felde
Kutoka: May 2009
Patikana ndani ya: Injili ya Neema Habari

Mungu alifanya tena- hi ilinistaajabisha mimi kabisa! Nali kuwa kule Nethalands katika majuma mawaili ya safari ya biashara, na nivuka barabara ili nirudi katika hoteli nili hisi Baba akiongea maneno haya kwangu mimi: “ Hakuna ninaye penda kuliko wewe!”

Ilinishangaza mimi, je hi inaweza kuwa kweli? Hapo watu wengine wachache wakaja katika nia yangu ambao nalifikiri Atawapenda sana kuliko mimi.Lakini baada ya dakika chache nili yaona.Upendo wa Mungu ni wenye nguvu na mzito, ni sawasawa kwa kila mtu!Machozi yali nitoka machoni mwangu….. Hakika hakuna mtu Mungu anampenda kuliko mimi - au kuliko wewe - au kuliko watu wale unakutana nao leo.

Yohana aliishi katika ufahamu huu na akitijiita yeye mwenyewe “ Yule mwanafunzi ambaye Yesu anapenda.” Yesu naye aliishi katika huu ufahamu na akanena maneno haya kuhusu yeye mwenyewe, “Baba anampenda Mwana – na anamwonyesha Yeye mambo yote ambaye Yeye mwenyewe anayo fanya.” Katika Yohana 15:9 Yesu anasema, “Kama vile Baba alivyonipenda Mimi, hivyo
ndivyo Mimi nilivyowapenda ninyi.” Huu upendwa mkuu ulileta Yesu kwa msalaba na ukasababisha Yeye kuchukuwa hukumu ya ulimwengu juu Yake mwenyewe!

Baraua ya habari ya mwezi huu ina husu kugundua tena Ile Injili ! Uliza Mungu akupe mabadiliko ya kisarufi unapo soma nakala ya mafundisho yanayoletwa na Peter Youngren pamoja na Steve McVey, pia na ushuhuda uitwao Neema ya Ajabu.

Asante kwa barua zenu pepe, shukurani zenu na bidii yenu kumjua Yesu na Injili. GGN ita endele kila mwezi kufunua neema ya Mungu kwetu sisi. Tena angalia sehemu ya Chuo cha Bibilia Ads – labda hii ndiye furusa YAKO kupata kujua upendo na neema Yake hata bora zaidi. Kumbuka hakuna mtu Anaye mpenda kuliko wewe!

Na: Mary Felde

Mary Felde serves as both principal and Bible teacher at WIM’s Bible College, East Africa

Mengi Kuhusu Mary Felde | Nakala iliyoandikwa na Mary Felde