Utakaso wako umeingia ndani - Yeye anaishi ndani yako!

Na: Mary Felde
Kutoka: February 2009
Patikana ndani ya: Utakaso Habari

Je umewahi kuingia kwa nyumba ingine mara moja au zaidi maishani mwako? Je ilikupasa wewe mwenyewe kusafisha ile nyumba kuhakikisha ya ilikuwa safi kabla ya kuingia na jamii yako kukaa ndani mle?

Hi ni picha mzuri ya yale Mungu alifanya kabla aingie ndani mwako. Kuhakikisha nyumba Yake – wewe – imekuwa safi kabisa ,Alisafisha nyumba Yeye mwenyewe. Kusafisha kwake hakungekuwa mzuri sana – ila tu ndani damu ya Yesu ingefanya hiyo kazi kikamilifu.

Hii ni habari njema! Wewe umesafishwa na ni takatifu – u matakatifu maana Mungu Matakatifu ana ishi ndani yako. Waef 1:4 inasema tu “watakatifu na bila lawama mbele Zake.”

Je lipi tunda la jambo hili kwamba wewe tayari umefanywa safi na Yeye, na sasa Yeye anaishi ndani yako? Hii barua ya habari njema ina mafundisho kuhusu
utakaso, somo ambalo kwa wengine limekuwa mzigo na sababu ya kuhukumu. Walakini, Yesu alisema hakuja kuhukumu ila ni kuokoa, na Mzigo ni mwepesi.Jinsi tumeona katika maeneo baada ya eneo, Yesu mwenyewe jawabu lake na sululisho. Je inaweza kuwa sawa na utakaso? Na tunaweza kumwomba Mungu kwa ya kuongezeka kwa undani na ufunuo tunavyo weza kujisomea mafundisho haya yaliyopo katika barua hii.

Pia, na taarifa ienee ya kwamba mtandao wa GGN sasa ina tafsiri katika Kifaransa, Kispania, Swahili na Kichina.

 

Na: Mary Felde

Mary Felde serves as both principal and Bible teacher at WIM’s Bible College, East Africa

Mengi Kuhusu Mary Felde | Nakala iliyoandikwa na Mary Felde