Maswali na Majibu yanayo husiana na...

Hakikisho la Wokovu

+Phil 2:12 says that we must work out our own salvation with fear and trembling. How does it fit into the teaching that salvation is by grace through faith?

Here it is important to notice that this scripture doesn’t tell us to work for our own salvation, but work out our own salvation. Many other scriptures clearly say we are not saved by works but by faith (Rom 3:28, Gal 2:16, Eph 2:8), and these scriptures are still valid as we look to understand Phil. 2:12. The message of the New Covenant is clear: we cannot work for our salvation – to obtain salvation. However, after we are saved and salvation is already in us, it shall now be worked out until it becomes visible in our soul (emotions, thoughts and will), body and lifestyle.
after we are saved and salvation is already in us, it shall now be worked out until it becomes visible in our soul (emotions, thoughts and will), body and lifestyle
Salvation in us brings healing to both our wounded soul and our body, as well as transforms our lifestyle and makes our eyes shine. However, even this is not possible with self-effort and our works. That is why in the New King James Bible there is no final end at the end of Philippians 2:12. Rather, the Bible shows that the sentence is not finished, and it continues in verse 13: “for it is God who works in you both to will and to do for His good pleasure.” Salvation has been put in us, and now God is at work in us to make it become visible for everyone around us, even for ourselves.

+Ni vipi unaweza sema wenye dhambi wote wemesemehewa wakatik bibilia inasema katika Mathayo 12:31-32 kukufuru Roho Mtakatifu hakutasemehewa, iwe ni kizazi hiki au kinacho kuja?

Hi inaweza kueleweka kwa kuangalia muktadha wa vifungo zingine. Kwanza, Yesu alizungumza kuhusu Wafarisayo na sio wanafunzi. Hii dhambi haiwezi kutendwa na Wakristo.

La pili, je ni dhambi ya aina gani ina zungumziwa? Mistari 22- 23 inasema kuhusu vile watu waliona muujiza ule Yesu alifanya na wakanza kuamini kwamba Yesu anatoka kwa Mungu. Na Wafarisayo sasa wakasema roho aliye ndani ya Yesu haitoki kwa Mungu lakini kutoka Mkuu wa mapepo.Wafarisayo walimtambuwa Yesu kama mwana wa Adamu walakini sio kama mwana wa Mungu. Katika muktadha huu ni wazi inaonekana ya kwamba kukufuru Roho Mtakatifu ni kukana Yesu, kwamba anatoka kwa Mungu.

Katika msalaba Yesu alichukuwa kila dhambi ya ulimwengu wote, tajaria dhambi MOJA. Yohana 16:8-9 ina sema ya kwamba ya pekee inayo baki ni Kuto amini katika Yesu. Hii ndiye tu dhambi ambayo haicha semehewa na haiwezi kusehemewa mpaka watu wanahitaji kutubu toka kwa hii dhambi (kubadilisha fikiri/kaumini) na kuamini katika Yesu. Hapo kwa uhakika wata okoka, kwa sababu wowote aiminiye na akiriye Yesu ataokoka.

+Kuna funzo fulani linasema kwamba Yesu atoshi kuwa Mwokozi wako. Mpaka awe pia Bwana yako hautakuwa umeokoka. Je hii ni sawa?

Kuna kitu kisicho eleweka katika Warumi 10:10, ambako watu husema ya kwamba kuwa na Yesu kama Bwana wako hutegemea mtindo wa maisha yako, Walakini, hatucha okoka kwa sababu ya matendo yetu, lakini ni kwa sababu ya kazi za Yesu. Yeye alikuwa ndiye mwana kondo mkamilifu wa Mungu aliye chukuwa adhabu ya kutokuwa sisi kamilifu.

Wakati Warumi 10:10 ina ongea juu ya kukiri Yesu kama Bwana, ina sema kuhusu kukiri ya kwamba Yesu ndiye Bwana,yaani Yesu ni Mungu. 1 Wakorintho 12:3 inasema ya kwamba hakuna anaye sema Yesu ni Bwana ila kwa Roho Mtakatifu. Kumkiri Yesu kama Bwana inahusu kuamini, na sio kutenda. Na sasa tunamini ya kuamini kuliko sawa kutakuongoza kutenda sawa; hili ni tunda la kiumbe kipya na maisha mapya.

+Yohana 15:2 ina sema ya kwamba wao wasio zaa matunda wata ondolewa. Je hii inamaanisha iwapo watu hawana tunda basi wata poteza wokovu wao?

Iwapo ilikuwa hivyo basi tuta sema ya kwamba mzingi wa wokovu ni “Yesu na kuzalisha tunda.” Watu wengi wangelisema “la” kwa hili, tangu tujue tume okoka kwa imani katika Yesu pekee. Basi mzingi wa wakovu ni “Yesu ongeza nunge.” Maandiko mengi yanaonyesha hili jambo sawa sawa: Waefeso 2:8-9, Wagalatia 2:16, Matendo 16:39-31, Yohana 1:12, Warumi 10:9-10, Warumi 10:13, 1 Yohana 5:11-13.

Walakini, nyakati zingine watu wanafikiri mzingi wa kulinda wokovu wao ni tofauti: basi ni “ Yesu + na kazi zetu/ tunda / mtindo wa maisha.” Tunapo ona maandiko kama haya, basi inatupasa tuzisoma sana kwa uangalifu, maana hatuwezi kuongeza chochote juu ya yale Yesu amefanya. Yeye ndiye mzingi wa kipekee wa wokovu.

Neno la Kiyunani la “kuondolewa” katika Yohana 15:2 ni neno aino. hili neno lina maana tatu: “kukata kwa kulitoa,” “ kulitoa,” na “kuling oa.” Wakati bibilia inasema Yesu ata inuliwa juu sasa lile neno la Kiyunani aino lina tumika. Iwapo tutatumia ufahamu huu, tunaweza kusoma Yohana 15:2 hivi: “Kila tawi ndani yangu lisilo zaa tunda, Yeye anainua juu.”

Hii pia wakati mwengine hufanyika na matawi katika hali ua kawaida. Iwapo tawi ni dhaifu, basi lita unganishwa na tawi lenye nguvu juu zaidi, ili lile dhaifu linaweza kupata wakati wa kukua na kuanza kuzaa tunda. Hivi ndivyo Paulo anatao maelegezi kutuhusu, katika Warumi 14 na 15 - kwamba walio na nguvu wata beba wadhaifu.

Neema

+What exactly is legalism?

We define legalism as a system of living in which a person tries to make spiritual progress or gain God’s acceptance based on what they do. Legalism is focused on behaviour and is therefore an achieving system. Legalism is the opposite of grace. Grace is a system of living in which God blesses us because we are in Jesus Christ and for no other reason at all. Grace is focused on our spiritual birth and is therefore a receiving system. Consider a couple of Scriptures: "Christ redeemed us from the curse of the Law, having become a curse for us" (Galatians 3:13). "For the grace of God has appeared, bringing salvation to all men, instructing us to deny ungodliness and worldly desires and to live sensibly, righteously and godly in the present age" (Titus 2:11-12).

+Does grace lead to a lawless attitude in the Christian life?

The simple answer to this question is "No way!" The Christian who is truly walking in grace is not an antinomian ("one who opposes the Law"). Rather, the person who is walking in grace has great respect for the God-ordained purpose of the Law. In Romans 7:12, Paul said, "So then, the Law is holy, and the commandment is holy and righteous and good." Grace-oriented Christians are not "Law-bashers," but, they do understand that the Law has no place in the life of the Christian. Consider the following Scriptures: "Therefore, my brethren, you also were made to die to the Law through the body of Christ, that you might be joined to another, to Him who was raised from the dead, that we might bear fruit for God" (Romans 7:4). "In order that the Law might be fulfilled in us, who do not walk according to the flesh, but according to the Spirit" (Romans 8:4). "Realizing the fact that law is not made for a righteous man, but for those who are lawless and rebellious" (I Timothy 1:9).

+If we are forgiven of our sins past, present, and future at the time of salvation won't that lead to a sinful lifestyle?

This is not a new question. In fact, this was the essence of the concern of those in Paul’s own day who asked, "Are we to continue in sin that grace might increase?” (Romans 6:1). Coming to understand the totality of forgiveness should never lead the believer into a sinful lifestyle. Grace doesn't work that way. Grace enables us to walk in obedience. Grace moves us toward righteousness. Grace overpowers sin. Rules, regulations, and rigorous self-discipline will not keep us from sin but an authentic love relationship with Jesus will.

+Does the teaching of grace lead to passivity in the Christian life?

One of the most common misunderstandings about the grace walk is that it teaches passivity in the life of the Christian. Nothing could be farther from the truth. The grace walk is an active lifestyle energized not by the energy of the flesh but by the energy of the indwelling life of Christ. Consider the example of the apostle Paul. Paul trusted Christ to live His life through him (Romans 15:18) while leading an extremely active lifestyle. Notice Paul's description of his lifestyle in Colossians 1:29, "And for this purpose also I labour, striving according to His power, which mightily works within me." Paul was not passive; he was active. The words "labour" and "striving" in the original language refer to weariness to the point of physical exhaustion. Yet it was not done in the energy of the flesh, it was "according to His (Jesus) power," which was at work within Paul.

+In light of grace exactly how does one live the Christian Life?

The key to victory in the Christian life lies in acknowledging that you cannot live the Christian life out of your own resources or abilities. Only one person has ever lived the Christian life as God intended and that was Jesus Himself! However, there is good news: Jesus wants to live His victorious, overcoming life through you. Perhaps no verse says it more clearly than Galatians 2:20, "I have been crucified with Christ; and it is no longer I who live, but Christ lives in me; and the life which I now live in the flesh I live by faith in the Son of God, who loved me, and delivered Himself up for me." We live the Christian life by yielding (surrendering) moment-by-moment to Christ, trusting Him to animate us with His very life.

+Je kunayo hatari ya kusisitiza zaidi kuhusu neema juu ya ukumavu wa rohoni na utakatifu wa kibinafsi?

Ufunao wa neema ni ufunuo wa Yesu na hakuna hatari ya kusisitiza ziadi juu ya Yesu. Maandiko yapo wazi waumini hutawala maishani kwa “ utele wa neema “ (Waru 5:17) na tena hiyo neema inayo tuokoa inatufundisha kuishi katika uungu (Tito 2:12). Iwapo tunataka watu waishi katika utakatifu, lazima tufunue neema ya Yesu, kwa sababu neema ndiye inazalisha utakatifu na ukomavu wa rohoni. Wale wana sumbukana na kusisitizwa kwa neema, wao huona neema ya Yesu kama kichwa cha somo lingine. Walakini, ufunuo wa neema ni ufunuo wa Yesu Mwenyewe na utakatifu wa kweli unajitokesha wakati Yesu anapoishi ndani mwetu.

+Will not teaching with a strong focus on grace and righteousness lead people to sin more?

No, these truths will not set people free to sin but rather set people free from a lifestyle of sin. (Romans 5:17, 2 Corinthians 3:9) It will not lead people to sin more but to sin less. More about this question is found in the teaching articles.

Sheria ya Musa

+Ni vipi unawaeza kusema ya kwamba sheria ya Musa imeisha wakati Yesu alisema katika Mathayo 5:18 kwamba “Sheria haitondolewa, mpaka yote yametimia?”

Jawabu kwa hili swali linapatika katika mstari wa hapo awali: “"Msidhani ya kuwa nimekuja kutangua Sheria ya Musa na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha.” (Mathayo 5:17). Yesu mwenyewe ndiyo timilizo la Sheria. Yeye ali inuwa viwangu juu zaidi (Mathayo 5:20-22), na yeye ndiye wa kipekee aliye weza kupita katika tundu “tundu la shindano” (Mathayo19:24-26) Na haya masharti yalichukuliwa inje na yakatundukwa kwa msalaba (Wakolosai 2:14) na Yesu akawa mwisho wa sheria kwa haki(Warumi 10:4, Waebra 7:18-19). Agano la kale sasa limebadilishwa na agano jipya ambako kila kitu ni juu ya Yesu.

+Japokuwa Sheria ya Musa haikuweza kutuokoa, je inaweza kutusaidia kustawisha maisha yetu baada ya kuzaliwa mara ya pili?

Iwapo haikuweza kutuokoa, pia haiwezi kustawisha maisha yetu. Sheria ni kama kioo inatuhukumu na kutuonyesha mahala makosa yapo, lakini kioo hakiwezi kuonyosha mkono na kutusaidia kubadilika. Hii ina tupasa kufanya katika uweza wetu wenyewe na, lakini sasa ina dumu kwa muda mfupi.Hii ndiyo sababu Yesu alikuja. Warumi 8:3-4 inasema yale sheria haingefanya, Yesu alifanya ! Alitupa moyo mpya (Ezek 36:26-27), na sasa akaingia ndani yetu na anaishi maisha ya uhaki ndani yetu. Suluhu yetu leo sio kujaribu kustawasisha sisi wenyewe, ila ni Kristo kuumbika ndani yetu (Wagalatia 4:19). Sheria ilikuwa ni uvuli wa mambo mazuri yaliyo paswa kuja, ila Kristo ni ndiye asili ya bayana( Wakolosai 2:17, Waebra 10:1) Kwa nini ushikiliye Sheria, uvuli, wakati tunacho kitu kilicho BORA- Kristo ndani yetu!

+Kwa nini hii yote ina tulengesha kuwa huru kutoka kwa Sheria ya Musa?

Hili swali linaweza kuchukuwa muda mrefu kujibu, lakini epu tuangaliye tatu ya hizi sababu: 1) Sheria iliweka masharti kwa baraka za Mungu. Iwapo tunajiangalia, kila mtu ana upungufu. Walakini, Injili ni kwamba kila kitu tumepata bure kutoka kwa Kristo. Wakati watu wanapo ona kwamba hakuna sharti kando na imani katika Kristo, ina inafanya mambo rahasi kwao kupokea kilicho chao. 2) Sheria ilisababisha watu kutenda dhambi zaidi, na sio kidogo (Warumi 7:7-8, 7:13). Kwa ukweli 1 Wakorintho 15:56 inasema nguvu ya dhambi ipo katika sheria. Walakini , wakati watu wanaona wapo chini ya neema na sio chini ya Sheria dhambi hupoteza utawala wake juu ya maisha yao ( Warumi 6:14, Warumi 5:17) 3) Tunataka kuwaleteni watu Injili safi ya Kristo, bila kuchanganya na Sheria.

Haki

+Mark 11:26 says that if you do not forgive, neither will your Father in heaven forgive your trespasses. Does this mean that if people have problems to forgive they are in danger of losing their salvation?

Some people get big problems with this scripture, as the abuses they have suffered are so terrible that they say they are not able to forgive even if they want to. Does God put another burden on their shoulders, telling that He will not forgive them if they do not forgive first? The truth is that this is the pattern of the old covenant, saying that you need to forgive first. In the old covenant we had to do our part first in order for God to do His part, but in the new covenant God has already done His part! That is the good news!

Let’s look at what the new covenant says about forgiveness:

“And be kind to one another, tenderhearted, forgiving one another, just as God in Christ forgave you.” (Ephesians 4:32)

“bearing with one another, and forgiving one another, if anyone has a complaint against another; even as Christ forgave you, so you also must do.” (Colossians 3:13)

Here we can see that forgiveness is still important, but the order has changed! God has forgiven us first, and that enables us to now forgive others.

God has forgiven us first, and that enables us to now forgive others.
Make no mistake, forgiveness is very important, even in order for us to set ourselves free and to allow God’s healing to completely restore us. And this will often be a process. You see, there are some people who have not forgiven others, but there are also many people who have not forgiven themselves for what they have done wrong! And it may eat them up on the inside. How relieving it is to know that God has already forgiven us first! As we understand more of this truth, it becomes easier for us to forgive others and even forgive ourselves.

+Can I grow in righteousness?

No, you cannot grow in the God kind of righteousness. However, you can grow in the understanding of this rightouesness, and that is what Hebrews 5:13 says makes us mature as Christians.

+Will I be more righteous in heaven than I am right here and now?

No, you are just as righteous now as you will be in heaven. You are already perfectly righteous. When you die you just move from your body to heaven, and later you will receive a new heavenly body. However, your spirit and your right standing with God is already new and perfect, and will remain the same in heaven.

+Can a person lose his righteousness?

We never received righteousness by our works or lifestyle, but only through grace by faith in Jesus. In the same way we can never lose our righteousness based on our works or lifestyle. Because we have Jesus we are completely righteous to God. This important truth helps to bring people into assurance of salvation. I understand that righteousness is a gift from God, and that a person will not lose his righteousness if he sins. However, if a person sins, will the righteousness get some “dark spots?” Does Jesus ever get some “dark spots” on His righteousness? Since He is your righteousness, your righteousness will never get any “dark spots”, even if you commit a sin. (1 Corinthians 1:30, Romans 8:33-34)

+I understand that righteousness is a gift from God, and that a person will not lose his righteousness if he sins. However, if a person sins, will the righteousness get some "dark spots?"

Does Jesus ever get some "dark spots" on His righteousness? Since He is your righteousness, your righteousness will never get any "dark spots", even if you commit a sin. (1 Corinthians 1:30, Romans 8:33-34)

+Will not teaching with a strong focus on grace and righteousness lead people to sin more?

No, these truths will not set people free to sin but rather set people free from a lifestyle of sin. (Romans 5:17, 2 Corinthians 3:9) It will not lead people to sin more but to sin less. More about this question is found in the teaching articles.

+As Christians, are we forgiven sinners?

No. This may be a surprising answer to some, so let’s look at it a bit more. According to Romans 5:19 we all became sinners because of one man’s sin (Adam), and we become righteous through one man’s obedience (Jesus). When we got born again the old man (the sinner) died and the new man (the righteous new creation) was born. We are now called saints and righteous, and not sinners. Who are then forgiven sinners, since it is not the Church? It is all the people in the world, not yet being born again. What a wonderful message we have to them: “YOU ARE ALREADY FORGIVEN BY GOD! Jesus has already paid the full price for your sins too, no matter what you have done! Will you now receive Him as your Savior and receive the gift of righteousness and a brand new life from Him?”

Lakale kushindana na agano jipya

+Ni Wakati gani agano la kale lilianza? Ni wakati wa kitabu cha Mwanzo kitabu cha kwanza katika Bibilia?

Bibilia ina maagano mengi. Agano linalo itwa agano la kale halikuanza na Adamu wala Abrahamu, lakini lilianza na Musa. Agano la kale lilihusu sheria aliyo pewa Musa. Ni iliwekwa wakfu na damu ya ndama na mbuzi. (Webra 9:18-20) Hi ilikuwa ni agano Mungu aliimarisha na watu wa Israeli .

+Ni wakati gani agano jipya lilianza? Ni wakati wakuzaliwa kwa Yesu au wakati wa mauti yake?

Wengine wanafikiri ya kwamba agano jipya lilianza wakati wa kuzaliwa kwa Yesu, hivyo pia ndipo Bibilia imegawanywa katika sehemu mbili, Agano la Kale na Agano Jipya. Ijapokuwa Bibilia ina nakili ya kwamba agano jipya halingeweza kuanza kabla ya kifo cha Yesu na kumwaga damu yake. Maagano ya Mungu ni “maagano ya damu”. Hata lile agano la kale halingeweza kuwekwa wakfu bila damu.(Waeb 9:15-22) Agano jipya lingeimrishwa tu wakati Yesu ilimwaga damu yake kwa ajili ondoleo la dhambi.(Waeb 9:23-27) Yesu mwenyewe alisema “ hii ni damu yangu ya agano.” (Mathayo 26:28) Kwa hivyo agano jipya halikuanza wakati kuzaliwa kwa Yesu lakini ni wakati wa kifo, ufufuo, na umimino wa Roho Mtakatifu. Hata hivyo Yesu alipotembea hapo duniani, tayari alikuwa amebeba dhambi za ulimwengu, na kwa hivyo baadhi ya faida za agano jipya zinge peanwa mapema kwa mtu kibinafsi.

+Je agano jipya lingali lina thamana leo hii, lina enenda sawasawa na agano jipya?

La, agano la kale lilikuwa na umuhimu hadi msalaba wa Yesu. Damu ya ndama na mbuzi haingeweza kuondoa dhambi, ni damu ya Yesu ambayo ingefanya hivyo. ( Wae 10:4, Waeb9:24-28). Kwa hivyo sheria ilikuwa kivuli ya mambo mema yajayo, lakini kweli ilikuja na Yesu.(Waeb 10:1) Mungu ali komesha agano la kale na badala yake akaleta agano jipya. (Waeb10:9, 8:6-8, 8:13) Agano la kale mwisho wake ulikuwa msalaba wa Yesu.Hizo sadaka za agano la kale hasina thamana leo hii, hazingeweza kuondoa dhambi. Wala Sheria ya agaano la kale haina thamana ya kuleta baraka za Mungu leo hii. Sisi tumeokoka na tuna barikiwa kwa sababu ya Yesu, na sio kwa matendo yetu. (Waef 2:8-9, Warumi 10:3-4, Wagala 2:16, 3:5; 3:13-14)

+Tafadhali eleza Waebrania 10:26 “Maana, tukiendelea kutenda dhambi makusudi baada ya kufahamu ukweli, hakuna dhabihu iwezayo kutolewa tena kwa ajili ya kuondoa dhambi.”

Waraka wa Waebrania imeandikiwa Waebrania – kwa wale Wayudi waliokuwa wamepokea Yesu.Tuna weza kuona ya kwamba hiyo barua yote inalinganisha agano la kale na jipya na lina eleza jinsi Kristo aliye Kuhani Mkuu aliye bora, sadaka bora, na hakikisho la agano bora, etc. Hii ndiyo muktadha wa sura ya 10. Kutenda “dhambi makusudi” katika muktadha huu sio tu aina yeyote ya dhambi, ila ni dhambi ya kumkata Yesu na kurudi katika dini ya Uyahudi na agano la kale. Hii sio kwa kila sababu iwayo, ila ni kwa sababu wali amini ya kwamba damu ya Yesu ni damu ya umoja na kwamba haikuwa na thamana kwa vyovyote vile. Ni sio tu mtu wowete ila yule iliye pata nuru tayari na ilikuwa amepata nguvu za usoefu za injili. Shida ya kipekee katika kurudia agano la kale ni kwamba hakuna dhabihu iwezayo kutolewa tena kwa ajili ya ondoleo la dhambi. Dhabihu za agano la kale halina umuhimu tena ( na haswa kuwahi kuwa mzuri sana ) Ile dhabihu iliyo na thamana juu ya dhambi siku ya leo ni damu ya Yesu, Kwa hakika iwapo wanaweza kumgeukia Yesu basi dhabihu yake itakuwepo kwa ajili yao. Ile dhambi haija lipiwa pale msalabani ni dhambi ya “kutoamini katika Yesu.” (Yohana 16:9)

+Je kunayo sababu yeyote ya kusoma Agano la Kale, hata sasa tukiwa katika agano jipya? Je si tusome tu Agano Jipya pekee?

Kuna sababu nyingi za kutufanya kusoma Agano la Kale.Yesu amefunuliwa katika vile vitabu vyote kupita ishara,picha na unabii mwingi. (Luka 24:27, 24:44-45) Tunapo mafumbo haya na vivuli katika agano la kale, tunaweza kuelewa sawasawa zaidi tulicho nacho katika agano jipya, ambako Kristo ndiye mali ! Na ahadi za Mungu zote zimepokea ukamilifu wake katika Kristo. Kwa hivyo yafaa tusome agano la kale kuona hizo ahadi, na tushukuru Mungu kwamba zimetwaliwa kwetu kwa sababu ya Kristo. (2 Wakor 1;20) Ijapokuwa ni muhimu sana au zaidi tutumie muda mwingi katika Agano Jipya na haswa tujisomee waraka za Paulo, ambazo zinafunua kweli ulio muhimu juu ya agano jipya. Hii inatusaidia kuelewa agano katika njia iliyo sawa.